Kiu ya mwanaumme kwa binti ni…

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
Mabinti wengi hutafakari kiu ya kidume ni nini haswa?
Wakitaka kufumbua kitendawili cha kiu bila ya majibu!
Wengi hugharimia mengi lakini majibu huwa haba….
Wengi hufikiria kiu ya kidume ni kuuchimbua utupu wao!
Kiu ya kidume kwa binti ni fumbo nami kulifumbua.

Kiu ya binti siyo kificho kwani hadharani huimwaga!
Akikutupia jicho la mahaba huhitaji kujiuliza ataka nini!
Akikuongelesha wajua sauti yake mwororo ina jambo!
Hata kama umejificha atakutoa pangoni na pendo lake!
Kiu ya kidume kwa binti ni fumbo nami kulifumbua.

Mwanaumme kueleweka siyo rahisi hata chembe.
Kwani rekodi yake huwa ni kizungumkuti kabisa.
Rekodi yake humsuta kama mpita njia asiye masikani.
Mabinti kuchukua tahadhari majanga yasije kuwadhuru.
Kiu ya kidume kwa binti ni fumbo nami kulifumbua.

Kijuujuu utafikiri kiu ya kidume ni uchi!
Lakini ukizama hiyo ni dalili ya kiu yake!
Kiu ya kidume ni utii wa binti na siyo uchi!
Binti hudhani uchi ndiyo wenyewe kumbe la!

Mwanumme kueleweka siyo rahisi hata chembe.
Kwani rekodi yake huwa ni kizungumkuti kabisa.
Rekodi yake humsuta kama mpita njia asiye masikani.
Mabinti kuchukua tahadhari majanga yasije kuwadhuru.
Kiu ya kidume kwa binti ni fumbo nami kulifumbua.

Kijuujuu utafikiri kiu ya kidume ni uchi!
Lakini ukizama hiyo ni dalili ya kiu yake!
Kiu ya kidume ni utii wa binti na siyo uchi!
Binti hudhani uchi ndiyo wenyewe kumbe la!
Kiu ya kidume kwa binti ni fumbo nami kulifumbua.

wengine bado hatutaki huo utii-
bado tupo na principle yetu ya ku-keep the main thing the main thing
 
Ruta kwa hili:Kiu ya kidume ni utii wa binti na siyo uchi! :whoo:

You made my day!! Nitafute Raskazoni baa nikuchomee nusu kilo ya nyama ya ng'ombe!!
 
Kwa niaba ya wanaume, Pongezi kwa kufunguka on our behalf

PetCash.....wenzetu hudhani bakora tukiwacharaza ndiyo kiu yetu kumbe kiu yetu ni kuona wanatutii na bakora inakuwa ni kithibitisho cha dalili ya utii wao kwetu wao hawatuelewi kabisa................
 
Last edited by a moderator:
Ruta kwa hili:Kiu ya kidume ni utii wa binti na siyo uchi! :whoo:

You made my day!! Nitafute Raskazoni baa nikuchomee nusu kilo ya nyama ya ng'ombe!!

Mkuu tutapanga siku mwafaka..........Ndallo....yeah inabidi tuwaelemishe wadada wasifikiri bakora ndiyo mwisho wa yote lakini kumbe ndiyo mwanzo wa mengineyo yote..........
 
Last edited by a moderator:
PetCash.....wenzetu hudhani bakora tukiwacharaza ndiyo kiu yetu kumbe kiu yetu ni kuona wanatutii na bakora inakuwa ni kithibitisho cha dalili ya utii wao kwetu wao hawatuelewi kabisa................

Ni kweli mkuu Rutashubanyuma, Submission of a woman is how to love a man, Ndivo tulivyoumbwa (We all need that). Na ndio maana chanzo kikubwa cha ndoa kuvunjika ni lack of that...
 
Last edited by a moderator:
Rutashubanyuma:kama kweli ni utii na wale wanaofata mabint kule corner bar hao wanafataga utii?

lolyz.................mwanaumme anataka akubalike hata kama ni changu doa anamfukuzia..............na kukubalika ndiyo utii wenyewe kwamba anachotaka anatimiziwa......................kwa hiyo bakora zikicharazwa basi yeye huondoka kafurahia kuwa kumbe fulani anamkubali na ndiyo maana ametii kiu yake ya kuheshimika na kukubalika...........
 
Last edited by a moderator:
hahaha ruta umewaza nn? mm sifahamu kiu ya mwanamme kama n utii wa binti ,mbona kuna wanaume wanapelekeshwa na wanawake humu na bado wana wang'ang'ania , mm nadhani kiu yao n muonekano na mvuto wa mwanamke alivyo kama na quality gani na aki walk nae mitaan watu watamsifia una chombo ,na ilo la uchi sijui
 
unakuta mdada akikupa tu anakuwa anakuganda mpaka basi sijui ndio maana ya kufikiri kiu yetu ni uchi au ili mradi usimsumbue baadae mpaka sasa sijapata jibu..
 
Ni kweli mkuu @Rutashubanyuma, Submission of a woman is how to love a man, Ndivo tulivyoumbwa (We all need that). Na ndio maana chanzo kikubwa cha ndoa kuvunjika ni lack of that...
PetCash wanatakiwa hiyo siri waikumbatie na mizozano isiyo ya lazima itafifia................na kwisha kabisa.....
 
Last edited by a moderator:
Akisha kuwa na utii tu na uchi atatoa.
Wengi wanaachwa si kwa kukosa uchi ila utii.

Kyaiyembe..............uko kwenye mstari kabisa kuwa kama ingelikuwa ni uchi tu mbonakuachika kuko palepale?
 
Last edited by a moderator:
unakuta mdada akikupa tu anakuwa anakuganda mpaka basi sijui ndio maana ya kufikiri kiu yetu ni uchi au ili mradi usimsumbue baadae mpaka sasa sijapata jibu..

ndetichia hapo ndipo huwa wanabwaga manyanga kwani kwa vile ulimkazania anafikir kesha maliza dili kumbe ndiyo hata hakujakucha bado usiku wa manane............
 
Last edited by a moderator:
Wanamme wako tofauti sana na wanawake

Mwanamme anatizama mwili, physical things, tayari anamvua na nguo hapo hapo wakati wanasalimiana
Tayari anawaza kugema asali. Ndo maana utaona sifa anazotoa mwanamme ni napenda macho yako, lips, shape n.k

Mwanamke anamtizama mwanamme kwa undani (inside things-sijui ni sahihi nikisema tabia/vijisifa)
Ndio maana comment za wanawake utakuwa 'wewe ni gentleman' n.k
Ni mara chache mnakutana mara ya kwanza mwanamke anakuambia uko handsome.

Mwanamme anataka VVVVVV
 
RUTA: Huu ujumbe wa Kiu ya kidume ni utii wa binti na siyo uchi! :whoo: nimemtumia kademu kangu kamoja maana yeye kamezoea kunichuna kwakua kinanipaga NDUDE yake na mimi nimeshamtumia huu ujumbe nakisubiri nione atanijibu nini halafu nitakuambia!
 
hahaha ruta umewaza nn? mm sifahamu kiu ya mwanamme kama n utii wa binti ,mbona kuna wanaume wanapelekeshwa na wanawake humu na bado wana wang'ang'ania , mm nadhani kiu yao n muonekano na mvuto wa mwanamke alivyo kama na quality gani na aki walk nae mitaan watu watamsifia una chombo ,na ilo la uchi sijui

wahida..........kama huyo mdada hamtii huyo kidume mwishowe wa yote atamwacha tu. Uzuri wa mwanamke unamaana kama yupo tayari kumsikiliza bwana wake kama hamsikilizi lazima siku ya siku atamwagwa tu naye atajiangalia kiooni na atajiuliza maswali mengi wengi hukimbilia ya kuwa wamerogwa kumbe wamejiroga wenyewe na viburi vyao.........
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom