Kitabu kipya: Tanzania na propaganda za udini na prof. Ibrahim Noor

Nimesoma kitabu kinachojadiliwa hapa na bado nnaendelea kukisoma, kawaida yangu, hukisoma kitabu nilichokipenda mara nyingi sana, mpaka maudhui iniingie haswa. Jee, wewe umekisoma?

Ukikisoma na kukisoma na kukisoma hadi maudhui ikakuingia haswa kama unavyosema, je hiyo inafanya maudhui hiyo kuwa ya kweli? Kumbuka, endapo utasoma kwa style hiyo hadi maudhui ikaingia vilivyo, na ikatokea kitabu kimeweka uongo ndani yake, hata kama si waziwazi, uongo utakujaa na kuwa sehemu ya falsafa na imani yako.
 
Hayo ndiyo makosa uyafanyayo, Uarabu si rangi wala si kabila - kumbuka hilo. Ukichanganya tu rangi unakosea sana tena sana.

Mimi nataka wewe uniambie Wabantu walimkuta nani Afrika ya Mashariki, si kwa kukisia kwa ushahidi wa Kihistoria.

Zingine zote umepiga porojo bila ushahidi wowote.

Kumbuka haya; Jina Afrika ni kiarabu. Lugha kubwa Afrika ni Kiarabu. Waarabu wako wengi Afrika kuliko kontinenti lingine lolote lile. Kiswahili kwa asilimia kubwa kinatokana na Kiarabu.

Wewe ni Mbantu wa wapi?

kama Kingereza kinapanda na haujuwi ni Mbantu wa asili ipi, soma hapa, historia inayofundishwa leo hii Chuo Kikuu cha Makerere na duniani, ili ujielewe:

BANTU MIGRATION

Between 1000-1800 AD, East Africa experienced a wave of migrations from different parts of Africa. The Bantu from the Congo or the Niger Delta Basin were the first to arrive, followed by the Luo from Bahr el Ghazel in Southern Sudan and then the Ngoni from Southern Africa.

Who were the Bantu?

The term Bantu refers to group of people who speak the same or similar language with common word "NTU" which means a person. The Bantu-speaking groups include the Baganda, Banyoro, Batoro in Uganda, Kikuyu, Akamba, Meru, Embu, Taita, Giryama, Digo in Kenya and Pokomo, Chagga, Yao, Segeju, Zaramo in Tanzania, as well as many other smaller groups.

Origin

There are two versions explaining the migration of the Bantu. The first version asserts that the Bantu came from West Africa around the Cameroon Highlands and Baunchi plateau of Nigeria; therefore, this points to the Niger basin as the possible cradle land of the Bantu. The second version posits that the Bantu came from the Katanga region in Southeastern Congo. Gradually they spread eastward north of the forest and southward to the forest's edge near the lower Congo or Zaire and lower Kasai. The occupation of the north western (Cameroon- Gabon) was fairly slow due to difference in languages. Else where especially in eastern and southern Africa beginning at the edge of the forest, the spread must have been fast due to the relationship in languages.

The study of migrations will help the learners to understand their origin and settlement patterns, appreciate the interrelationship between the different peoples of East Africa like cultures, customs, etc. They will also understand change and continuity in societies i.e. life is not static but dynamic and this explains the current movements of people to different parts of East Africa.

Soma zaidi: ELATE

Walimkuta nani na aliondokaje East Africa? They settled, not necessarily displaced some other people. Kwa nini tunataka ku-assume waliwakuta na kuwafukuza waarabu? Do Arabs look like people who would yield to an invasion from bantu migrants coming to settle on their land, while thmselve pack their belongings and relocate to settle in some desert in the middle east?
 
Kuna watu bado watakuwa wanaamini kuwa, BINADAMU WA KWANZA ALIKUA NYANI.

Nayo ni historia pia inayofundishwa mashuleni.

Ukweli mchungu,
Ila ukiujua USIACHE KUUSEMA.
 
Jembepori,
Naomba nikusahihishe.

Hiki kitabu sijakipeleka kwa Nyerere.
Sijui hili umelitowa wapi.

Soma utangulizi hiki kitu hakipo.

Makosa ni mengi katika bandiko lako sahihisha usomeke vizuri na
ueleweke.
 
Sadoliki,
Usiulize vyeti vya Maalim Faiza.
Inaelekea wewe ni mgeni hapa Majlis.

Faiza kajipambanua sana kama msomi makini si wa vyuo alivyosoma akiwa
keshakua bali hata vile vyuo alivyosoma akiwa na miaka 5/6.

Fanya utafiti mdogo.
Rejea nyuma humu Majlis soma michango yake utamjua.

Hapa Majlis ukileta habari ya vyeti utatufukuza wengi ingawa hatuna vyeti lakini
kwa kweli kwa namna yetu tunachangia kama mnavyochangia wasomi kama wewe
wenye vyeti.

Mtu hafukuzwi hapa barzani kwa kososa cheti wala hakatazwi kuchangia kwa kukosa
cheti.

Ila hapa majlis ni ruksa kuwaona wenzio wajinga au waliosomea ujinga kwa kuwa hawana elimu sawa na yako uliyoipata tangu ukiwa na miaka mitano au chini ya hapo.
 
Hivi wewe hauamini katika jihad? Jihad ni kufanya jitihada katika chochote ukifanyacho.

Hivi huna jitihada yoyote uifanyao katika maisha yako? au umeaminishwa kuwa jihad ni nini?

Tupatie elimu bibie, Jihad ni nini? Najua utafafanua kwa tafsiri ya sasa kama vile Wakristo wanavyoifafanua Crusade nyakati hizi.

Kumbuka, kila jina lina asili yake lkn kwa kuwa lugha inakua, sio ajabu tafsiri nayo ikabadilika kufuatana na hali ya sasa.

Ukweli niujuao, vita vya Jihad ni sawa na vita vya Crusade, Crusade ilianzishwa kuikabili Jihad. Na Jihad ni vita ya kiimani.

Vv
 
Vyamavingi,
Hapa tunazungumzia kitabu cha Prof. Ibrahim Noor hatuko kwenye
somo la jihad.

Ikiwa unataka kuzungumzia mada hiyo fungua uzi mpya kwenye
jukwaa husika.
 
Ila hapa majlis ni ruksa kuwaona wenzio wajinga au waliosomea ujinga kwa kuwa hawana elimu sawa na yako uliyoipata tangu ukiwa na miaka mitano au chini ya hapo.

Utotole,
Simjibii Maalim Faiza lakini nitapenda kueleza uzoefu wangu hapa Majlis.
Nimegundua kuwa wengi katika wachangiaji si wasomaji vitabu.

Weka kando hilo.

Hata wanapochangia uelewa wao wa hilo wanalotaka kulisemea huwa mdogo
sana.

Sasa tuje katika ile elimu ya chuoni ambayo baadhi yetu tumepata tukiwa na
miaka 5/6 ambayo Maalim Faiza amejaribu sana kuieleza hapa barazani ni kuwa
sisi chuoni tukiwa wadogo tukifunzwa kwanza "adab" yaani tabia njema.

Nimeshuhudia hapa watu wakitumia lugha za matusi, kebehi na kejeli katika
mijadala.

Sisi hili tumefunzwa toka tuko wadogo kabisa kuwa kutukana ni kosa kubwa sana.

Ndipo hapo Maalim Faiza anakuwa anauliza huko chuoni nyinyi mmefunzwa kitu
gani?

Mengine namwachia mwenyewe Maalim Faiza.
 
Walimkuta nani na aliondokaje East Africa? They settled, not necessarily displaced some other people. Kwa nini tunataka ku-assume waliwakuta na kuwafukuza waarabu? Do Arabs look like people who would yield to an invasion from bantu migrants coming to settle on their land, while thmselve pack their belongings and relocate to settle in some desert in the middle east?

Unafanya "assumption" bila kufanya kautafiti japo kiduchu na bila kumsoma Professor Ibrahim Noor Shariff ukajipatia jibu maridhawa kwa hilo swali.

Leo tunasikia Waafrika wanafukuzwa na kuuliwa Afrika ya Kusini, jee si Afrika ile? Na Waafrika si kwao kule kwa mantiki hiyo yako, kulikoni?

Vipi ulisikia Kaburu ambae asili yake ni Uropa akifukuzwa na kuuliwa na haohao Waafrika wenzetu wenye asili na fasili ya hili bara? na hao leo hii ndiyo wenye kuhodhi mali za huko kushinda Mwaafrika yeyote ndani ya Afrika kusini?

Majibu yake wale yasikupe shida, ukisoma ukurasa wa 17 wa kitabu kinachobeba hii mada utapata jibu zuri kabisa.
 
Utotole,
Simjibii Maalim Faiza lakini nitapenda kueleza uzoefu wangu hapa Majlis.
Nimegundua kuwa wengi katika wachangiaji si wasomaji vitabu.

Weka kando hilo.

Hata wanapochangia uelewa wao wa hilo wanalotaka kulisemea huwa mdogo
sana.

Sasa tuje katika ile elimu ya chuoni ambayo baadhi yetu tumepata tukiwa na
miaka 5/6 ambayo Maalim Faiza amejaribu sana kuieleza hapa barazani ni kuwa
sisi chuoni tukiwa wadogo tukifunzwa kwanza "adab" yaani tabia njema.

Nimeshuhudia hapa watu wakitumia lugha za matusi, kebehi na kejeli katika
mijadala.

Sisi hili tumefunzwa toka tuko wadogo kabisa kuwa kutukana ni kosa kubwa sana.

Ndipo hapo Maalim Faiza anakuwa anauliza huko chuoni nyinyi mmefunzwa kitu
gani?

Mengine namwachia mwenyewe Maalim Faiza.

Nashukuru kwa haya uliyoongea. Ni kweli, ila kwa suala la adabu, kuepuka matusi, kebehi na kejeli, naamini Faizafoxy hajaelimika bado. Michango yake mingi imejaa kebehi hasa pale anapokosa point yenye nguvu hasa hasa katika majukwaa ya kisiasa. Sina uzoefu na mijadala yake kwenye masuala ya historia au dini. Kwa tafsiri yako hii, yampasa atathmini elimu yake ya awali na jinsi anavyoitumia sasa.
 
Jisome post yako namba 117 halafu linganisha na post zangu humu, utaona ni nani ambae hajaelimika.

Isitoshe, kuna msemo umezagaa sana humuhumu JF mti wenye matunda ndiyo hupopolewa kwa mawe, utaupopoa mti hauna tunda si utakuwa chizi?

Jee, umekisoma kitabu cha Professor Ibrahim Noor Shariff?
 
Tupatie elimu bibie, Jihad ni nini? Najua utafafanua kwa tafsiri ya sasa kama vile Wakristo wanavyoifafanua Crusade nyakati hizi.

Kumbuka, kila jina lina asili yake lkn kwa kuwa lugha inakua, sio ajabu tafsiri nayo ikabadilika kufuatana na hali ya sasa.

Ukweli niujuao, vita vya Jihad ni sawa na vita vya Crusade, Crusade ilianzishwa kuikabili Jihad. Na Jihad ni vita ya kiimani.

Vv

Jibu lako soma post namba 185, siwezi ongeza zaidi ya hilo ulilojibiwa na Alama Mohamed Said.
 
Swadakta.

Kwa hiyo unapingana na hoja ya wasomi na historia wanayoifundisha hapo Makerere, niliyokubandikia hapo juu? maana kitabu hujakisoma, au na hiyo pia hujaisoma? kama umeisoma hebu nioneshe Msafwa na Mnyakyusa uliowataja wapo katika hiyo historia ya Wabantu au hawapo?

Ukimaliza hilo, sasa soma wanasayansi wa vinasaba wanasema nini:

999999.gif

New DNA evidence suggests "African Eve", the 150,000-year-old female ancestor of every person on Earth, may have lived in Tanzania or Ethiopia.

A genetic study has shown that the oldest known human DNA lineages are those of East Africans. The most ancient populations include the Sandawe, Burunge, Gorowaa and Datog people who live in Tanzania.

Researchers found a very high amount of genetic variation, or diversity, between the mitochondrial DNA of different individuals in these populations.

Chanzo na soma zaidi: BBC NEWS | Science/Nature | Tanzania, Ethiopia origin for humans

Cha kushangaza, hakuna Mbantu katika hayo makabila.

Ndiyo maana huwa nnauliza, jee mnaijuwa historia ya wa Iraqw wa Tanzania? Wengi hawajibu, wachache wanaojibu husema asili ya wa Iraqw ni Waarabu wa Iraq, lakini sayansi ya vinasaba kama ilivyoripotiwa na BBC na niliyokuwekea hapo juu, inasema hao ndiyo katika binaadam wa mwanzo duniani na asili yao ni Tanzania ya leo na huko kwengine kote walikwenda tu.

Sijui hicho kinakufundisha nini?
FaizaFoxy, Mimi nataka wewe unambie Wasandawe na WaBurunge ni Wabantu au sio wabantu, na kama sio asili yao nini?
 
Jisome post yako namba 117 halafu linganisha na post zangu humu, utaona ni nani ambae hajaelmika.

Isitoshe, kuna msemo umezagaa sana humuhumu JF mti wenye matunda ndiyo hupopolewa kwa mawe, utaupopoa mti hauna tunda si utakuwa chizi?

Jee, umekisoma kitabu cha Professor Ibrahim Noor Shariff?

Ni mtazamo tu.
Hata usiokuwa na matunda kama unakula mbolea ya bure unakatwa ili ikue yenye faida
Finally, sikumbuki kama nimesema habari ya kujitapa kuwa nimeelimika
Zilizobaki ni 'politics'
 
FaizaFoxy, Mimi nataka wewe unambie Wasandawe na WaBurunge ni Wabantu au sio wabantu, na kama sio asili yao nini?

Kama ulipitia post ya Makerere inayoelezea Wabantu utaelewa kuwa Wanahistoria wanaelezea kuwa u Bantu unakuwa "defined" kutokana na lugha.

Kwa vigezo hivyohivyo Wanahistoria wanaelezea kuwa Wasandawe na Waburunge si Wabantu, ushahidi:

Sandawe
The Sandawe language may share a common ancestor with the Khoe languages of southern Africa. It has clicks and the surrounding Bantu peoples find it difficult to learn. It is unrelated to the neighboring Bantu languages, though it has been lightly influenced by neighboring Cushitic languages

Soma zaidi: Sandawe people - Wikipedia, the free encyclopedia

Burunge
History: The Burunge belong to a small cluster of ethnic groups in Tanzania known as the Southern Cushites. Their ancestors are believed to originate from the Ethiopean plateau. A first trace of this occupation dates from the Upper Paleolithic period. At some time before 1000BC new waves of Caucasoid people began to fan out from southern Ethiopia bringing with them a full Neolithic culture with agriculture and domestic animals. The difference betweeen the languages of the Southern Cushites in Tanzania and the Cushites of Southern Ethiopia suggest a long period of isolation and linguistic differentiation. (Murdock pp 193-196)

Soma zaidi: The Burunge PeopleÂ--Â-TheTask.net
 
Ni mtazamo tu.
Hata usiokuwa na matunda kama unakula mbolea ya bure unakatwa ili ikue yenye faida
Finally, sikumbuki kama nimesema habari ya kujitapa kuwa nimeelimika
Zilizobaki ni 'politics'

Umeona tatizo enh!

Huja"jitapa" kuwa umeelimika lakini umejipata kuwa FaizaFoxy hajaelimika. Au sivyo? sasa kama hujaelimika unafikiri nitegemee nini kutoka kwako? kuwa utaniona nimeelimika? Si rahisi. Ilm ni bahari na hakuna awezae kuibeba yote - kumbuka hilo. Mradi nipo duniani, kila siku, dakika na saa nnajifunza na sitegemei kumaliza kujifunza mpaka siku ya mwisho ya uhai wangu wa duniani - kumbuka na hilo.

Naam, mti usio na faida hukatwa ili uoteshwe mwengine wenye faida, ndiyo ilm hiyo. Lakini wenye faida haukatwi hupopolewa sana kwa mawe ili upate matunda yake, pia ni ilm hiyo.

Wala usiwe na hofu wewe popoa tu, ndivyo unavyozidi kufaidika.
 
Faiza Huyo Mwarabu Mwenyeji wa Africa Mashariki Unayemzungumzia wewe ni Mwarabu yupi? ( Mwarabu Mweusi? au Mwarabu wa mweupe kama wa Oman) maana kwa tafsiri yako Mwarabu ni mtu yeyote anayezungumza kiarabu, hata akiwa mbantu ie. mzaramo, akijifuza kiarabu au akizaa mtoto uarabuni akajua kiarabu basi huyo moja kwa moja ni mwarabu haijalishi rangi yake or asili yake
 
Kama ulipitia post ya Makerere inayoelezea Wabantu utaelewa kuwa Wanahistoria wanaelezea kwa u Bantu unakuwa "defined" kutokana na lugha.

Kwa vigezo hivyohivyo Wanahistoria wanaelezea kuwa Wasandawe na Waburuge si Wabantu, ushahidi:

Sandawe
The Sandawe language may share a common ancestor with the Khoe languages of southern Africa. It has clicks and the surrounding Bantu peoples find it difficult to learn. It is unrelated to the neighboring Bantu languages, though it has been lightly influenced by neighboring Cushitic languages

Soma zaidi: Sandawe people - Wikipedia, the free encyclopedia

Buruge
History: The Burunge belong to a small cluster of ethnic groups in Tanzania known as the Southern Cushites. Their ancestors are believed to originate from the Ethiopean plateau. A first trace of this occupation dates from the Upper Paleolithic period. At some time before 1000BC new waves of Caucasoid people began to fan out from southern Ethiopia bringing with them a full Neolithic culture with agriculture and domestic animals. The difference betweeen the languages of the Southern Cushites in Tanzania and the Cushites of Southern Ethiopia suggest a long period of isolation and linguistic differentiation. (Murdock pp 193-196)

Soma zaidi: The Burunge PeopleÂ--Â-TheTask.net
Faiza nimekuuliza swali asili ya watu hao, haya ya kutokea South au North haijibu kitu maana wabantu ni mjumuiko wa makabila mengi sana yanaweza fika 1000, na mengine hawaelewani kabisa katika lugha. Sasa unaponipa vitu nisome ina maana wewe mwenyewe hujui. Cushtic language ni lugha za watu weusi, Cush maana yake ni weusi, haina maana zaidi ya kutenganisha asili ya watu bali lugha za weusi na wageni. Lugha ni lugha inaweza kuongelewa na watu wasokuwa waarabu, na sio kweli kuwa asili ya Waarabu wote wanaongea kiarabu toka kina Ismail, mtu mweusi huwezi kuwa mwarabu kwa asili unachanganya sana. Hivyo usiliseme kabila kuwa ndio asili ya watu maana hata WaTutsi wanaongea lugha ya Kibantu japo sii Wabantu.

Neno Sangawe ni la kibantu na Buruge pia, hivyo kuwepo na mchanganyiko wowote baina ya weusi na waarabu ama makabila mengine inaweza kuzaa kabila tofauti na lugha tofauti,maana haya tunayozungumzia ni karne na karne zilizopita na ndio maana tumezua makabila tofauti.

Halafu unachonichosha ni kwamba unayatumia makabila hayo ya Sandawe na Buruge kuwa hawa ndio wenye asili ya Tanganyika, lakini unapo define makabila hayo hayo unaonyesha Asili yao hayapo wala hayatoki Tanganyika. Nani sasa mwenye asili ya Tanganyika ikiwa historia zako mbili zinatofautiana?

Wabantu asili yao ni KILIMO na fanya ufanyavyo utakuta kila asili ya Waafrika ina njia zake za asili katika maisha yao mbali kabisa na UKULIMA isipokuwa Wabantu tu ndi wenye asili hiyo. Na ajabu ni kwamba hata Kibantu chenyewe kuna makabila hawafanani hata kwa lafidh wala neno moja zaidi ya Mama na baba kufanana fanana.

Historia hiyo hiyo inatuambia binadamu wa kwanza alitokea ukanda huu yaani hata hao wazungu asili yao ni kwetu, sasa unapoleta Ubishi kama huu na ukashindwa kusimama mahala kuelezea jambo inakuwa shida kwa sababu unatumia vitabu vilivyoandikwa na watu pasipo source ila According to...Yale yale tunayoyakataa maana Quran inatuambia tofauti..
 
Vita vya dini havina mshindi,..

Unayosema Chakii ni kweli kabisa.
Nilipokisoma hiki kitabu nimeona kwamba hayo ndio makusudio ya muandishi wa kitabu. Anatuonya WaTZ tusisomeshe chuki za udini watoto wetu. Ametoa mifano mingi ya haya kutokana na vitabu vya shule zetu. Chuki za udini zitatuangamiza sote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom