Kitakachowaponza CHADEMA ni hiki hapa

zema21

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
619
251
Kwanza naomba ku-declare kuwa mimi si mshabiki wa chama chochote cha siasa! ila ni mfuatiliaji nikipenda kujua sera na mikakati ya kila chama! Hv sasa vijana walio wengi wanadhani kuwa chadema ndicho chama kitakachokuja kuwakomboa na kuwaondolea wimbi la umasikini!

Binafsi nimekuwa nikifuatilia mambo mbalimbali yanayojadiliwa hapa kwenye jukwaa la siasa! Tatizo kubwa nililoliona kwa washabiki wa chadema ni kuwa mara nyingi/wengi wanapoona mtu ameanzisha thread ya kuichallenge chadema hulipuka kwa majibu makali, dharau, kejeli au kashfa....mara utasikia eti hauna akili, au mnafiki au majibu makali, hili ni tatizo..

Unapopata challenge lazima uipangua kwa hoja yenye hekima na busara jambo hilo litatufanya tuwaamini ni kuwapa dola lakini si kwa majibu ya kejeli, kashfa au dharau.. ieleweke nyie wenye majibu ya mtindo huo ndo mtakaokuwa maDC, wenyeviti wa mitaa n.k...sasa majibu yenu ndo yatakuwa hivyo kwa wananchi wenu?

Jitafakarini............................
 
Majibu hutokana na swali lilivyoulizwa. Ukiuliza utumbo usitegemee kujibiwa tofauti! Got it?
 
Jitahidi kutafuta ngozi ngumu kustahimili mashambulizi toka upande mwingine. Sio lazima watu wakufurahie kwa kila jambo.

Mfano mzuri rais wetu JK anapenda kufurahishwa tu na wasaidizi wake hataki kuskia ukweli unaouma na matokeo yake anadanganywa kila siku.

Hata wewe mleta mada kama unapenda kufurahishwa tu bila kupingwa nenda facebook ambako atakayekupinga unamdelete, ila hapa lazima watu wakushukie tu.
 
Majibu hutokana na swali lilivyoulizwa. Ukiuliza utumbo usitegemee kujibiwa tofauti! Got it?
jaribuni kujenga hoja katika majibu yenu!!!!!!! hv ukiwa unaoga akaja chizi na kuchukua nguo zako akakimbia nazo utamkimbiza!?

nani atakayeonekana chizi zaidi?
kama mtu akianzasha utumbo mjibu kwa hoja ili ajione yeye mjinga
 
Jitahidi kutafuta ngozi ngumu kustahimili mashambulizi toka upande mwingine. Sio lazima watu wakufurahie kwa kila jambo. Mfano mzuri rais wetu JK anapenda kufurahishwa tu na wasaidizi wake hataki kuskia ukweli unaouma na matokeo yake anadanganywa kila siku. Hata wewe mleta mada kama unapenda kufurahishwa tu bila kupingwa nenda facebook ambako atakayekupinga unamdelete, ila hapa lazima watu wakushukie tu.
jaribu kuwa mwelewa mimi sifurahishwi hata kidogo na mwenendo wa magamba....
huwa sijawahi anzisha thread yoyote ya kuwaponda chadema....ila ninachosema ni kwamba tujaribu kujikita kujibu kwa hoja badala ya matusi!!!!!!!! mbona hamuwi waelewa?
 
better remain silent and be considered a fool than speaking and remove all the doubt
 
Kwanza naomba ku-declare kuwa mimi si mshabiki wa chama chochote cha siasa! ila ni mfuatiliaji nikipenda kujua sera na mikakati ya kila chama! Hv sasa vijana walio wengi wanadhani kuwa chadema ndicho chama kitakachokuja kuwakomboa na kuwaondolea wimbi la umasikini!
Binafsi nimekuwa nikifuatilia mambo mbalimbali yanayojadiliwa hapa kwenye jukwaa la siasa! Tatizo kubwa nililoliona kwa washabiki wa chadema ni kuwa mara nyingi/wengi wanapoona mtu ameanzisha thread ya kuichallenge chadema hulipuka kwa majibu makali, dharau, kejeli au kashfa....mara utasikia eti hauna akili, au mnafiki au majibu makali, hili ni tatizo.. Unapopata challenge lazima uipangua kwa hoja yenye hekima na busara jambo hilo litatufanya tuwaamini ni kuwapa dola lakini si kwa majibu ya kejeli, kashfa au dharau.. ieleweke nyie wenye majibu ya mtindo huo ndo mtakaokuwa maDC, wenyeviti wa mitaa n.k...sasa majibu yenu ndo yatakuwa hivyo kwa wananchi wenu? Jitafakarini............................
sasa hili ni tatizo la Chadema au la wafuasi/washabiki wa chadema?
 
Mleta thread umeongea jambo la maana mno,kujibu kwa hoja nzito ndio msingi wa u great thinker...ila mtu akipost thread ya kijinga,kwa mfano kuna mtu amewahi kupost humu thread ambayo maneno pekee aliyo andika ni,"CHADEMA HAIFIKI MWAKA 2015."Hii haikuwa title bali ndio content ya thread yake.

Kumuita mtu kama huyu ni KILAZA ni kumtendea haki kabisa.
 
Jitahidi kutafuta ngozi ngumu kustahimili mashambulizi toka upande mwingine. Sio lazima watu wakufurahie kwa kila jambo. Mfano mzuri rais wetu JK anapenda kufurahishwa tu na wasaidizi wake hataki kuskia ukweli unaouma na matokeo yake anadanganywa kila siku. Hata wewe mleta mada kama unapenda kufurahishwa tu bila kupingwa nenda facebook ambako atakayekupinga unamdelete, ila hapa lazima watu wakushukie tu.
jaribu kuwa mwelewa mimi sifurahishwi hata kidogo na mwenendo wa magamba....
huwa sijawahi anzisha thread yoyote ya kuwaponda chadema....ila ninachosema ni kwamba tujaribu kujikita kujibu kwa hoja badala ya matusi!!!!!!!! mbona hamuwi waelewa?
 
Kwanza naomba ku-declare kuwa mimi si mshabiki wa chama chochote cha siasa! ila ni mfuatiliaji nikipenda kujua sera na mikakati ya kila chama! Hv sasa vijana walio wengi wanadhani kuwa chadema ndicho chama kitakachokuja kuwakomboa na kuwaondolea wimbi la umasikini!
Binafsi nimekuwa nikifuatilia mambo mbalimbali yanayojadiliwa hapa kwenye jukwaa la siasa! Tatizo kubwa nililoliona kwa washabiki wa chadema ni kuwa mara nyingi/wengi wanapoona mtu ameanzisha thread ya kuichallenge chadema hulipuka kwa majibu makali, dharau, kejeli au kashfa....mara utasikia eti hauna akili, au mnafiki au majibu makali, hili ni tatizo.. Unapopata challenge lazima uipangua kwa hoja yenye hekima na busara jambo hilo litatufanya tuwaamini ni kuwapa dola lakini si kwa majibu ya kejeli, kashfa au dharau.. ieleweke nyie wenye majibu ya mtindo huo ndo mtakaokuwa maDC, wenyeviti wa mitaa n.k...sasa majibu yenu ndo yatakuwa hivyo kwa wananchi wenu? Jitafakarini............................

sigara gani umevuta mchana huu we juha? Acha mawazo ya pombe.

Nyambaff...........!
 
JF ina majukwaa mengi sana, angalia jukwaa ambako post yako ita-fit
 
Kukusaidia kidogo hapo kwenye rangi nyekundu, CHADEMA wakiingia madarakani hawatakuwa na hao watu kwenye utawala wao manake wanaamini kwamba kuwa nao ni kufuja rasilimali chache tulizonazo!
 
sigara gani umevuta mchana huu we juha? Acha mawazo ya pombe.

Nyambaff...........!
ndo majibu yenu haya yaani hapa hakuna hoja wala jibu lolote la kuonyesha ukomavu wa kisiasa ila ni matusi!!! hivi ndo mtatuongoza kwa mtindo huo? wananchi wategemee nini toka kwenu poleni
 
Kukusaidia kidogo hapo kwenye rangi nyekundu, CHADEMA wakiingia madarakani hawatakuwa na hao watu kwenye utawala wao manake wanaamini kwamba kuwa nao ni kufuja rasilimali chache tulizonazo!
okay hata kama hamtakuwa na maDC basi viongozi wa kada za kati na za chini
 
sigara gani umevuta mchana huu we juha? Acha mawazo ya pombe.

Nyambaff...........!

Kaka this is too much......busara japo kidogo itumike hata kama mtu ameandika UTUMBO, sifikiri kama ni busara kumjibu namna hiyo....Samahani kama nimekukwanza, NAOGOPA KWELI KUITWA JUHA......namkumbuka MFALME JUHA.

Siyo kweli kwenye thread yake hakuna hata moja la maana, yapo machache ya kuyafanyia kazi. Ni kweli, baadhi ya WASHABIKI wa CDM wamekuwa wakitukana au kutoa lugha ya dharau punde inapotokea CHALLENGE au criticism.

Nashauri tubadilike, tutoe majibu yenye busara hata kwa maswali mabovu ili muulizaji au mtoa hoja ajione MJINGA, vinginevyo tutajipa matumaini lakini mwisho wa siku WASHABIKI watatuharibia, japo mashabiki hawakiathiri chama DIRECTLY, but all of us we are seen as if we dont spend a minute to think before we talk.
NI MTAZAMO TU.
 
Back
Top Bottom