Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,173
Cha kwanza katika kutii ni kile ambacho mwenzio hawezi kupata kwingine isipokuwa kwa mwenzie nacho ni uchi.
Kama ni msosi anaweza kupika nguo anaweza kufua kwa ujumla kila kitu Kidume anaweza kufanya bila utii wa Mdada isipokuwa uchi lazima akutii ndipo uupate, Waweza kuupata bila utii lakini yanini sasa ndio ugomvi na kuachana.
Na kama utii upo akikueleza sababu za kiutii mnaelewana tu sio lazima mdu.
Una maana kuwa hayuko sawa au?.Chukua hii kisha tafakari "A man who can not control him self 'SEXUALLY', can not be depended on any decision he may make"
Angalia sana hilo neno kwenye capitals ni pana zaidi ya lilivyozoeleka.
Big Up! na jitahidi maneno yaendane na vitendo!.weweee navokutii siwezi kutoa uchi wangu kwa mwingine hapa jeans nimefunga na kofuli dear
Ruta kwa hili:Kiu ya kidume ni utii wa binti na siyo uchi! :whoo:
You made my day!! Nitafute Raskazoni baa nikuchomee nusu kilo ya nyama ya ng'ombe!!
Yani mi ndo sijaelewa kabisa ningekua chuo hii ingekua disco light kabisa!
Dah dada pole sana tofautisha utii na utumwa!Mmnh!
Nimechanganyikiwa, UTII.
So if l do everything u tell me just like a robot then l make a very good wife eeh?
Kuna neno lingine umetumia KUTHAMINIWA; that one l can buy it. Na hii ni kwa wote, kwani hata sisi tunahitaji kuthaminiwa, kujaliwa na si UCHI tu.
Hivi total submission ndio utii? Na utii ni kama wa Papacy na Roman Catholic Priestdom? Au ni wa kiwango gani?
Yaani sielewi kitu kabisa! Rutashubanyuma.
Mmnh!

Kaunga kama ingekua ni mtihani ina maana sie ndo tungefail?!maana naona wengine wameelewa..teh