Kiti moto pls.

Good boy

Member
May 20, 2011
42
2
Kwa wale waislam kwanza mtaniwia radhi pls, kuna kpnd nilifika arusha jamaa yangu mmoja ambae kwa sasa nilipoteza mawasiliano yake, jamaa alinipeleka ktk hotel moja nikapiga kit moto rost yenye mbogamboga ndani na ndizi rost, aisee never ever seen b4 ile kiti moto ilikuwa bab kubwa, jamani wale wenyewe wa arusha nasikia a town huko ndiyo wenyewe kwa kiti moto, pls naanza likizo mwezi wa sita naombeni mniagizie nikifika hapo arusha nianzie wapi ili nipate iyo kitu, hapo cna mwenyewe me napit tuu. Nawakilisha wakubwa.
 
Mwisho wa yote kwa hiyo kitu nenda Moshi Kiboroloni panaitwa Ukunonza, inachomwa kama mbuzi, ni bomba kishenzi hapa nilipo mate yamenijaa mdomoni
 
Kwa wale waislam kwanza mtaniwia radhi pls, kuna kpnd nilifika arusha jamaa yangu mmoja ambae kwa sasa nilipoteza mawasiliano yake, jamaa alinipeleka ktk hotel moja nikapiga kit moto rost yenye mbogamboga ndani na ndizi rost, aisee never ever seen b4 ile kiti moto ilikuwa bab kubwa, jamani wale wenyewe wa arusha nasikia a town huko ndiyo wenyewe kwa kiti moto, pls naanza likizo mwezi wa sita naombeni mniagizie nikifika hapo arusha nianzie wapi ili nipate iyo kitu, hapo cna mwenyewe me napit tuu. Nawakilisha wakubwa.

wewe njoo....la muhimu ututaarifu tu....PM na nini usisahau
 
ha ha...pale napajua sana panaitwa Onyonya Ukunonze......ni mwisho wa breki

Kweli wewe ni mtalaam wa hii kitu, karibu Jumapili ndo utakuwa mlo wangu wa mchana na castle/Kilimanjaro baridiiiiiiiiiii, hope Sahara na PJ watashiriki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom