Kitu Gani Unachohisi Ni Cha Thamani Unakimiliki...!!!???

Madame B Uzima tu ni thamani kubwa sana kwangu!! Vingine vyote ni ubatili mtupu.
 
Last edited by a moderator:
Mwalimu mimi sina chochote cha kwangu vyote ninepewa kwa neema tu!
 
je zawadi uliyopewa nayo si kama chako tu,mi huwa nathamani zaidi zawadi
 
Back
Top Bottom