Elli
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 55,499
- 86,037
Nilikua naskiliza radio WAPO na mojawapo ya habari ni kwamba wananchi wa shinyanga wamebaini majina yao yakiwa yamebandikwa mara mbili katika vituo viwili tofauti; yaani jina lako linaonekana hapa na ukienda kituo kingine unalikuta! na kwamba inaonekana haikua bahati mbaya kwani jina la kwanza huku kule lilionekana sehemu nyingine, jamani naombeni mwenye taarifa kamili zaidi toka watu wa shinyanga au aliesikiliza kipindi hicho