Kisa cha mwanamke wa ziwani

Kesi hii ina utata mkubwa ahsante kwa kuiweka hapa jamvini, labda mapolisi wetu na wapelelzi watajua jinsi ya kufatailia kesi!!! Sio kufunga majalada baada ya kubambika watu kesi za ovyo!!!!!!!!!!!
Hivi hawa mapolisi wetu wana muda wa kuingia hapa?! Mimi huwa nawaona kama viumbe tofauti kutoka sayari nyingine kutokana na roho zao mbaya...!!
 
Daah! Huu ni mkasa uliojaa utatanishi. Wapelelezi lazma waumize vichwa sana. Inaweza kuwagarimu hata maisha yao.
 
mkuu asante kwa hilo gazeti,
naomba umruhusu binti yako cantalisia anifupishie
mimi nimeshindwa kulisoma mkuu.

na hapo ndo wazungu wanapotukamatia wabongo kwa huu uvivu wetu wa kushindwa na kutopenda mambo yanayoandikwa kwa kirefu. Utaona hapa kama ni mkataba mtu ataishia ksaini tu ili siku ipite.

Kesho naiamkia niimalizie
 
Hivi hawa mapolisi wetu wana muda wa kuingia hapa?! Mimi huwa nawaona kama viumbe tofauti kutoka sayari nyingine kutokana na roho zao mbaya...!!

mkuu unaulizia hawa polisi wetu wanaolinda mabenki au hao ambao muda wote wanawazia dili za mitaani na za mabosi wao wanaohangaika kila uchao kufanikisha dili za kina ******?
 
ntarudi kuanzia next week kamanda. kitu imetulia hii, na natamani manjagu wetu wangechukua muda kusoma hii maneno
 
asante sana mtambuzi nimeisoma hii kitu yote japo kesho nina paper...nimeikubali sana ..inabidi nodownload movie yake
 
Inawezekana Gordons alijiua kwa kujihisi kudhalilishwa na kuhusishwa na mauaji ya mkewe kitu ambacho hakukifanya, hivyo alijiua kwa sababu ya kufedheheshwa..
 
Ukianza huwezi kuacha ni kisa cha kusisimua sana na kinasikitisha pia. Nimemkumbuka O.J.Simpson kwa mbaliiiiii. Ila ukweli maswali ni mengi kuliko majibu, natamani kuona mwisho wake kama watafanikiwa.
 
Inawezekana Gordons alijiua kwa kujihisi kudhalilishwa na kuhusishwa na mauaji ya mkewe kitu ambacho hakukifanya, hivyo alijiua kwa sababu ya kufedheheshwa..

Lakini ndiyo asubiri mpaka karibu amalize kifungo chake ndio ajiue? na pia mbona alikata rufaa mara kadhaa kupinga adhabu hiyo? kwa nini asingejiua tu mara baada ya hukumu hiyo.............?
 
Lakini ndiyo asubiri mpaka karibu amalize kifungo chake ndio ajiue? na pia mbona alikata rufaa mara kadhaa kupinga adhabu hiyo? kwa nini asingejiua tu mara baada ya hukumu hiyo.............?

Wakati akifanya hizo harakati za kujisafisha alikuwa na matumaini kuwa atafanikiwa. sasa iliposhindikana kujisafisha na muda ulikuwa umebaki mchache kwa yeye kutoka Gerezani kwa Msamaha akaona kuwa ni bora ajimalize kuliko kupata huo uhuru wa kupewa ilhali ukweli ni kwamba hakuwa na hatia. Labda alifikiria jinsi jamii itakavyokuwa inamchukulia huko mtaani na akashindwa kuhimili, manake pamoja na kwamba angekuwa huru lakini miongoni mwa watu bado angeonekana muuaji jambo ambalo huenda hakulifanya.
 
Umefikiria nje ya Box, nadhani hilo ulilolisema lina ukweli..................
 
Yani hadisi ndefu mpaka nimesoma siku mbili,haya hongera babu,fanya mpango na kanumba atutengenezee livideo lake.
Hizo facility za kutengenezea movie za namna hiyo hatuna na hata casting itatupa shida, hatuna vichwa vinavyoweza kumeza scipt za aina hii, sana sana tutachekesha tu................We need to wait until 25 years to get there my dear.......................
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom