Legacy ya Magufuli haizuiliki? Majaribio yaanza bwawa la umeme

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
3,510
7,755
Tundu Lissu, Zitto Kabwe, Nape Nnauye, John Heche mtaficha wapi sura zenu? Mtakubali sasa kwamba hamna akili na mnatakiwa kupuuzwa na watanzania? Mliapa kuzuia legacy ya Magufuli kiko wapi sasa?
---

Matumaini ya kuanza uzalishaji wa nishati ya umeme katika mradi wa bwawa la kuzalisha Umeme la Mwalimu Julius Nyerere (JNHPP) yanaendelea kuimarika, baada ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), kuanza majaribio ya mitambo itakayozalisha nishati hiyo.

Mitambo imeanza kufanyiwa majaribio kwa kuingizwa maji na majaribio hayo yanatarajiwa kukamilika Februari 19, 2024 na baadaye utaanza uzalishaji wa umeme.

Mradi JNHPP unaogharimu zaidi ya Sh6.5 trilioni ukikamilika utazalisha megawati 2,115 na kuifanya Tanzania yenye mahitaji ya megawati 1,363.9 iwe na umeme wa kutosha.

Leo Alhamisi, Desemba 28, 2023, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko ametembelea mradi huo uliopo katika ya mikoa ya Pwani na Morogoro, akiambatana na Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga na baadhi ya watendaji wa Tanesco.

Amesema kwa hali ilivyo, kuna matumaini makubwa ya Tanzania kuwa na umeme wa uhakika.

“Kwa mikakati tuliyoiona na wakandarasi wetu, usimamizi mzuri uliopo tutakamilisha shughuli hii kwa kipindi tulichopewa na Rais Samia Suluhu Hassan, ili kupunguza changamoto ya kukatika kwa umeme.

“Mipango ya awali bwawa lilikuwa lianze kuzalisha umeme ifikapo Juni, 2024, lakini wakandarasi wameharakisha mchakato kutoka mwezi wa sita hadi Februari na tunaweza kukamilisha majaribio ya mitambo hii,” amesema Dk Biteko.

Kwa mujibu wa Dk Biteko, bwawa hilo limeshajaa maji mita 166.65 kutoka usawa wa bahari wakati kiwango kinachohitajika ni mita 163.

Dk Biteko amesema wingi huo wa maji umeharakisha hatua ya kuzalisha umeme tofauti na mipango ya awali ya kuanza shughuli hiyo Juni mwakani.

“Niwahakikishie Watanzania mradi huu lazima uwe jawabu la matatizo ya umeme tulioyanayo, Tanzania inakuwa kwa kasi maendeleo ya watu yanakuwa kwa kasi pia,” amesema Dk Biteko.

Dk Biteko amesema baada ya kukamilika kwa mradi huo, watahamia kuviendeleza vyanzo vya umeme vikiwemo vya jua na upepo, ili kumaliza tatizo la umeme kwa miaka 15 au 20 ijayo.

Aidha, amesema ujenzi wa mradi huo umefika asilimia 94.78, mashine mbili ambazo ni namba nane na saba za kuzalisha umeme megawati 470 zimeshafungwa. Amebainisha kuwa mashine nyingine zitafungwa kadri muda unavyokwenda.

Desemba 17, 2023 akizungumza na wafanyabiashara, wazalishaji na wamiliki wa viwanda, Rais Samia alisema Januari 2024 kinu cha kwanza kati ya tisa vilivyopo katika mradi wa JNHPP vitaanza uzalishaji vitawashwa kwa ajili ya kuanza uzalishaji wa nishati hiyo.

“Pamoja na jitihada nyingine za gesi, sola (umeme wa jua) na mambo mengine, katika umeme wa hydro (maji), tunategemea nadhani katikati ya mwakani malalamiko yatakuwa yamepungua,” alisema Rais Samia.
 
Tundu Lisu, Zito Kabwe, Nape Nauye, John Heche mtaficha wapi sura zenu? Mtakubali sasa kwamba hamna akili na mnatakiwa kupuuzwa na watanzania? Mliapa kuzuia legacy ya Magufuli kiko wapi sasa?

Ukitaka kujua Bongo bado tuko nyuma sana, check na vinchi kama Botswana na Namibia. Nchi za watu million 2 consumption ya Umeme ni kama nusu ya Tanzania yenye watu million 60.
 
Sasa kwa nini Tundu Lisu alikuwa anapinga?
 
Hiyo ni legacy ya mama we poyoyo. Huyo marehemu wako alikuwa anaijenga akiwa kaburini? Tumia akili badala ya makalio

Punguza unafiki Lissu na heche wanaingiaje hapo?
 
Litasaidia sana, na utalii pia utaimarika sehemu ya bwawa wakijenga hoteli na vivutio savabu ni sehemu nzuri.

Lakini safari iendelee sababu Tanzania kujikwamua kwenye uchumi angalau iwe na 10,000 Mw ili viwanda vidogo na vya kati vitapakae nchini.
 
Tundu Lisu, Zito Kabwe, Nape Nauye, John Heche mtaficha wapi sura zenu? Mtakubali sasa kwamba hamna akili na mnatakiwa kupuuzwa na watanzania? Mliapa kuzuia legacy ya Magufuli kiko wapi sasa?
---

Matumaini ya kuanza uzalishaji wa nishati ya umeme katika mradi wa bwawa la kuzalisha Umeme la Mwalimu Julius Nyerere (JNHPP) yanaendelea kuimarika, baada ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), kuanza majaribio ya mitambo itakayozalisha nishati hiyo.

Mitambo imeanza kufanyiwa majaribio kwa kuingizwa maji na majaribio hayo yanatarajiwa kukamilika Februari 19, 2024 na baadaye utaanza uzalishaji wa umeme.

Mradi JNHPP unaogharimu zaidi ya Sh6.5 trilioni ukikamilika utazalisha megawati 2,115 na kuifanya Tanzania yenye mahitaji ya megawati 1,363.9 iwe na umeme wa kutosha.

Leo Alhamisi, Desemba 28, 2023, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko ametembelea mradi huo uliopo katika ya mikoa ya Pwani na Morogoro, akiambatana na Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga na baadhi ya watendaji wa Tanesco.

Amesema kwa hali ilivyo, kuna matumaini makubwa ya Tanzania kuwa na umeme wa uhakika.

“Kwa mikakati tuliyoiona na wakandarasi wetu, usimamizi mzuri uliopo tutakamilisha shughuli hii kwa kipindi tulichopewa na Rais Samia Suluhu Hassan, ili kupunguza changamoto ya kukatika kwa umeme.

“Mipango ya awali bwawa lilikuwa lianze kuzalisha umeme ifikapo Juni, 2024, lakini wakandarasi wameharakisha mchakato kutoka mwezi wa sita hadi Februari na tunaweza kukamilisha majaribio ya mitambo hii,” amesema Dk Biteko.

Kwa mujibu wa Dk Biteko, bwawa hilo limeshajaa maji mita 166.65 kutoka usawa wa bahari wakati kiwango kinachohitajika ni mita 163.

Dk Biteko amesema wingi huo wa maji umeharakisha hatua ya kuzalisha umeme tofauti na mipango ya awali ya kuanza shughuli hiyo Juni mwakani.

“Niwahakikishie Watanzania mradi huu lazima uwe jawabu la matatizo ya umeme tulioyanayo, Tanzania inakuwa kwa kasi maendeleo ya watu yanakuwa kwa kasi pia,” amesema Dk Biteko.

Dk Biteko amesema baada ya kukamilika kwa mradi huo, watahamia kuviendeleza vyanzo vya umeme vikiwemo vya jua na upepo, ili kumaliza tatizo la umeme kwa miaka 15 au 20 ijayo.

Aidha, amesema ujenzi wa mradi huo umefika asilimia 94.78, mashine mbili ambazo ni namba nane na saba za kuzalisha umeme megawati 470 zimeshafungwa. Amebainisha kuwa mashine nyingine zitafungwa kadri muda unavyokwenda.

Desemba 17, 2023 akizungumza na wafanyabiashara, wazalishaji na wamiliki wa viwanda, Rais Samia alisema Januari 2024 kinu cha kwanza kati ya tisa vilivyopo katika mradi wa JNHPP vitaanza uzalishaji vitawashwa kwa ajili ya kuanza uzalishaji wa nishati hiyo.

“Pamoja na jitihada nyingine za gesi, sola (umeme wa jua) na mambo mengine, katika umeme wa hydro (maji), tunategemea nadhani katikati ya mwakani malalamiko yatakuwa yamepungua,” alisema Rais Samia.
Umefufuka bi.mdashi!!!!!karibu sana
 
Legacy ya kulazimisha kamwe haiwezi kudumu hata kwa wiki
 
Kwa hiyo huyu wa sasa angeacha hayo mapambio yangetoka wapi.
 
Back
Top Bottom