Kitu Gani Unachohisi Ni Cha Thamani Unakimiliki...!!!???

asante Erickb 52 kwa kunionea huruma.yani sili sinywi kwa mawazo
Ila na wewe unajitakia matatizo mwenyewe....nilikuambia achana na wafungwa njoo kwangu ntakusaidia hata ikibidi kuongea na Paw kumpa msamaha mumeo sasa wewe unaleta poz oooh shauri yako
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Paw
Ila na wewe unajitakia matatizo mwenyewe....nilikuambia achana na wafungwa njoo kwangu ntakusaidia hata ikibidi kuongea na Paw kumpa msamaha mumeo sasa wewe unaleta poz oooh shauri yako
Ushatoka mwanza mkuu?
Maana nilisikia unaandaliwa mapokezi ya kutisha kuliko ata yale ya PAPA alipokuja mwa miaka ile ya 90!
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha ha!
Ebu tupia basi japo li picha la sangara na ugali wa udaga bana.Ila angalia totoz za mwanza mkuu,maana ukiangukia mikononi mwao tutakusahau mkuu maana mzalamo hapo hatii mguu lol.
Heheheeeee mtu mzima mie lol
Nimekula samaki hadi nahisi kulala tu ngoja nkashushie na kandofu kamoja kule Vila Park
 
Hahahaaaaa aisee
Ina maana Bishanga ni mzigo eeeeh TANMO mtake radhi rafiki yangu

Unajua, Infwakti kila ukimsikia Bishanga akiongea Mipweinti ujue ile ni akili yangu inafanya kazi...
Halafu mimi ndiye Loya wake baada ya Klorokwini kushinda anakimbizana na vitoto vya Shule...
 
Heheheeeee mtu mzima mie lol
Nimekula samaki hadi nahisi kulala tu ngoja nkashushie na kandofu kamoja kule Vila Park
Mtu mzima kwani wewe "mjaluo" bana?
Poa lakini ukirudi huku kwa watu wenye akili nyingi aka BONGO aka DAR aka kwa baba RIZ njoo japo na yule samaki mwenye shepu ya COBRA na meno ka ya KENGE(kamongo)hiyo kitu naikuraga sana aise,ila ikiwa kavu kisha uipike mchuzi ni hatari tupu,maana mchuzi wake unawasha kama ***** lol
 
Ila na wewe unajitakia matatizo mwenyewe....nilikuambia achana na wafungwa njoo kwangu ntakusaidia hata ikibidi kuongea na Paw kumpa msamaha mumeo sasa wewe unaleta poz oooh shauri yako

hii tabia utaacha lini?
 
Back
Top Bottom