Kitendawili cha nani mwenye vurugu kati ya wabunge wa CCM na CHADEMA chateguliwa

nice 2

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
747
520
Jana kwenye mchuano wa wagombea ubunge Igunga vurugu za malumbano ziliibuka na hivyo kusababisha kutokusikilizana, lakini kumbe vurugu hizo zilikuwa zinatokea eneo ambalo walikuwa wamekaa wabunge wa CCM, ndipo hapo Naibu katibu mkuu wa CDM, Zitto Kabwe alichukua hatua ya ziada na kupenya katikati ya wafuasi wa CCM na kumchomoa Mb. wa Tabora mjini Mhe. Ismail Aden Rage kisha kumpeleka walipokuwa wamekaa viongozi wenzake...... inasema sehemu ya habari iliyoandikwa kwenye gazeti la leo la MTANZANIA.

Kwa kitendo hiki, kile kitendawili cha wabunge gani wanaosababisha vurugu kati ya wale wa CCM na CHADEMA kimeteguliwa
 
Huyu anachoringia ni hicho hapo kiunoni.
View attachment 37913
 
ADEN RAGE YEYE SIASA WAPINAWAPI? MIMI NASEMA UKITAKA KUFUATILIA HATA HISTORIA YAKE SHULE YA MSINGI NAHISI MUTAGUNDUA MENGI SANA, NA SI YEYE TUU, WABUNGE KARIBU WOTE WA CCM, NDIVYO WALIVYO, HATA MAWAZIRI, HAYA WANAYO YAFANYA KATIKA KUILISHA HASARA SELIKALI SI MAKUSUDI UWEZO WENYEWE WA KUIENDESHA NA KUIONGOZA SELIKALI HAKUNA WAKO MBUKWAAA KIUONGOZI,, SASA KAMA SHERIA ANAIJUA BASTOLA KIUNONI INAFUATANINI,, tANZANIA KUNA AMANI VYOMBO VYA MOTO VYA KAZI GANI?
 
Siku zote vurugu huanzishwa na ccm kisha wanawahi kutangaza kuwa chadema inataka kuvuruga amani ili wanachi waichukie chadema. Lakini jinsi siku zinavyokwenda watu wamekwisha watambua na hawatadanganyika tena.
 
Nani sasa mwenye vurugu huyu aliyetoka na kwenda kumchomoa mwenzake au aliyechomolewa?
 
ADEN RAGE YEYE SIASA WAPINAWAPI? MIMI NASEMA UKITAKA KUFUATILIA HATA HISTORIA YAKE SHULE YA MSINGI NAHISI MUTAGUNDUA MENGI SANA, NA SI YEYE TUU, WABUNGE KARIBU WOTE WA CCM, NDIVYO WALIVYO, HATA MAWAZIRI, HAYA WANAYO YAFANYA KATIKA KUILISHA HASARA SELIKALI SI MAKUSUDI UWEZO WENYEWE WA KUIENDESHA NA KUIONGOZA SELIKALI HAKUNA WAKO MBUKWAAA KIUONGOZI,, SASA KAMA SHERIA ANAIJUA BASTOLA KIUNONI INAFUATANINI,, tANZANIA KUNA AMANI VYOMBO VYA MOTO VYA KAZI GANI?
mkuu jifunze kuongea taratibu na si kwa kupayuka, unatupigia kelele
 
Tarehe 3 mwezi October 2011 watanzania kuvaa nguo nyeus kulaani utendaji wa serikali kama kama unaguswa na mambo yafuatayo basi na wewe vaa na umwambie na mwenzako kama yana muhusu naye avae.
1.ukosefu wa ajira
2.kupanda kwa gharama za maisha
3.huduma mbaya za afya, elimu na maji.
4.ukosefu wa umeme
5. Ufisadi
6.mikataba mibovu
7. Ubaguzi kwenye mikopo ya elimu ya juu
8.malipo duni ya wafanyakazi wa serikali
9.ufujaji wa mali ya umma kwa watendaji wa serikali kwa safari zisizo na tija.
10. Kuwakumbatia wawekezaji katika kuiba ardhi na rasilimali ya wanyonge

Huu ni ujumbe unao zunguka kwenye Mitandao ya kijamii twitter, facebook na myspace pia sms kwa njia ya simu zimeanza kusambaaa nchi nzima.
 
ADEN RAGE YEYE SIASA WAPINAWAPI? MIMI NASEMA UKITAKA KUFUATILIA HATA HISTORIA YAKE SHULE YA MSINGI NAHISI MUTAGUNDUA MENGI SANA, NA SI YEYE TUU, WABUNGE KARIBU WOTE WA CCM, NDIVYO WALIVYO, HATA MAWAZIRI, HAYA WANAYO YAFANYA KATIKA KUILISHA HASARA SELIKALI SI MAKUSUDI UWEZO WENYEWE WA KUIENDESHA NA KUIONGOZA SELIKALI HAKUNA WAKO MBUKWAAA KIUONGOZI,, SASA KAMA SHERIA ANAIJUA BASTOLA KIUNONI INAFUATANINI,, tANZANIA KUNA AMANI VYOMBO VYA MOTO VYA KAZI GANI?

Alikuwa anajilinda asije akamwagiwa tindikali. Kazi ya silaha ni kujilinda mwenyewe na mali zako au kuwindia. Hapa ni wazi kabisa alikuwa anajilinda. Pia kuna jambo moja la kushangaza: Ukiwa na silaha hutakiwi kuiacha popote. Rage asingeweza kuiacha silaha guset kwa kuwa ikiibwa ingekuwa msala kwake hivyo ni vyema ukatembea nayo. Tatizo liko wapi?
 
Nani sasa mwenye vurugu huyu aliyetoka na kwenda kumchomoa mwenzake au aliyechomolewa?

Yeah nami sijaona hasa nani sasa mwenye vurugu ama al shabab rage pale alipokuwa amekaa ndio ilimaanisha vurugu? na huyu aliyeenda kumchomoa maana yake ilikuwa nn
 
Alikuwa anajilinda asije akamwagiwa tindikali. Kazi ya silaha ni kujilinda mwenyewe na mali zako au kuwindia. Hapa ni wazi kabisa alikuwa anajilinda. Pia kuna jambo moja la kushangaza: Ukiwa na silaha hutakiwi kuiacha popote. Rage asingeweza kuiacha silaha guset kwa kuwa ikiibwa ingekuwa msala kwake hivyo ni vyema ukatembea nayo. Tatizo liko wapi?

Katika hili la Rage tatizo si kutembea nayo bali kuifanyia maonyesho, kwani watu wangapi nchi hii wanamiliki silaha za moto na hutembea nazo? Hata mbunge mwenzake aeshi hilaly anayetajwa kufyatua risasi jumamosi usiku hajaonekana akiionyesha hadharani.

Pamoja na tofauti zetu za rangi ama kabila ama asili lakini mwisho wa siku wote ni watanzania na lazima tuambizane ukweli na kulinda usalama wetu, na hapo hakuna siasa za ccm, chadema wala cuf.
 
Wote tuna silaha kama yeye lakini hatuionyeshi ovyo kama yeye. Huyu ni mshamba sana labda kwasababu si Mtanzania ni Msomali. Silaha anaweza kunyang'anywa na isimsaidie kitu. Crape
 
Yeah nami sijaona hasa nani sasa mwenye vurugu ama al shabab rage pale alipokuwa amekaa ndio ilimaanisha vurugu? na huyu aliyeenda kumchomoa maana yake ilikuwa nn

Mkuu kama ungeongeza bidii kidogo katika kufikiri na kutafakari ungegundua kwamba baada ya al shabab rage kuhamishwa kelele ziliisha na mdahalo ukaendelea kwa utulivu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom