Wenye wenza wenu mikoani; Nyie mko Dar mnaishije?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,980
22,169
Habarini wana jamvi

Kuna mdogo wangu mda si mrefu may anahamia mkoan

Leo niko na dogo anauliza kakaa hivi unawezaje kuishi mume dar mke mkoan and vv

Dah hizi kazi majaribu sana nkamwambia mtegemee mungu atakutun,zia mkeo

Shida bora angekuwa anaenda moro ama dodoma aje weekend weeee mbeya huko

Dada zangu wa kinyakyusa mumpokee dogo kwa mikono miwili

Hapa kazi.
 
Yowe season 2

maisha ni changamoto/life is collect fire
20240401_233629.jpg
 
Asiache Kwenda Kwenye Sherehe, Salon Na Sehemu Nyingi Zenye Mikusanyiko Huko Watu Wanaponea No String Attached Huku Ukiendelea Na Long Distance Relationship.

NB: Fimbo Ya Mbali Haiwezi Kuua Nyoka.
 
Back
Top Bottom