nizakale
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,031
- 2,910
Hahahahaa. Mbona hiyo kawaida tu mbona Mfugale siyo mchagga lakini daraja limepewa jina lake ?
@nizakale umesikia?
@nizakale umesikia?
Kama kuna dhahabu,almas nk mbona mnalala nyumba za nyasi hadi Léo?Wewe usicheze na nchi iliyobarikiwa. Dhahabu almas, ng'ombe kila kitu kinapatikana
Mnataka kuhamisha jamii ili iweje? Huo si ndiyo ukabila? Hao waliohamishwa miaka hiyo katika hizo sehemu ulizozitaja hali ikoje sasa hivi? Hawajachanganyika na jamii nyingine au wamejitenga wao peke yao?Kweli ujinga mzingo, huenda umedandia mada bila ielewa kama mleta thread alivyokurupuka kuandima hii post.
Unajua maana ya jamii kutaka kupewa ardhi?! Hapa tinaongelea jamio kubwa sio mtu mmoja mmoja anayetaka let say hekari kumi, ishirini au hamsini, hapa tunaongelea kuhama kwa jamii kubwa, unapotaka kuhamisha jamii kubwa sio jambo la mchezo mchezo kama unavyofikiri, sio jambo la kama wamasai kuhama na ng'ombe zao, au wamang'ati kuzurura kule morogoro,
Hapa unazungumzia Chagga's caravans au chagga's treks, jamii kubwa kuhama kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kama ilivyotokea enzi za miaka ya 70's mwl nyerere alivyowapa maeneo Rukwa, Tanga na Morogoro. Kama jamii zilivyo hamishwa kupelekwa kwenye vijiji vya ujamaa, sio jambo la mtu mmoja au wawili au kumi kwenda kununua ardhi ndogo au mashamba ya hekari kumi au mia. Hapa uelewa unahitajika sana!
Hizo nyasi zenyewe kwa sasa hazipatikani. Siku hizi ni bati kwa kwenda mbeleKama kuna dhahabu,almas nk mbona mnalala nyumba za nyasi hadi Léo?
Mi siyo mchaga, lakini mahali popote mchaga alipotua kutokana na uchakalikaj8 mabadiliko yalionekana.wewe kweli wa jana. kwa taarifa wachaga waliwahi kuhamishiwa handeni, mpanda, kilosa nk. wakati wa awamu ya kwanza ili kuondoa msongamano. Haijaleta ubaguzi wowote na wamechanganyikana na wenyeji wao. Watu wa sasa ndio wabaguzi. NENDA HUKO UKACHUNGUZE
Hahaha hadi mwez novembre natoka huko kwenu lake zone nyumba za nyasi zimetamalaki vijijin,nenda nyan'gwale,solwa, maswa, MEATU,mbogwe nyumba za nyasi Ni nyingi mnoHizo nyasi zenyewe kwa sasa hazipatikani. Siku hizi ni bati kwa kwenda mbele
Asante kwa ushuhuda, sehemu yoyote akikaa mchaga lazma iendelee mchaga Ni mtu wa maendeleoMi siyo mchaga, lakini mahali popote mchaga alipotua kutokana na uchakalikaj8 mabadiliko yalionekana.
Mikoa mingi imechangamshwa na wachaga hiyo ni asili yao. Hivyo tusiwe wabaguzi na tukisinzia wacha tuamshwe.
Peleka chuki zako huko mshamba weweMtu ukishakua mchaga tu tayari ni tatizo...hata awe profeza
Sisi tunahitaji barabara ya kupandisha hapo Uchira mpk kisomachi secondary , yeye anaomba ardhi ya kulima? Jamani mbn kazi ipo!!Yaani Mbunge wa Vunjo mwenye PhD anamwomba Waziri wa Ardhi awapatie Wachagga wa Vunjo ardhi kwingineko katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sababu ni ili walime kwani kwao wamegawana ardhi kwa mila zao na kujikuta na vipande vidogo sana ambavyo mtu hawezi kulima. Eti wamesongamana, si mpunguze kuzaana.
Hivi huyu Mbunge na hao wachagga wenzie hawaijui Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu freedom of movement?
Hivi yeye mhe. Dr Kimei alipojenga Dar es Salaam na kupata ardhi kubwa Dar mbunge wake wa wakati huo ndio alienda bungeni kumuombea hiyo ardhi? Yaani kabisa anataka annexation ya mkoa wa Kilimanjaro! Au Vunjo nzima ni registered company?
Hivi hao Wasukuma waliojaa huko Mbeya na Morogoro waliomba wapewe hayo maeneo bungeni kupitia wawakilishi wao?
Kwa fikra zake kama hizi huyu bwana hafai kabisa kuwa kiongozi wa juu katika taifa hili kutokana na misingi yake.
Wewe na Kimei ni mazuzu mnaozuzuliwa na vunjo hadi mnaacha kutumia akili mnatumia makali*Peleka chuki zako huko mshamba wewe
Ndio maana nawaita nyie wapumbavu bora hata mngekuwa wajinga ungewatoka!Mnataka kuhamisha jamii ili iweje? Huo si ndiyo ukabila? Hao waliohamishwa miaka hiyo katika hizo sehemu ulizozitaja hali ikoje sasa hivi? Hawajachanganyika na jamii nyingine au wamejitenga wao peke yao?
Ahahaaa! Niemcheka. Kama mazuri, eti nchi iliyobarikiwa! Baraka my foot!Wewe usicheze na nchi iliyobarikiwa. Dhahabu almas, ng'ombe kila kitu kinapatikana
Ulivyo zuzu na mpumbavu unadhani kuendesha nchi ni sawa na kuendesha ile mikokoteni yenu ya kuvutwa na punda kule majarubani.Koma kabisa kulinganisha kabila la watu ml 8 na kakikundi ka watu laki tatu. Unalinganisha mzanaki na msukuma ? We hovyo kabisa.
Ahahaaa naona imekuingia sana wee bwabwa,Unanizidi nini wewe paka shoe shine wa kwa Sadala. Pumbavu kabisa.
Njooni niwalishe wote mkeo na mama yako pia maana nasikia huko kwenu usukumani kuna njaa sana na umaskini wa kutisha, kiasi kwamba ukioa huko mke ukamchukua akaja kukaa kwako huku mjini (Dar,Arusha,Moshi n.k) anahamia mazima na mamayake pamoja dada zake wote!Sio fundi saa kweli huyo?
Kwani mzee kuna sehemu wachaga wamenyimwa kuishi mbona hueleweki?si taratibu za ardhi zinajulikana tu kwa mtanzania yyte anaweza kwenda popote au wanataka wapewe eneo waishi wao tu kama kabila lao?mbona wamejaa kimara kwani walipapataje?hao watu wote waliopo dar walihamiaje?
Wewe hakuna ndugu zako waliohamia mikoa mingine??whats so special about them?kuna mahali watanzania hawaruhusiwi kubamia?
Halafu sielewi logic yako kusema watu hawajui historia eti mwaka flani walihamishwa so what??lazima tuige huo mwaka??
sheria ya ardhi iko wazi mtanzania anaenda popote asivunje sheria tu sasa hio attention wanayoitaka wao inasababishwa na nini??mbona wakazi wa dar hawaombi maeneo wanaenda tu mikoani wananunua na sehem zingine wanafyeka tu??
Sijui umeishia standard gani let say labda ulitoroka shule darasa la nne B,Halafu unaulizia kuhusu wageni kupewa ardhi hivi hata unachokiandika unakisoma kabla ya kupost??wageni wanapewa kwa kua sheria haiwalindi kama watanzania hawana ruhusa ya kumiliki ardhi so kupewa kwao ni kwa mkataba wa kuiendeleza tu na haitokua iwe yao na wale waburundi ni kwa kua wakimbizi walipewa uraia la sivyo wasingeweza kumiliki ardhi kama mtanzania so kwa kua wapo kwenye VITA kwao na wamekaa aana bongo huoni kama ni upuuzi kulinganisha na mchaga ambae tyar anaweza kumiliki ardhi popotebila shida??
mkuu. Umemaliza. umepiga penyewe haswa. Hapa ndio watajua kuwa hawajui.Utaelewa tu hata ukiwa kilaza!
Unajifanya unakichwa kigumu kama paka, eti kwani wamenyimwa, kwani wakiomba wamevunja sheria?! Fungua ubongo wako basi uelewe hata kidogo! Walipoomba na kupewa kule Rukwa ,Tanga na Morogoro walijitenga kikabila?!
Kenge huwa hasikii mpaka atoke damu masikioni, so hata ukijifanya uelewi tutazibua ubongo wako mpaka utoke damu na kuelewa tu Hanna namna! Au nasema uongo ndugu yangu?!
Upuuzi mtupu, unaelewa maana ya jamii kubwa kuitaji ardhi kubwa ya kuendesha shughuli za kilimo?! Unaweza kuhamia kimara , mbezi, buhongwa, nyengezi, katoro, ilemela, nyamagana kama jamii kubwa kwenda kupata mashamba makubwa ya kilimo?!
Commonsense is not common for everyone!
Wewe ni mburula, historia tells us a lot, lazima tu-recall historia kwenye mambo mbalimbali hata sheria mahakamani huwa advocates wanakumbusha historia za kesi mbalimbali kama hizo ili kupata hukumu ya haki.
Kama jambo hilo lilifanyika na sio kosa kisheria kwanini Leo iwe kosa?! Ngoja nikutoe ujinga usije ikageuka kuwa upumbavu baadae, hakuna kifungu chochote cha sheria kinachokataza wananchi au raia as group kuomba ardhi popote pale nchini, hivyo alichofanya kimei sio kosa kisheri, nyie mnaopayuka payuka mjitafakari.
Nimeshajibu kwenye paragraph ya kwanza, hakuna MTU yeyote anayetaka attention ni nyie ndio mnaleta chuki na wivu wenu wakipuuzi kwasababu ya matatizo yenu ya inferior complex huwa kila Mara wachagga wakiamka na kutafuta fursa Fulani lazima mkurupuke na kuanza kuropoka ovyo kwa kulemewa na wivu na chuki zenu, kwani wakiomba ardhi wachagga jambo ambalo sio kinyume cha sheria nyie mnaumia nini?! Hebu. Jitafakarini kwahilo?! Kama sio wivu na chuki na inferior complex syndrome?!
Sijui umeishia standard gani let say labda ulitoroka shule darasa la nne B,
Unajua sheria ya ardhi wewe?! Mwekezaji mgeni anapewa ardhi miaka 99, zaidi ya hekari elfu Moja, alafu hakuna anayepiga kelele! Watanzania wenzako wakiomba ardhi mnapayuka payuka kuwa hawastahili kupata ni akili hiyo?! Waburundi kupewa ardhi bado hujasema lolote la maana hoja ilikuwa kikundi Fulani cha kikabila kikipewa ardhi kitabadili eneo husika kuwa lakikabila, nikamjibu Huyo mjinga mwenzako kuwa wale waburundi waliopewa ardhi walibadili eneo lile kuwa la kikabila?! Wale wasomali waliopewa ardhi tanga walibadili eneo lile kuwa lakikabila?! Wale wachagga waliopewa ardhi miaka ya 70's walibadili maeneo Yale kuwa yakikabila?! Naona akili yako ni nzito sana kuelewa hoja, lakini najua kuwa "KUELEWA NI SANAA NA SIO KILA MTU NI MSANII AWEZE KUELEWE!"
Hapa upumbavu wenu uko sehemu moja tu, kwamba mjiulize swali hili, "KWANI WACHAGGA WAKIOMBA ARDHI MAENEO MENGINE NCHINI WAMEVUNJA SHERIA!" hapo ndio upumbavu wenu ulikolalia na kuwafanya wote muonekane hamna akili zaidi ya wivu na chuki, Dr.Kimei aliposema kuwa eneo la wanavunjo limekuwa dogo kijiografia kuendesha shughuli zao za kilimo na hawawezi kumegewa eneo la hifadhi ya msitu la KINAPA kupewa mashamba, akaiomba serikali iwapatie ardhi maeneo mengine nchini, kwanza mngejiuliza je, kimei kavunja sheria kuwaombea wanavunjo ardhi?! Kama hajavunja sheria yoyote nyie mnaumizwa na nini basi kama sio ukabila wenu na wivu?! Mbona makabila yote yako kimya wengi mnaolilia hapa ni wasukuma?! Kuna shida gani kwenu?! Jitafakarini mlivyo wapumbavu!
unajua wakati mwingine sio lazima kupost kitu kama kimekuzidi akili, maana hata mpumbavu akikaa kimya uonekana mwenye akili kuliko kuanika ujinga wako wote hapa watu wakaona the way dishi lilivyoyumba!
Jibu sahihi wanajifanya hawaelewiHawajavunja sheria kama mamlaka husika ziliridhia. Sio rahisi sana kwa mtu mathalani yuko kilimanjaro akaelewa maeneo yalyo wazi kama vile huko mpanda. Pia ukumbuke ni watu wengi wenye shida ya ardhi na kuhitaji nguvu zaidi ya serikali kupata eneo la kutosha.
Hakuna mantiki hapo zaidi ya kutaka vya bure.Hujaelewa mantiki wewe,Kwan Kuna sehemu yoyote tz ambayo haina mchaga? Wachaga Ni WAHINDI wa kitanzania wame.invest ma miradi makubwa maeneo mengi tu tz