Kitendawili cha nani mwenye vurugu kati ya wabunge wa CCM na CHADEMA chateguliwa

Tarehe 3 mwezi October 2011 watanzania kuvaa nguo nyeus kulaani utendaji wa serikali kama kama unaguswa na mambo yafuatayo basi na wewe vaa na umwambie na mwenzako kama yana muhusu naye avae.
1.ukosefu wa ajira
2.kupanda kwa gharama za maisha
3.huduma mbaya za afya, elimu na maji.
4.ukosefu wa umeme
5. Ufisadi
6.mikataba mibovu
7. Ubaguzi kwenye mikopo ya elimu ya juu
8.malipo duni ya wafanyakazi wa serikali
9.ufujaji wa mali ya umma kwa watendaji wa serikali kwa safari zisizo na tija.
10. Kuwakumbatia wawekezaji katika kuiba ardhi na rasilimali ya wanyonge

Huu ni ujumbe unao zunguka kwenye Mitandao ya kijamii twitter, facebook na myspace pia sms kwa njia ya simu zimeanza kusambaaa nchi nzima.
UMESAHAU YAFUATAYO
11.udini uliokithiri
12. ukabila wa waziwazi
13. uchochezi na uvunjifu wa amani na
14. uzushi na uongo wenye mrengo wa kuandaa mazingira ya kupata uungwaji mkono
 
Alikuwa anajilinda asije akamwagiwa tindikali. Kazi ya silaha ni kujilinda mwenyewe na mali zako au kuwindia. Hapa ni wazi kabisa alikuwa anajilinda. Pia kuna jambo moja la kushangaza: Ukiwa na silaha hutakiwi kuiacha popote. Rage asingeweza kuiacha silaha guset kwa kuwa ikiibwa ingekuwa msala kwake hivyo ni vyema ukatembea nayo. Tatizo liko wapi?

bwana mdogo ombo msaada wa sheria
sheria za uchaguzi haziruhusu kumbea kwenye kampeni na silaha yeyote
hata ingekuwa ni fimbo bado ni kosa ila kwa kulindana najua atalindwa!?
 
UMESAHAU YAFUATAYO
11.udini uliokithiri
12. ukabila wa waziwazi
13. uchochezi na uvunjifu wa amani na
14. uzushi na uongo wenye mrengo wa kuandaa mazingira ya kupata uungwaji mkono

Kukosekana kwa bidhaa inayotumiwa mpaka na mtu wa chini yaani SUKARI.
Na bado mengine yatakuja tu maana walizotumia Igunga wanakuja kuzilipiza
 
Back
Top Bottom