Kituko-Msafara wa Ghalib Bilal

Hii ya kizungu inanifurahisha sana, kuna Mdogo wangu wa kike anatumiaga sana hii, anatoa ID ya Departmnet of public safety (yaani Texas) na kizungu kingi sasa utacheka jinsi askari wanavyojikanyaga mpaka mimi naona aibu. Sasa Tunawashauri askari wetu nini?
 
Back
Top Bottom