Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,403
- 920
Your another pumbaman
Kwanza naomba ku-declare kuwa mimi si mshabiki wa chama chochote cha siasa! ila ni mfuatiliaji nikipenda kujua sera na mikakati ya kila chama! Hv sasa vijana walio wengi wanadhani kuwa chadema ndicho chama kitakachokuja kuwakomboa na kuwaondolea wimbi la umasikini!
Binafsi nimekuwa nikifuatilia mambo mbalimbali yanayojadiliwa hapa kwenye jukwaa la siasa! Tatizo kubwa nililoliona kwa washabiki wa chadema ni kuwa mara nyingi/wengi wanapoona mtu ameanzisha thread ya kuichallenge chadema hulipuka kwa majibu makali, dharau, kejeli au kashfa....mara utasikia eti hauna akili, au mnafiki au majibu makali, hili ni tatizo.. Unapopata challenge lazima uipangua kwa hoja yenye hekima na busara jambo hilo litatufanya tuwaamini ni kuwapa dola lakini si kwa majibu ya kejeli, kashfa au dharau.. ieleweke nyie wenye majibu ya mtindo huo ndo mtakaokuwa maDC, wenyeviti wa mitaa n.k...sasa majibu yenu ndo yatakuwa hivyo kwa wananchi wenu? Jitafakarini............................
VMark likes your comment Mtumishi........be blessed!Kitakachowaponza
CHADEMA ni hiki hapa
MBONA SIJAKIONA HICHO KITU?!
jaribu kuwa mwelewa mimi sifurahishwi hata kidogo na mwenendo wa magamba....
huwa sijawahi anzisha thread yoyote ya kuwaponda chadema....ila ninachosema ni kwamba tujaribu kujikita kujibu kwa hoja badala ya matusi!!!!!!!! mbona hamuwi waelewa?
Nawashangaa wanaotetea chama cha msimu CDM!
wewe unaumwa mavi nini?najua wewe ni vccm ambaye umechua fomu unatakugombea uongozi fulani,gombea salama na sio kuwachalenji watu.
sina umagamba wowote ila nasimama penye ukweli popote iwe ni magamba nitawapa za uso na cdm pia sitawaficha lolote katika hili mmeingia choo cha.............. Kubalini
Youth and wisdom can not coexist!Kwanza naomba ku-declare kuwa mimi si mshabiki wa chama chochote cha siasa! ila ni mfuatiliaji nikipenda kujua sera na mikakati ya kila chama! Hv sasa vijana walio wengi wanadhani kuwa chadema ndicho chama kitakachokuja kuwakomboa na kuwaondolea wimbi la umasikini!
Binafsi nimekuwa nikifuatilia mambo mbalimbali yanayojadiliwa hapa kwenye jukwaa la siasa! Tatizo kubwa nililoliona kwa washabiki wa chadema ni kuwa mara nyingi/wengi wanapoona mtu ameanzisha thread ya kuichallenge chadema hulipuka kwa majibu makali, dharau, kejeli au kashfa....mara utasikia eti hauna akili, au mnafiki au majibu makali, hili ni tatizo.. Unapopata challenge lazima uipangua kwa hoja yenye hekima na busara jambo hilo litatufanya tuwaamini ni kuwapa dola lakini si kwa majibu ya kejeli, kashfa au dharau.. ieleweke nyie wenye majibu ya mtindo huo ndo mtakaokuwa maDC, wenyeviti wa mitaa n.k...sasa majibu yenu ndo yatakuwa hivyo kwa wananchi wenu? Jitafakarini............................
Youth and wisdom can not coexist!
All parties represented by youth at any given forum. CCM, CDM, CUF I have heard enough to draw such conclusion.. It's my perception though..By saying this,do you admit that CHADEMA's youth are unwise?
hofu yangu mkuu ni kuwa chama kinajengwa na wanachama! kama wanachama wapo hovyo hovyo ni dhahiri chama kitakuwa cha hovyo hovyo!!!