KIWIRA na MCHUCHUMA: A Campaign To Reclaim...

Wengine wanadhania ni suala la NSSF na wengine wanafikiria kufuatilia tumeanza leo au baada ya NSSF kuoneesha interest ya kuwekeza Kiwira. Labda waangalie hii mada niliianzisha lini. Kuwasaidia kutafakari tu.
 
Ama kweli mm mwanakijiji hili swala, haukuanza leo ni miaka miaka 4 iliyopita. Nashukuru kwa kutuletea kumbukumbu hizi leo hii. Zitto na wenzako ebu jaribuni kusoma hii thread, ndipo mtoke na shutma zenu.
 
Kiwira bado kuzalisha megawati 200

2007-06-24
Na Radio One Habari


Mgodi wa Makaa ya mawe wa Kiwira mkoani Mbeya, bado haujaanza kuzalisha megawati 200 za umeme licha ya awamu ya kwanza ya mradi huo kupangwa kukamilika mwezi ujao.

Kwa mujibu wa mkataba wa miaka 20 wa kuzalisha umeme wenye thamani ya zaidi ya shilingi Bilioni 340 awamu ya kwanza ya umeme wa megawati 50 ulipangwa kukamilika mwezi ujao.

Hii ni kwa mujibu wa mkataba huo kati ya serikali, Mgodi huo na Shirika la Umeme hapa Nchini TANESCO ambapo mgodi ulikuwa uanze awamu ya pili ya kuzalisha megawati zingine 100 za umeme mwezi Novemba mwaka huu.

Hata hivyo ujumbe wa TANESCO ulipotembelea mgodi huo wataalamu walisema kwa mwendo uliopo, huenda mradi huo ukachukua miaka mingi kukamilika kinyume na matarajio ya serikali.

Mkurugenzi Mtendaji wa Mgodi Bw. Evance Mapundi amesema mchakato wa kuwatafuta wakandarasi umekamilika na kwamba awamu ya kwanza ya ujenzi wa mradi huo wa kuzalisha megawatt 50 utaanza Mwezi Septemba na kukamilika baada ya miezi kumi na nane.


SOURCE: Radio One

My take:

We need to know who did what and where are they now!? Kama watu walidhania IPTL na RDC kuwa ni majinamizi ya mikataba, here comes Mchuchuma na Kiwira!!
Miaka kumi na mbili baadaye....
 
Tukiiangusha serikali ya SISIEMU na kuunda mpya yenye Bunge jipya tutawashitaki SISIEMU na Kampuni zao kwa kula njama ya kutuibia kwa kupindisha sheria.
Huo ndo wakati ambao hakuta bakia jiwe juu ya jiwe la himaya ya SISIEMU.

Kamwe Hakuna jambo lisilo wezekana. "Think Out of The ZIZI/WIGO"
Huyu Bwana nammiss kama Fulani anavyommiss Kikwete
 
Mradi wa mchuchuma umejaa siasa nyingi sana. haujaanza leo. Alnoor Kassum alipoteza kazi yake kama waziri wa madini na nishati in the 1980s kutokana na mradi huu huu. According to reliable sources za wizara ya nishati, treasury na NDC, tatizo kubwa na kikwazo kikubwa katika hu mradi ni kwamba World Bank hauutaki. Just as they rejected mradi wa TAZARA[world bank waliogopa kiwanda cha firestone kitakufa kutokana na matairi ya malori kukosa mkt...Tazara inge replace usafirishaji wa mizigo malawi, zambia...na pia hawakupenda idea ya reli ya 'uhuru'], world bank huu pia hawautaki kwa sababu kubwa tatu. Moja, walichelewa kuupata as a pjct to finance, private financiers walishauwahi; pili, world bank wanaogopa kuji contradict na msimamo wao wa environmental issues whereby coal energy pollutes heavily. Tatu, World Bank wame finance mradi wa songosongo so lazima ulipe kwanza before umeme wa makaa ya mchuchuma kuanzishwa. Umeme huu wa mchuchuma ni a threat to songosongo sababu ni a cheaper alternative. Kinachoendelea sasahivi ni kujaribu kupata private financiers ambao world bank hawatawatetemesha. As of today, Greenaker LTA na Siemens ndio wameushika na inasemekana wanautumia kama collateral to finance their many other projects huku watanzania wakipaa taabu.

Umeme wa kiwira ni good news lakini TANPOWER RESOURCES ya kina mkapa na yona will not survive for long, esp after 2015. Huu mradi ni mzuri lakini owners ni illegal by all means. haukupitia tendering process bali ulikwapuliwa na mbaya zaidi kina yona na mkapa hawajalipia hata shillingi moja kuupata. walipewa bure. This will be a political test in the near future for kikwete au new president 2015. Mbaya zaidi, wanyakyusa bado hawajaelewa nini kinaendelea kwenye ardhi yao. time will tell.
Mabeberu ndo walikuwa kikwazo...
 
Nimekubali tu, acha mawenge, kwa nini nimecomment uzi huu leo baada ya miaka mingi kupita,hujitambui
Who the f.uck are you talking to?you a fuckin moron. Stay the https://jamii.app/JFUserGuide, stay on you motherfuckin lane dimwit ass.
 
Who the f.uck are you talking to?you a fuckin moron. Stay the ****, stay on you motherfuckin lane dimwit ass.

Nilikua naona comments zako, nikaja kupitia uzi wa zamani nikakukuta so nikakubali wewe ni mkongwe humu, hayo matusi yako unajif
anya onyex au Easy P
 
yaan nimezaliwa apo na mzee wangu alikuwa anafanya kazi apo na ukweli mgodi ulikuwa unasaidia familia nyingi San kutokana na ajira lakin sasa baada ya watu kujimilikisha mgodi umepoa kabisa na watu wote wameachishwa kazi yaan kota zimebaki ni magofu tu yaan kwa kweli inchi hii
 
Nilikua naona comments zako, nikaja kupitia uzi wa zamani nikakukuta so nikakubali wewe ni mkongwe humu, hayo matusi yako unajif
anya onyex au Easy P
Sasa unamwambia nani aache mawenge? Tunza adabu yako.
 
Back
Top Bottom