Kiss ya mdomo (denda)

ah mchaji kwa nini asimwambie kwa utaratibu kwanza kabla ya kumtia vidonda?!

Mi sikushauri mamam mchingaji kwanza dhambi kisha atakunyima vyote shauri yako!! teh teh

Wewe toa ushauri tu kwa faida ya wote na sio kwa mama mcungaji-huyu ni mwanaume anayejiita mwanamke na nilimpa sababu kama anataka abishe hapa.
 
Kuna madenda mengine mtu anakuwa kama analamba koni yaani lijiulimi hadi kwenye pua na pumzi mnazibana. Mbona kazi mnayo!!

hapo ni bado anakuteremshia vile vimate mate vyepec cjui ni vya utamu, vinachuruzika mpaka shingoni! kuna watu hawajui kabsa hii kitu jamani.....
 
jamani nisaidieni,,mi mwenzenu nina allegy na denda...ila kazinayoipata huyu mwenzangu anapenda, kila napomwambia mi sitaki utaona huyo kaja...bwana we sipendi mimi...lakini bado ananijia sehemu ya mdomo..hasa tunapokuaga kwenye ile kazi** ndo utamuona huyo kwa hio nafanya kazi ya kumkwepa..hebu nisaidieni nafanya sawa..na je nifanyaje aache kunikera maana imekua kero..si mnajua mtu anapokufanyia kitu kinachokuboa inavyokuaga.. nyie acheni.[/QUOTe

Siku hizi kuna Kiss ya tIGO,utakuta kidume kinamung'unya tIGO utadhani mahindi ya kuchoma yamekuwa attached kunako tigo. Na wadada wananyonya tIGO za wapenzi wao pia.

Karibu kwenye ulimwengu maridhawa wa mapenzi@uchafu.com
 
hapo ni bado anakuteremshia vile vimate mate vyepec cjui ni vya utamu, vinachuruzika mpaka shingoni! kuna watu hawajui kabsa hii kitu jamani.....

Dada asiyejua anafundishwa na siyo kwamba anafukuzwa au kunyimwa. Naona kwa hii issue kuna suala la ubinafsi. Hilo ni tatizo kubwa kwenye mahusiano.

Kiss (passionate kissing) ni dawa ya vitu vingi ikiwemo peptic ulcers, hypertention na mengine mengi. Huwezi kuacha kumbusu mpenzi wako labda kama penzi limechujika. Kama ana mapungufu unamsaidia ili mfurahie maisha. Vinginevyo hakuna mapenzi hapo. Mtu unayempenda unamuonea huruma, unamjali na hupendi kumuumiza roho yake. Ndiyo maana akina mama wana-fake orgasm ili mpenzi wake afurahi. Na wengine wanawapa moyo wapenzi wao kwa kuwambia wanaweza wakati ki ukweli hawana huo ubavu katika mapenzi. Zaidi ya hapo huo uhusiona wa kunyimana na kuminyiana busu (denda) ni wa hatari sana na kama ni ndoa basi imeshakufa siku nying. Ni suala la muda ili mmoja wao atangaze talaka.
 
Umenikumbusha shoga yabngu alikuwa ananilalalmikia kuwa shem wangu hapendi kuoga usiku yaani akitoka mihangaikoni mwake na kisha kupitia kwenye viti virefu anarudi njwiiii na kula na kupanda kitandani !!!

Mh,shosti! hapo inakuwa ngumu. hasa kama mtu mwenyewe sio muelewa. Bila kuoga hapati kitu, bora lawama! Raha ya kazi ni kulamba popote unapojisikia. Pole mama Mchungaji, wenzio denda tu linaweza kutufikisha anga za juu, hasa ktk zile siku za mwezi. Labda shemeji yako atege tu.
 
Inakuwaje mtu mzima?
umenifurahisha ma,
wewe unaonekan umesoma,
mwenzio sijui katokea musoma,
lakini kwa hili somo atakuwa amekoma.
 
Wewe toa ushauri tu kwa faida ya wote na sio kwa mama mcungaji-huyu ni mwanaume anayejiita mwanamke na nilimpa sababu kama anataka abishe hapa.

Kama ni kweli usemavyo Nguli anajidanganya mwenyewe.

........Kama kweli wewe mama mchungaji ni mwanamke, inabidi uwe muwazi kwa mumeo na umwambie ajirekebishe ili upate denda. Kama mdomo wake mchafu mwambie ajitahidi kuusafisha na hata ikiwezekana aende dental clinic wakamsafishe huko.

Mwanzo wa kunaniii ni romance, na romance denda inabidi liwepo,sasa wewe kama hutaki denda kuna nini tenda hapo cha kukufanya usisimuke. Kama denda tu unaona karaha na yale mengine je sijui utaona nini?
Kama ni mumeo wa ndoa huyo mpe kitu kitu roho inataka, ukifanya mchezo ataenda kutafuta wanaojua kutoa denda.
 
mama mchungaji pole sana, nadhani ktk uhusiano wenu hakuna mawasiliano mazuri hasa kwenye hii shughuli, inaonekana mnaifanya kwa kutimiza wajibu tu na kila mtu ana enjoy kivyake, au mwenzio anakuzidi pumzi na kukuacha mbali kufika kileleni.inawezekana kabisa mmeo hakuandai ipasavyo, munkari na ashki ya mapenzi ndivyo vinavyomfanya mtu afanye mambo tunayoyaona machafu nje ya kitanda, akikuandaa vizuri kwa maneno matamu na kukumbeleza na kukupelemba sehemu zenye utamu na hisia wallahi mama mchungaji utalamba kama chostiki, mimi wife tukikaa ktk hali ya kawaida huwa hapendi denda lkn najua kwa kumpatia wala huwa si initiate, najua wapi nianzie wapi niishie, mama mchungaji amini usiamini ikifika robo tatu ya mlima ntanyonwa mpaka masikio, akifika kileleni na kumaliza nikiomba denda hataki tena, anasema hana experience na denda.
 
Mimi bwana kuna kipindi nlikua na demu flan kabla ha2jamwagana.
Unajua denda huwezikumla kila unayekutana nae labda ambaye unaona utakaa nae vyakutosha pengine kumuoa kabisa.
Basi kwa kweli yule demu mi nlikua na-avoid kabisa kumla denda. Nlikua nki2mia njia nyingine za foreplay, kumpapasa nk nk.
Wakat mwingine nlimuona ana kiu kabisa ya kupigwa denda analeta mdomo karib na mi napeleka wangu pembeni namlamba labda shingo, kifua na vi2 km ivyo.
Mwisho akaja kuona 2 mi
C m2 wa madenda. Hivo bac kila 2kianza 2nafanya 4play zingine.
Na kwa kuongezea 2 nina dem wangu wa sasa nlishawai kum-tell aninyonye nanihino.....koni. Akajarib 1 day. The other dayz akani-tell hapendi. Mimi wala ckushtuka coz i know if i 4ce her she wont b enjoyin it n way.
So mama mchunga nimeamuatoa cr zangu ujifunze na wewe. Labda mkielekea kuanza 2 foreplay zenu we kuwa wa kwanza kuanzisha. Kamata shingo yake, nyonya; mgeuze lamba mgongo wake; mgeuze tena lamba kifua mpaka karibu na pen.s; chezea nyeti. In short mkip bize kila mkianza.
Au muulize seem gani nikiichezea unapata msisimko ajab. Akikujib mdomo(denda) hapo huna jinsi. Akikujib sehem nyingine zaid ya mdomo, yaan we mwanzo mwisho mkianza tu 4play kimbilia hiyo seem. Mpaka atasahau denda mwenyewe.
ThanxINI 4 ur timeZ
 
Mimi wala simlaumu Mama Mchungaji. Kuna baadhi ya watu (kama mimi kwa mfano) ambao ni wepesi sana kupata kinyaa. Mimi hata chakula changu huwaga sipendi kishikwe na mtu mwingine. Hata kusalimiana kwa kushikama mikono sipendi (unajua kuna watu wana katabia kakujikuna kuna sehemu za siri, wengine kuingiza vidole puani kutoa boogers...yuuck...halafu hawanawi mikono). Sasa unamsalimia mtu unamshika mkono kumbe mwenzio katoka kujikuna kende au pusi yake. Gademu...that's nasty.

Hilo la denda ndio kabisa sipendi. Mdomo wa binadamu mchafu sana. Utakuwa mtu katoka kula kifungua kinywa, chakula cha mchana, na cha jioni halafu hata kufloss hajafloss au hata kusukutua hajasukutua halafu jioni akirudi nyumbani mwenzio anataka denda. Mibacteria iliyojikusanya kwenye domo lake siku nzima wewe eti ndio utailamba. What the fcuk?

Usafi wa kinywa kitu muhimu sana. Mimi nyumbani lazima niwe na chupa ya Listerine (Advanced), chupa ya Hydrogen Peroxide, na flossing thread na picks na kikwangua ulimi na mara mbili kwa mwaka naenda kwa mganga wa meno kusafishwa. Demu ambaye hana oral hygiene standards zangu simli denda!
asante sana ndugu yangu, naona sasa wanajamii watajua sio mimi pekeyangu ambaye mambo haya yananikera...kwa wale wanaoniita mimi najifanya mwanamke kumbe mwanaume eti tu kwa vile navyoyaandika maneno yangu, kwanza napenda mfahamu most of ma friends ni wanaume, napika story nao nafanya kazi nao, so nafahamu mengi kuhusu wao...jaribuni kuwasaidia watu kimsingi zaidi bila kuangalia ninani huyu...zingatieni mada zaidi kuliko mtoa mada... nikijitaja hapa kuna mtu atazimia maana inawezekana wewe unayekazana kusema mi ni mwanaume nikawa ni mkewako.... asanteni na nawapenda wote..
 
Mama Mchungaji,

Hebu basi changia maoni ya watu bila kujali kama yameoana na utashi wako au la. Julius hajasema kwamba hataki denda ila hawezi kufanya hicho kitu na mtu ambaye usafi wake hauamini. Kwa hiyo hata wewe ukifuatilia maoni ya watu wengi humu, utaona kuwa wanakubaliana sana na Julius lakini wanatofautiana na wewe. Wengine tumekushauri ujitahidi kuwa mwelewa. Kwamba kama mtu hajui kitu au anakosea basi ni jukumu lako kumsaidia ili wote mfaidi matunda ya uhuru (ndoa yenu). Bila hivyo ni kuendekeza ubinafsi na hiyo ndoa itakufa tu. Hakuna ndoa bila kuridhishana kwenye tendo la kujamiiana.
 
wee achana na denda nilikuwa na demu wakwanza alikuwa ananiambia wewe unapenda sana dena nilikuwa nikimkamta kwenye denda nasikia raha sana hata asiponipa gemu nakuwa nimeridhika na mademu wengi niliobahatika kuwa nao sio wete tuliokuwa tunaenda mpaka kwenye kufanya tendo la ndoa bali wengi sana nimeishia nao kwenye hiyo kitu mnaita romance yaani denda na mimi mke niliyenaye sasa yalikuwa kama ya joji maana sikuwahi awali alikuwa rafiki yangu wa kawaida na hatukuwa tumeambia kuwa tutakuwa wapenzi au kuombana tendo lakini tulikuwa tunaklutana mara nyingi na tunafanya mambo mengi pamoja kama dada na kaka na alikuwa anakuja nyumbani tunakuwa na wakati mzuri story na vitu kama hivyo, akaniingia moyoni na nikaanza kuwa na wazo la kumtaka kimapennzi lakini nitaanzia wapi wakati tulifikia kiwango cha juu cha kuonana kama kaka na dada sikuwa. basi siku moja alikuja nyumbani akanikutata namumunya pipi na nilikuwa na nyingine mkononi nikamkaribisha wakati anataka kuchukua nikamtania achukue ile ya mdomoni nayeye bila hiyana akaleta kinywa chake kupoka pipi sikuamini lakini ilibidi nimpe akaipokea nikaona mbona rahisi kama kumwangisha mlevi vile nikaidai pipi yangu akanirudisha wee malizia mwenyewe nini kileendela hapo .........
 
This was great!
Ushauri wangu ni kuwa watu waache tabia ya kuingiza shule au conservatism kwenye mambo ya mapenzi. Huko hakuhitaji degree au diploma, reasoning au logics bali ni kuanfalia nini moyo wako na wa mwenzio unatamani kuona na kupata.
 
wee achana na denda nilikuwa na demu wakwanza alikuwa ananiambia wewe unapenda sana dena nilikuwa nikimkamta kwenye denda nasikia raha sana hata asiponipa gemu nakuwa nimeridhika na mademu wengi niliobahatika kuwa nao sio wete tuliokuwa tunaenda mpaka kwenye kufanya tendo la ndoa bali wengi sana nimeishia nao kwenye hiyo kitu mnaita romance yaani denda na mimi mke niliyenaye sasa yalikuwa kama ya joji maana sikuwahi awali alikuwa rafiki yangu wa kawaida na hatukuwa tumeambia kuwa tutakuwa wapenzi au kuombana tendo lakini tulikuwa tunaklutana mara nyingi na tunafanya mambo mengi pamoja kama dada na kaka na alikuwa anakuja nyumbani tunakuwa na wakati mzuri story na vitu kama hivyo, akaniingia moyoni na nikaanza kuwa na wazo la kumtaka kimapennzi lakini nitaanzia wapi wakati tulifikia kiwango cha juu cha kuonana kama kaka na dada sikuwa. basi siku moja alikuja nyumbani akanikutata namumunya pipi na nilikuwa na nyingine mkononi nikamkaribisha wakati anataka kuchukua nikamtania achukue ile ya mdomoni nayeye bila hiyana akaleta kinywa chake kupoka pipi sikuamini lakini ilibidi nimpe akaipokea nikaona mbona rahisi kama kumwangisha mlevi vile nikaidai pipi yangu akanirudisha wee malizia mwenyewe nini kileendela hapo .........
 
Nadhani mtoa mada ana maanisha 'denda la hawara' hii haiswihi kwa sababu chini umevaa condom halafu juu denda ofcourse hii ni mlenda na pilau ndio maana anasema hajisikii ni kwa sababu ya hofu kwamba kwa condom yake hajakwepa kitu kuhusu wale watu. Kwa real wife huwezi kukataa denda, kwa kuwa hakuna tofauti ya denda la chini na hilo la juu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom