nice 2
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 747
- 520
Jana kwenye mchuano wa wagombea ubunge Igunga vurugu za malumbano ziliibuka na hivyo kusababisha kutokusikilizana, lakini kumbe vurugu hizo zilikuwa zinatokea eneo ambalo walikuwa wamekaa wabunge wa CCM, ndipo hapo Naibu katibu mkuu wa CDM, Zitto Kabwe alichukua hatua ya ziada na kupenya katikati ya wafuasi wa CCM na kumchomoa Mb. wa Tabora mjini Mhe. Ismail Aden Rage kisha kumpeleka walipokuwa wamekaa viongozi wenzake...... inasema sehemu ya habari iliyoandikwa kwenye gazeti la leo la MTANZANIA.
Kwa kitendo hiki, kile kitendawili cha wabunge gani wanaosababisha vurugu kati ya wale wa CCM na CHADEMA kimeteguliwa
Kwa kitendo hiki, kile kitendawili cha wabunge gani wanaosababisha vurugu kati ya wale wa CCM na CHADEMA kimeteguliwa