Kitu Gani Unachohisi Ni Cha Thamani Unakimiliki...!!!???

Attachments

  • Punda.jpg
    Punda.jpg
    18.1 KB · Views: 33
Mtwangio mwenzake nini?

hahahahahaaaaaa....nimekuelewa...
wanadamu si unajua tunategemeana...
mm namiliki hilo najua mwingine atamiliki KINU...lol
then tutachanganya burudanii..na hiyo ndiyo habari ya mujini
 
Namili suruali 2 za jins nilinunua buku buku.malapa umoja nilinunua auku nokia toch nimenunua 15,000

Id yako inanikumbusha nyumbani kwetu aise, MKIVA kikwetu ni MASIKINI nimeipenda
 
Hapa nazungumzia kitu chako Wewe Binafsi na Si cha Familia Yako/Yenu

Naanza,
Mimi Namiliki Shamba La Urithi wa Bibi na Kibuyu cha Maziwa.

Twende kazi....

Mie bado kula kulala, similiki chochote.
Najivunia kuwa KKB!
 
Hapa nazungumzia kitu chako Wewe Binafsi na Si cha Familia Yako/Yenu

Naanza,
Mimi Namiliki Shamba La Urithi wa Bibi na Kibuyu cha Maziwa.

Twende kazi....
Madame B kumbe ulikuwa unaniuzia Penguine usiyemmiliki wewe?
Lol ulitaka kuniingiza town eeeh yan Mil 15 zinitoke hivihivi?
 
Last edited by a moderator:
Jamani sisy ebu muombee kwa Mungu mods watapunguza adhabu huku nakupikia uji wa ulezi coz umepungua

my dia yaani ni mda sasa sijapata hata salam kutoka kwake.. Ukinipa huo uji utakuwa umenifaa. Nguo zote zimekuwa oversize
 
Back
Top Bottom