Kitu Gani Unachohisi Ni Cha Thamani Unakimiliki...!!!???

Ila na wewe unajitakia matatizo mwenyewe....nilikuambia achana na wafungwa njoo kwangu ntakusaidia hata ikibidi kuongea na Paw kumpa msamaha mumeo sasa wewe unaleta poz oooh shauri yako

ntakuwa msaliti kumuacha kwenye shida. Bado namzimia
 
Last edited by a moderator:
Mtu mzima kwani wewe "mjaluo" bana?
Poa lakini ukirudi huku kwa watu wenye akili nyingi aka BONGO aka DAR aka kwa baba RIZ njoo japo na yule samaki mwenye shepu ya COBRA na meno ka ya KENGE(kamongo)hiyo kitu naikuraga sana aise,ila ikiwa kavu kisha uipike mchuzi ni hatari tupu,maana mchuzi wake unawasha kama ***** lol
Hahahahaaaa mandieta umenifurahisha sana ila kuna kamtu kanajiita BAGAH huwa kananifanyia timing yan hata sijafika kameshapokea mizigo na kamepotea lol
Ntakujulisha arifu mi ngoja nkazurule kidogo
 
Last edited by a moderator:
ana air condition kwenye sehemu zake zote muhimu.
Heheheeee nani kakuambia anapenda kifanyio cha baridi? Cha moto ndio kina raha meeeen so huyo hakidhi viwango!
Hata ukisema AC ina joto na baridi ila mi najua ni baridi tu
 
Unajua, Infwakti kila ukimsikia Bishanga akiongea Mipweinti ujue ile ni akili yangu inafanya kazi...
Halafu mimi ndiye Loya wake baada ya Klorokwini kushinda anakimbizana na vitoto vya Shule...
Hahahahaaaaaaaa hivi ni shemeji yako?
 
phina hivi bado mchungaji yupo tu hadi leo?
Nataka twende wote kesho aisee

Tena kondoo waliopotea kama ninyi ndo anawatafuta!!viboko sasa-now kaotesha mti nje ya kanisa kabisa...anachuma tu na kucharaza
 
Last edited by a moderator:
Bora umemwambia ukweli wangu?
Thanx
Erickb52 mbona mnapenda kumuandama Laazizi wangu Rutta wewe na mwenzako St. Paka Mweusi???
Kawakosea nini jamani??
Nimetoka nae mbali sana
Enzi za Mzizima,hata mlete fitina zenu,SIACHANI NAE NG'O!!!
Tumelishana Yamini,
MTAJIJUUUU.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom