Kitakachowaponza CHADEMA ni hiki hapa

Kwanza naomba ku-declare kuwa mimi si mshabiki wa chama chochote cha siasa! ila ni mfuatiliaji nikipenda kujua sera na mikakati ya kila chama! Hv sasa vijana walio wengi wanadhani kuwa chadema ndicho chama kitakachokuja kuwakomboa na kuwaondolea wimbi la umasikini!
Binafsi nimekuwa nikifuatilia mambo mbalimbali yanayojadiliwa hapa kwenye jukwaa la siasa! Tatizo kubwa nililoliona kwa washabiki wa chadema ni kuwa mara nyingi/wengi wanapoona mtu ameanzisha thread ya kuichallenge chadema hulipuka kwa majibu makali, dharau, kejeli au kashfa....mara utasikia eti hauna akili, au mnafiki au majibu makali, hili ni tatizo.. Unapopata challenge lazima uipangua kwa hoja yenye hekima na busara jambo hilo litatufanya tuwaamini ni kuwapa dola lakini si kwa majibu ya kejeli, kashfa au dharau.. ieleweke nyie wenye majibu ya mtindo huo ndo mtakaokuwa maDC, wenyeviti wa mitaa n.k...sasa majibu yenu ndo yatakuwa hivyo kwa wananchi wenu? Jitafakarini............................
Sasa mbona hutoi m wongozo twende wapi au tufanye nini au dola unasema tumpe nani maana inaonekana ni mchambuzi mzuri sana. Ila nimekushtukia umeenda ccm , cuf na vyama vingine ukaona chadema pekee ndio kinaweza kuchukua dola ndio maana unashauri kijipange zaidi. Asante sana lakini ukija na hoja za kupandikiza watu wanakupandia, ukija na za kujenga tunajenga wote, sio kuleta kila siku hoja za ooh watu wa kaskazini,, oooh cha kanisa halafu watu wapoteze mda na wewe. Asante na usikate tamaa kutoa ushauri.
 
umejitahidi kunielewa kuwa lengo langu ni chadema wajitahidi kujipanga waachane na matusi na kejeli waje na mtindo mwingine ili wawakomboe na kuwaletea watanzania uhuru wa kweli
 
naungana na mtoa mada kama unaona ujavutiwa na mada usika piga kimya sio kila kitu ucomment leave it hili mtoa mada hajue hakuna cha maana alicho andika hili ndio soln lakin sio kukaa na kucoment kwa maneno mabaya mnakuwa hamna tofauti na mwigulu na livistone wakiwa wanajibu hoja ngumu za cdm wanaishia kutukna na kutoa hoja dhaifu tuwe makin leo huko mpinzani kesho mtawala jaribu kuwa neutral kupokea challenge nakuzifanyia kazi sio kila kitu ww ndio sahihi hakuna binadamu alie sahihi muda wote
 
Back
Top Bottom