Kiss ya mdomo (denda)

Sep 4, 2009
23
0
jamani nisaidieni,,mi mwenzenu nina allegy na denda...ila kazinayoipata huyu mwenzangu anapenda, kila napomwambia mi sitaki utaona huyo kaja...bwana we sipendi mimi...lakini bado ananijia sehemu ya mdomo..hasa tunapokuaga kwenye ile kazi** ndo utamuona huyo kwa hio nafanya kazi ya kumkwepa..hebu nisaidieni nafanya sawa..na je nifanyaje aache kunikera maana imekua kero..si mnajua mtu anapokufanyia kitu kinachokuboa inavyokuaga.. nyie acheni.
 
Tafuta asiyependa denda, nadhani utakuwa na furaha wakati ule wa nanihii kuliko huyo anayekukera!
 
jamani nisaidieni,,mi mwenzenu nina allegy na denda...ila kazinayoipata huyu mwenzangu anapenda, kila napomwambia mi sitaki utaona huyo kaja...bwana we sipendi mimi...lakini bado ananijia sehemu ya mdomo..hasa tunapokuaga kwenye ile kazi** ndo utamuona huyo kwa hio nafanya kazi ya kumkwepa..hebu nisaidieni nafanya sawa..na je nifanyaje aache kunikera maana imekua kero..si mnajua mtu anapokufanyia kitu kinachokuboa inavyokuaga.. nyie acheni.
...Vipi ananuka mdomo au mustachi hauna dressing!!! Mchumishane mboga midomo haitakutana!!!
 
elimu yangu ya utabiri inaniambia mume wako ni mtumiaji ugoro a.k.a tumbaku. mwambie aache mara moja ili upate kuenjoy denda.
 
si ndio hapo,
hakuna kitu murua kama denda, huwa sibanduki mdomoni kwa mai waifu kunako hii sesheni ya denda ikitokea
 
jamani nisaidieni,,mi mwenzenu nina allegy na denda...ila kazinayoipata huyu mwenzangu anapenda, kila napomwambia mi sitaki utaona huyo kaja...bwana we sipendi mimi...lakini bado ananijia sehemu ya mdomo..hasa tunapokuaga kwenye ile kazi** ndo utamuona huyo kwa hio nafanya kazi ya kumkwepa..hebu nisaidieni nafanya sawa..na je nifanyaje aache kunikera maana imekua kero..si mnajua mtu anapokufanyia kitu kinachokuboa inavyokuaga.. nyie acheni.
asilimia nyingi ya wapenzi wanahisi mapenzi ya dhati baina yao,uhisi furaha,raha na tamu isiyopimika wakipeana denda.Na wale wanaoanza uhusiano wakipeana denda huwa wanaamini ni hatua moja wapo katika kuyaendea yale wanayotaraji na kuyatamani katika nyoyo zao bain a yao.
Mimi siwezi kukupa msaada wa nini ufanye ili kukwepa akipendacho mwenzi wako katika mapenzi ilhali kwamba hakina madhara yenyekukemewa katika jamii.Inaelekea tatizo liko kwako,labda utuambie kwa nini hupendi ili tujue namna gani tukushauri
 
Jilazimishe ukiendelea kumkwaza mwenzio ataenda kutafuta wanao juwa kula hayo mate na kulamba coni shauri yako ndo maana iwa mnakimbiwa hivi hivi kwa madhara ya kujitakia.
 
asilimia nyingi ya wapenzi wanahisi mapenzi ya dhati baina yao,uhisi furaha,raha na tamu isiyopimika wakipeana denda.Na wale wanaoanza uhusiano wakipeana denda huwa wanaamini ni hatua moja wapo katika kuyaendea yale wanayotaraji na kuyatamani katika nyoyo zao bain a yao.

mai waifu wangu nilipomtongoza ile nasubiri anipe jibu ilkua kama ifuatavyo:
MIMI: 'sasa dear ni kuhusu last three month ulivyonipromise utanipa jibu la kama nilivyokueleza what I feels bout you(na kibluurei mtu mzima kilinitoka, Lol!!.)
YEYE: ...(kwanza akanitizama usoni kwa macho angavu kama dakika 2 hadi mtu mzima mapigo ya moyo yakaanza kwenda mbio nikajua mtu mzima nishamwagwa!), ghafla akanivuta kwake na kunipa DENDA, Loh!, tangu siku ile DENDA lake naona kama uhai wangu!!.
 
Wakati mwingine mapenzi ni sacrifice,sio lazima ufurahie kila mwenzio anachotaka.Kwa kuilinda ndoa yako inabidi ujifunze kufurahia.Ili mradi sio nje ya mpango wa Mungu.Vinginevyo mama,taratibu unaanza kumkimbiza mumeo.Hata maombi hayatasaidia tena.
 
mai waifu wangu nilipomtongoza ile nasubiri anipe jibu ilkua kama ifuatavyo:
MIMI: 'sasa dear ni kuhusu last three month ulivyonipromise utanipa jibu la kama nilivyokueleza what I feels bout you(na kibluurei mtu mzima kilinitoka, Lol!!.)
YEYE: ...(kwanza akanitizama usoni kwa macho angavu kama dakika 2 hadi mtu mzima mapigo ya moyo yakaanza kwenda mbio nikajua mtu mzima nishamwagwa!), ghafla akanivuta kwake na kunipa DENDA, Loh!, tangu siku ile DENDA lake naona kama uhai wangu!!.
hili lavu stori ni kama la titanic! greti thinka GP bana!
 
mai waifu wangu nilipomtongoza ile nasubiri anipe jibu ilkua kama ifuatavyo:
MIMI: 'sasa dear ni kuhusu last three month ulivyonipromise utanipa jibu la kama nilivyokueleza what I feels bout you(na kibluurei mtu mzima kilinitoka, Lol!!.)
YEYE: ...(kwanza akanitizama usoni kwa macho angavu kama dakika 2 hadi mtu mzima mapigo ya moyo yakaanza kwenda mbio nikajua mtu mzima nishamwagwa!), ghafla akanivuta kwake na kunipa DENDA, Loh!, tangu siku ile DENDA lake naona kama uhai wangu!!.
teh teh teh teh teh furaha iliyoje,ni mwanzo mzuri kwa kweli.Asiyetaka kula denda dhanio la kwanza ni yeye ndie mwenye matatizo itakuwa vinginevyo iwapo tu atatoa sababu za msingi juu ya kile kinachomfanya ashindwe
 
pole mama

mambo mengine ni ya kuiga tu na inawezekana hata yeye anataka denda lakini hafurahii hiyo denda. nakutahadharisha ujitahidi kumwelewa na ikibidi mzungumze umueleze unavyojisikia ukila denda. lakini kama ndicho apendacho zaidi jitahidi kujilazimisha usimkwaze mwenzio akipata denda lisilo na vikwazo anaweza kuhamishia kiu yake huko na kwako kutabaki kilio na kusaga meno.

nimeishawahi kuletewa kisa kimoja kinahusu mwanamke kukataa mwanaume asimguse hata kidogo kwa mikono sehemu za nyeti wakati wa ile kazi. mwanamke alidai akiguswa anjisikia kuwa kama "malaya fulani hivi" kwani anaweza kuendelea kushtukashtuka hata baada ya ile kazi. kwa msisitizo alisema kuwa sivyo alivyofundishwa na alikuwa tayari kuachika kama ingekuwa lazima kukubali kwa sababu ya kuolewa.

nilimudu kuwapatanisha na wanendelea vizuri hadi leo mwaka wa tatu sasa!.

ukidhamiria hakuna kinachoshindikana. unaweza kuni PM kwa msaada zaidi
 
mai waifu wangu nilipomtongoza ile nasubiri anipe jibu ilkua kama ifuatavyo:
MIMI: 'sasa dear ni kuhusu last three month ulivyonipromise utanipa jibu la kama nilivyokueleza what I feels bout you(na kibluurei mtu mzima kilinitoka, Lol!!.)
YEYE: ...(kwanza akanitizama usoni kwa macho angavu kama dakika 2 hadi mtu mzima mapigo ya moyo yakaanza kwenda mbio nikajua mtu mzima nishamwagwa!), ghafla akanivuta kwake na kunipa DENDA, Loh!, tangu siku ile DENDA lake naona kama uhai wangu!!.

hahaaaa mpwa umenichekesha baada ya hii asubuhi iliyotanda wingu LOL!!!
 
wakati mwingine mapenzi ni sacrifice,sio lazima ufurahie kila mwenzio anachotaka.kwa kuilinda ndoa yako inabidi ujifunze kufurahia.ili mradi sio nje ya mpango wa mungu.vinginevyo mama,taratibu unaanza kumkimbiza mumeo.hata maombi hayatasaidia tena.
mungu akupe maisha marefu
 
hahaaaa mpwa umenichekesha baada ya hii asubuhi iliyotanda wingu LOL!!!
gonga senksi basi na wewe mpwa!!, Loh.
halafu,
kwenye DENDA hapo napo inabidi utueleze vizuri wewe Mama Mchungaji,
kwa utafiti mdogo nimegundua inawezekana humjui namna ya kulana denda!!(msicheke, this is serious wapwa!).
kuna bibie mmoja alinipa denda, ile nimempa ulimi mama yangu, ALIUVUTA KWA NDANI ALMANUSRA UNG'OKE,Lol.
 
pole mama

mambo mengine ni ya kuiga tu na inawezekana hata yeye anataka denda lakini hafurahii hiyo denda. nakutahadharisha ujitahidi kumwelewa na ikibidi mzungumze umueleze unavyojisikia ukila denda. lakini kama ndicho apendacho zaidi jitahidi kujilazimisha usimkwaze mwenzio akipata denda lisilo na vikwazo anaweza kuhamishia kiu yake huko na kwako kutabaki kilio na kusaga meno.

nimeishawahi kuletewa kisa kimoja kinahusu mwanamke kukataa mwanaume asimguse hata kidogo kwa mikono sehemu za nyeti wakati wa ile kazi. mwanamke alidai akiguswa anjisikia kuwa kama "malaya fulani hivi" kwani anaweza kuendelea kushtukashtuka hata baada ya ile kazi. kwa msisitizo alisema kuwa sivyo alivyofundishwa na alikuwa tayari kuachika kama ingekuwa lazima kukubali kwa sababu ya kuolewa.

nilimudu kuwapatanisha na wanendelea vizuri hadi leo mwaka wa tatu sasa!.

ukidhamiria hakuna kinachoshindikana. unaweza kuni PM kwa msaada zaidi

greti thinka hapa umemwaga mapointi muhimu sana. acha niwashtue wazembe hapo kwenye avatar yangu wakupigie makofi. nikimaliza hii post tu nakugongea na ka senks.
 
Kuna madenda mengine mtu anakuwa kama analamba koni yaani lijiulimi hadi kwenye pua na pumzi mnazibana. Mbona kazi mnayo!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom