BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,014
Duh! Makampuni mangapi yanayoendeshwa na Wazungu ambayo yamekuwa na scandals mbali mbali katika uendeshaji? Wazungu hawawezi kuwa watatuzi wa matatizo ya nchi yetu hata siku moja. Kule Rwanda hakuna Wazungu pamoja na wahutu na Watusi kuuana kwa idadi kubwa mwaka 1994 sasa hivi nchi yao inafanya vizuri sana katika sekta nyingi tu pamoja na kuwa hawana Wazungu. Kagame alikataa kabisa kuajiri Wazungu katika nafasi nyeti ndani ya Serikali yake.
Siye kila aliye ndani ya TANESCO na ana nafasi ya juu utendaji wake ni mbovu wengi tu ni wachapa kazi wazuri sana ila wanaangushwa na Serikali DHAIFU ambayo imeamua kuitumia TANESCO kama mradi wao wa kutajirika
Kama Rwanda wameweza kuinyanyua nchi yao katika sekta mbali mbali kwa kuwatumia wazawa, basi na Tanzania inaweza kabisa kufanya hivyo.

kama makaburu waliletwa na Mkapa
wasingeshindwa kukataa 'oder' ya Mkapa
alikataaa siasa, CEO wa kwanza kabisa wakamuondoa...
bottomline hao rafiki zako ndio hao hao kina Mhando in waiting.....
Wazungu ndo solution ya kampuni za ummah za TZ..
hawapendi kuchafuliwa.hawaogopi kuanika kitu
na hawaogopi kufukuzwa...na hawawezi kuonewa sababu wanalindwa na sheria hadi za kimataifa...
tutafute CEO wa kizungu from U S A...utaniambia....[/QUOTE]