Kituko-Msafara wa Ghalib Bilal

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,101
6,027
Jana barabaa ya mwenge pale ITV ulipita msafara wa Makamu wa Rais Bilal...cha kushangaza kulikuwa na matrafik wakizuia magari ili kuupisha msafara na magari yote yalikaa kando. Pikipiki ya ya king'ola ikapita kasi!!
Sasa cha ajabu kwa mbele kuna gari ya kawaida tu, ikawa inakuja, ile gari ilikuwa na plate No ya kijani, trafic wamejaribu kuisimamisha ile gari haikusimama....na mara ule msafara wa Bilal ukapishana na ile gari. Kilichoendelea mi sijui.

Swali: Kwanini hii gari haikusimama??(Inasemekana gari za PN ya kijani ni za UN), wamedharau msafara wa makamu wa Rais?? Je kuna sheria yoyote inayotoa jibu ya hii kitu?
Usalama: Vp kwenye suala zima la usalama??mfano ile gari ingesababisha ajali kuigonga gari ya bilal ingekuaje?? Au tuassume alipanda ile gari ana silaha ya moto kumdhuru Makam wa Rais??
 
Makamu wa rais alipigiwa kura ktk uchaguzi mkuu?
 
Sinziga, heshima yako mkuu!

Nikurekebishe kidogo, PN za kijani siyo za UN, ni kwa ajili ya wale wote wenye Diplomatic Passports/Immunity (other than UN officials with Diplomatic (red) passport)! Kwa mfano mabalpozi wa nchi mbalimbali, maofisa wa balozi mbalimbali zinazowakilisha nchi zao hapa Tanzania and all other Diplomartic Corpse!! (EAC, ESAMI, AU, SAD C etc).

Inawezekana Traffic alitoa ishara ya kumchanganya dereva, au dereva hakuwa anaelewa taratibu vema, au kuchnganyikiwa tu! Inawezekana pia kwamba alifanya kwa makusudi....hapa ni vyombo vyetu vya usalama kushindwa kufanya kazi kwa umakini!! Kwa muda mrefu nimeshuhudia wakiwaogopa hawa wenye PN za blue (UN) au green (Diplomatic Corpse)...kikubwa ni LUGHA! Na hawa jamaa wameligundu ahilo, wakisimamishwa tu huwa wanatwanga kimombo au kifaransa, kispaniola etc (wakati wakija pale Corner Bar au Jolly huongea kiswahili fasaha kabisa).

Bado safari ndi ndefu kwa nchi hii...
 
Dah nimekusoma mkuu...thanx kwa kunirekebisha...Ila diplomatic vehicle(Corpse)..ningeomba ufafanuzi!! au ndio CIA wenyewe??
 
Inawezekana Traffic alitoa ishara ya kumchanganya dereva, au dereva hakuwa anaelewa taratibu vema, au kuchnganyikiwa tu! Inawezekana pia kwamba alifanya kwa makusudi....hapa ni vyombo vyetu vya usalama kushindwa kufanya kazi kwa umakini!! Kwa muda mrefu nimeshuhudia wakiwaogopa hawa wenye PN za blue (UN) au green (Diplomatic Corpse)...kikubwa ni LUGHA! Na hawa jamaa wameligundu ahilo, wakisimamishwa tu huwa wanatwanga kimombo au kifaransa, kispaniola etc (wakati wakija pale Corner Bar au Jolly huongea kiswahili fasaha kabisa)

Duh hapo laazima lugha iwe 'gongana' tu!!! Hii inanikumbusha India, Polisi za kihindi zikikusimamisha ni kiswahili tu, mwisho wanakuachia huyoooo unapeta.

Wakiomba license unawapa kitambulisho cha kupigia kura!! Wakicheki adress wanakuta unakaa Kinondoni D wao wanajua Driver Class D!! Haah raha sana!!
 
Ukitaka traffic akuachie ongea kithungu,ni wachache sana wanao weza kimombo.
 
Sielewi kwanza huyu makamu Ana shughuli gani muhimu mpaka atembee kwa msafara n'a vingora,pili bosi wake yuko huko kwa hao madiplomat anatembeza bakuli halafu huku nyuma makamu aliyemuachia madaraka anataka apishwe njiani na hao wanaaoombwa misaada watampisha kweli?
 
kwanza huyu Bilal ana kazi gani?anatia hasara tu serikali we mtu mmoja tena mzee ana wake wawili ndo maana limsafara lake lirefu sana..maana kutwa yuko na wake zake wawili
 
Ana kazi mkuu,anashughulikia suala la mazingira!!
 
kwanza huyu Bilal ana kazi gani?anatia hasara tu serikali we mtu mmoja tena mzee ana wake wawili ndo maana limsafara lake lirefu sana..maana kutwa yuko na wake zake wawili

ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom