Kizuri kula na mwenzio!!!! itakufaa na wewe.

Msh..........z wa tabia tena mkubwa mkubwa tu, nyie ndio watu mnaofitini ndoa za watu, na kuwa na wivu usio na maana. yaelekea wewe ni kati ya ile mijishangingi inayotafuta waume but imekosa. kwa nini kumkatisha tamaa mwenzio namna hiyo tena unaonyesha kabisa kufurahia kumuumiza moyo mwenzio lol, tabia mbaya sana sana.

Khaa we unalako jambo, kama hauna la kuchangia be quit. Utafini vipi ndoa ya mtu husie mjua? Au ndio wewe mume wenyewe unaogopa siri yako ataijua mkeo? Na angekuwa mume wangu, ningemtoa baruti, na uchizi wake wa kisaikologia angepona siku hiyo hiyo. Mie sifugi na wala sifungwi na vichaa wa namna hiyo. Ndoa gani hapo ya kuifitini, wanaume manungaembe hata haya hawana, poleni wanawake mnaotiwa aibu na waume zenu. Hana lolote huyo bwana tamaa tu ya wanawake ndio inasababisha akojoe hovyo, nyege sio tatizo la kisaikologia wala nini
 
Back
Top Bottom