Kivazi gani nitupie, msaada tafadhali dada zangu

Nakuombea ukifika jamaa atangaze ndoa fasta na akishafanya hivyo ukiwa ndani ya ndoa uje unione nikusaidie mambo ya kiufundi maana it seems that you can't be yourself, uje nikufundishe jinsi ninvyom-handle mke wangu
 
Crystal%2BFireball%2BStud%2BEarrings.jpg

Scene%2BStealer%2BNecklaces.jpg
Karen%2BWalker%2BSunglasses.jpg

Antonio%2BBerardi%2BPaneled%2Bsleeveless%2Bwool%2Bdress.jpg

Diane%2Bvon%2BFurstenberg%2BMaja%2BSnapped%2BBack%2BSilk%2BDress.jpg

DSQUARED2%2BPump%2BCarrie%2BVernice%2BSfumata.jpg
YSL%2Bclassic%2BBelle%2BDe%2BJour%2Blarge%2Bclutch.jpg
 
hongera kwa kupata mtoko! nenda salon tengeneza nywele zako ziwe nzuri, pili inategemea huo mtoko unakwenda sehemu gani shosti 5,4,3 star hotel ama club au pub.
1. 5,4,3 star hotel vaa kagauni simple kafupi ifikie kwenye magoti yaani magoti yaonekane nusu linaweza kuwa la rangi moja ama mchanganyiko wa
rangi, kiatu chako sio kirefu sana wala cha flat kiwe saizi ya kati na kipochi cha ushkaji( vipima joto) herni ndefu.
2. Club - vaa suruali ya linen na top nzuri na flat shoes ( viatu wanaviita v-simple)
3. pub - vaa jeans na t-shirt na na sandals nzuri
 
Mie yahke mzima wa afya, nimeipenda sana sana comment yako, kweli nasema ukweli kama ulichokiandika ndivyo ulivyo, basi wewe ni miongoni mwa wanawake (kama u-mwanamke maana JF tunachanganya tu) wenye upeo wa juu sana. Keep it up Mpwa
Haaaa haaa,Dunia yote hii wapo tu na wengine wengi sema wamejificha!
Mzima lkn mkuu!
 
Vaa kwa heshima ila kupendeza muhimu usioverdress wala kujipamba .kuwa natural ila upendeze
best wishes
Mimi naona avae kama wewe kwenye hiyo avatar yako...huyo jamaa lazima adate!
 
Mie yahke mzima wa afya, nimeipenda sana sana comment yako, kweli nasema ukweli kama ulichokiandika ndivyo ulivyo, basi wewe ni miongoni mwa wanawake (kama u-mwanamke maana JF tunachanganya tu) wenye upeo wa juu sana. Keep it up Mpwa
Asante mkuu,mie ni pure african "SHE" bwana!
 
hongera kwa kupata mtoko! nenda salon tengeneza nywele zako ziwe nzuri, pili inategemea huo mtoko unakwenda sehemu gani shosti 5,4,3 star hotel ama club au pub.
1. 5,4,3 star hotel vaa kagauni simple kafupi ifikie kwenye magoti yaani magoti yaonekane nusu linaweza kuwa la rangi moja ama mchanganyiko wa
rangi, kiatu chako sio kirefu sana wala cha flat kiwe saizi ya kati na kipochi cha ushkaji( vipima joto) herni ndefu.
2. Club - vaa suruali ya linen na top nzuri na flat shoes ( viatu wanaviita v-simple)
3. pub - vaa jeans na t-shirt na na sandals nzuri

Kaniambia tukutane pale Hilton Hotel Masaki, this Saturday, mida ya jioni, ahsante kwa idea yako,
 
umemcheck The Finest alivyokupangia hapo....mi naona imetulia na utakuwa bomba.....

Nimeona, lakini mie naona kama sio vilee, ngoja nizijaribu, maana ninazo zinazoshabihiyana na hizo
 
Wanawake mnaona ujinga wenu hapa! Hebu jaribuni kuchunguza kama kuna la maana mlilomwambia mwenzenu haapa, pamoja na kuwaambia kuwa alishatendwa miezi minane iliyopita na ukiangalia hapa anawaambia anaenda kukutana na njemba nyingine. Woooote kwa umoja wenu hakuna hata mmoja aliyemshauri la maana zaidi ya kumwambia avaeji sijui apendeze. Mimi nilitegemea mumshauri mambo ya msingi pengine ni vitu gani akienda kuonana na huyo mdunguaji anayeenda kuonana nae. Hii ingemsaidia mwnzenu ambaye mpaka sasa ameshasema sijui ana mshawasha wa kuonana naye jamaa maa leo ndo mara ya kwanza anatoka naye.

Yaani wengi wenu huwa hamuwazi nini vya kwenda ku speculate from a man when you meet the first day. Kwa taarifa yenu huyu mwenzenu ingawa leo ndiyo mara ya kwanza anatoka na jamaa msishangae kama leo hii hii anadunguliwa huyu maana hata nyie hamjamshauri la maana zaidi ya kumpandisha 'mori' mwenzenu namna anavyotakiwa avae, akisha fanya hivyo atakapoonana naye akisifiwa kapendeza basi kwisha habari yake, na kweli nawaambia huyu anaenda kutoa mzigo.

Mi hata sielewi, hivi woooooote nyie kubwa la kumwambia kweli ktk hili la dating yake, mmeona ni mavazi kweli? Hata kama hilo ndo alowauliza, ni kweli mmeshindwa hata kumshauri aka speculate mambo ya msingi, yaani mmeishia kumshauri mavazi pekeee, loh! Kweli wanawake wengi mwalimu wao ni mmoja.

Kwa wewe mdada ambaye umepagawa mpaka huji nini cha kuvaa, wenzio ndo wameshakushauri nini cha kuvaa ili uendane na umbo lako la Lulu......jamani kwa nini Mungu asingetuumba kimawazo tufanane maana hii gender nyingine inapata taabu sana kukabiliana na changamoto zilizo mbele yao.....mweeeeeeeee!
 
TF sasa unataka huyu bi dada aingie dukani akafanye shopping ya mtoko wa jmos
FirstLady1, vijisenti ninavyo, kama vinanifaa hivyo vivazi kwa mujibu wa umbo lagu kama nilivyoeleza hapo juu, naweza kwenda kununua
 
Nimeona, lakini mie naona kama sio vilee, ngoja nizijaribu, maana ninazo zinazoshabihiyana na hizo

basi tupe idea nini kipo kwenye akili yako.....ili upate usaidizi zaidi.....unapendelea kuvaa nini hasa hasa.......
 
Kumbuka siku ya kwanza jamaa kuanza kupiga kasia na kutupa nyavu zake ulikuwa umevaaje, kwani pamoja na mambo mengine hivyo ndivyo vilichangia kwa kiasi kikubwa jamaa kuwa zezeta juu yako hivyo nashauri UPIGE mavazi yaleyale na manukato yaleyale ili jamaa akikucheki tu itamkubusha siku aliyokuona kwa mara ya kwanza na atakuwa tena si zezeta bali zumbukuku juu yako.

Nimeongea hivyo kwani kwa maelezo yako mmeanza kuwasiliana kitambo sasa na hvyo kwangu mie mtoko huo si kusikiliza sera kama ulivyosema kama sera alishazitoa sana na ndio maana umekubali mwaliko huo. hiyo inaitwa UKISIKIA PAAAA.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom