Kisa cha Rais Ali Hassan Mwinyi kipigwa kibao akihutubia

Halafu huyo Mwinyi ni tapeli,yeye ndie anamuandaa mwanawe eti akatawale Zanzibar ,ni kibaka kwa sababu ni mmoja alieamua CCM ishinde kwa vyovyote na ndie mmoja alieweka mkakati wa kutumia nguvu za kijeshi kuisimika Usultani wa CCm Zanzibar ni mtu mmbaya sana ambae kuuwa kwake ni rahisi sana kwa tamaa ya madaraka,ila ukimsikiliza ana maneno mazuri lakini ni mnafiki wa kutupwa hana ukweli anaitumia dini kama kivuli cha kujificha au anaitumia kama ukuta mkubwa uliozunguuka wacheza ngoma,hivyo huwezi kuwaona wanaocheza kwa jinsi ukuta ulivyo mkubwa.Ndivyo mheshimiwa huyo alivyojivika dini. Na watu wamemsitukia ndio moja ya sababu ya kuzabwa kibao
Nafufua kaburi hili huku nikistaajabu comment hii imekuja kuthibitika miaka 14 baadae..... jf ya zaman ilikuwa na watu wazito Sana wakuu
 
Nikiwa darasa la tatu hv Kat ya mwaka 2008 HV taarifa kwenye vichwa vingi vya magazeti Ni kupigwa kwa marehemu makofi akiwa kwenye mikutano Yao ya dini Yao
Hajajulikana kwamb Kwann mzee alipigwa Kofi na alikuwa anaongea nn Hadi kuja kupigwa makofi na kijana mdg kbsa

Magazeti mengi yaliandika mzee ruksa aigwa kofi na mm sikuwa na uwezo wa kunua gazeti kwani ningenunu gezeti Hilo

Ndio. Najiuliza

Je mzee Hana walinzi

Mbn mzee Hana shary na watu

Mbn mzee Ni mnyenyekevu Sana

Naomba nielezwe leo ilikuwaje mzee msaarabu apigwe makofi ktkt ya mkutano wa dini

Namuomba mzee Mohamed Said
Aje aeleze Nini kilitokea kwa vile bila Shaka alikuwepo ktk mkutano ule

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Dr...
Mimi si mtaalamu wa elimu ya dini na sikuwapo katika mkutano huo.
 
Wadau,

Nimepata data muda si mrefu.
Inasikitisha ila habari ndiyo hiyo
Rais mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi leo jumanne pale katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam amelambwa kofi na Muumini kwa kile kinachoelezwa kama kutetea matumizi ya KONDOMU kwa waumini.

Alikuwa akizungumza katika baraza la Maulid lililofanyika jioni hii.

=====
UPDATES:

Kijana aliyemzaba kibao Rais Mwinyi afunguka

Machi 12, 2009

Wakati taasisi mbalimbali za kidini, wananchi wa kawaida na Kamati ya Bunge zikilaani kitendo cha Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi, kupigwa kofi shavuni, muumini aliyefanya kitendo hicho, Ibrahim Said, ameeleza kuwa alifanya hivyo kupinga matumizi ya kondomu kwa waumini wa dini ya Kiislamu kwa madai kwamba, yanachochea vitendo vya zinaa.

Pia alisema alifanya kitendo hicho kupinga kuwapo kwa umoja kati ya Waislamu na Wakristo wakati wa kusherehekea sikukuu zao (Maulid, Idd, Krismas na Pasaka), uliozungumzwa na Mwinyi katika hotuba zake alizozitoa wakati wa mkesha Jumatatu usiku na kwenye Baraza la Maulid, jijini Dar es Salaam juzi.

Alisema hakuwa na nia ya kumdhuru Mwinyi na wala hamchukii, bali alikuwa na lengo la kufanya kituko chochote ili ujumbe wake uwafikie watu wengi.

Alitoa maelezo hayo alipohojiwa na polisi saa chache baada ya kufanya kitendo hicho wakati Mwinyi alipokuwa akihutubia Baraza la Maulid, katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam juzi jioni.
Bahati nzuri au mbaya Aliemzaba kibao muheshimiwa Rais ashafariki naye pale mabibo Loyola
 
Nikiwa darasa la tatu hv Kat ya mwaka 2008 HV taarifa kwenye vichwa vingi vya magazeti Ni kupigwa kwa marehemu makofi akiwa kwenye mikutano Yao ya dini Yao
Hajajulikana kwamb Kwann mzee alipigwa Kofi na alikuwa anaongea nn Hadi kuja kupigwa makofi na kijana mdg kbsa

Magazeti mengi yaliandika mzee ruksa aigwa kofi na mm sikuwa na uwezo wa kunua gazeti kwani ningenunu gezeti Hilo

Ndio. Najiuliza

Je mzee Hana walinzi

Mbn mzee Hana shary na watu

Mbn mzee Ni mnyenyekevu Sana

Naomba nielezwe leo ilikuwaje mzee msaarabu apigwe makofi ktkt ya mkutano wa dini

Namuomba mzee Mohamed Said
Aje aeleze Nini kilitokea kwa vile bila Shaka alikuwepo ktk mkutano ule

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwa uungwana, hekima na busara, Mzee Ruksa alimsamehe yule mpuuzi.
Hayati alikuwa kiongozi wa kipekee.
Hakulewa madaraka. Viongozi wote wanapaswa kuiga yale mazuri kutoka kwake.
 
Eti kisa mzee kusisitiza uzazi wa mpango kwakutumia raba.
Ila marehemu hatakiwi kusemwa vibaya.

Apumzike kwa amani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom