Kisa cha Mchungaji John Nelson Canning na ajuza wawili…!

hivi, kwanini kifungo cha maisha na si KUNYONGWA?? thanx babu Mtambuzi, be blessed! bado hawa wachungaji wetu hawaaaaaaaa! hivi yule mama kuleeeee bado ni mbunge??
 
Last edited by a moderator:
Du Bw Mtambuzi nakushukuru sana kwa mada zako za Elimu ya Upelelezi, na nimeshtushwa sana na Kifo cha MUNGA TEHNANI R.I.P.
 
nimeshaisoma na kuimalza yote mkuu hiyo kesi ni full utata. Sasa cjui kesi zako ulizoandika nyuma ntazipata wapi coz mi nimejiunga na JF mwezi wa tano 2012 hlf napenda sana kufuatilia kesi km hizi za kwako.

Naunga Mkono.
Atupe visa.
 
hivi, kwanini kifungo cha maisha na si kunyongwa?? Thanx babu mtambuzi, be blessed! Bado hawa wachungaji wetu hawaaaaaaaa! Hivi yule mama kuleeeee bado ni mbunge??
cacico unataka yale mavilemba makubwa eee
 
Last edited by a moderator:
Jamani , kwa kweli inasikitisha sana, wale watu tunao waamini sana ndio wanaotufanyia ukatiri wa ajabu.

Upendo na uaminifu wa hawa wazee kwa huyu mchungaji mwizi mpenda mali na muuaji mkubwa ndio uliowaponza,

Eh mungu wapumzishe kwa amani na huyu mchungaji afie huko jera liwe fundisho kwa watu wengine.

Thanks Mtambuzi

Ulimwengu ulivyobadilika,hupaswi kumuamini yeyote.
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi asante sana ila huwa nasikitika sana kwa watu kutokuwa waaminifu hasa pale unapomwamini sana,natoa ushauri hu jamani tuangalie sana hizi pesa zitituzidi maarifa jamani,huu ni usemi wangu wakila siku na upo mpaka kwenye roho yangu kwamba sipaswi kumtendea mtu yyte ubaya maana mimi siishi milele hapa duniani napita tu leo nitamfanyia kesho nakufa sipati faida yyte ,ni kama lile kabila lakitanzania wanalolishutumu huwa pesa imewazidi maarifa wakishakuwa matajiri huwauwa waume zao ili wabaki na mali,swali linakuja hivi je huwa shetani anawafunga akili ,hawajiulizi ikigundulika si nitaishia jela na nisifaidi chochote? ona huyo bwana amewauwa lakini ona vyote alivyotafuta hatavifaidi vinaback kwenye control ya watu wengine ,ninaogopa sana mtu anaponiamini tena so advanced naogopa sana ndugu yangu.TUJIADHARI NA HAYA MAKANISA SIKU HIZI YAMEIBUKA KWELI KWELI JAMANI .MAY THEIR SOUL R.I.P
 
Last edited by a moderator:
Thamk you very much. Kisa chako ni kizuri mno. Kinagundisha na kutahadharisha. .si wote wasemao bwana bwana....
 
binadamu linapokuja suala la pesa imani hutoweka kabisa, hata ndungu wa tumbo moja hufikia kuuwana kwa sababu ya pesa.Hawa wazee hawakupaswa kumwamini mtu yeyote kwenye suala la fedha zao. mtambuzi endelea kutupa visa mbalimbali
 
binadamu linapokuja suala la pesa imani hutoweka kabisa, hata ndungu wa tumbo moja hufikia kuuwana kwa sababu ya pesa.Hawa wazee hawakupaswa kumwamini mtu yeyote kwenye suala la fedha zao. mtambuzi endelea kutupa visa mbalimbali
Bila shaka mkuu, kila Ijumaa tembelea hapa.....................
 
Lo!!ukitaka kujua elimu ni ghali,jaribu ujinga! Pole kwa lugha kama hiyo!kwani adui wa mtu ni watu wa nyumbani kwao!kikulacho ki nguoni mwako!YESU KAZALITIWA NA ALIYEKUWA KIFUANI MWAKE!
 
Hallo,Mkuu Mtambuzi nimesoma na kumaliza "Kisa cha Mwanamke wa Ziwani"kwa kweli imenisisimua na pengine kunipa utayari wa kujiandaa kuishi na watu kwa uangalifu mara tu nitakapoanza maisha... By the way,nakubaliana na Hamisi Musa na Madame B utupakulie visa vilivyopita vya 2010-11 me mwenyewe nilijiunga JF Aprily.Natanguliza Shukran za dhati.
 
Hawa ndo wachungaji wa leo. Muda mwingi ni mkazo wa fungu la kumi. Full mipasho.
 
mkuu kiukweli mimi huwa nafuatilia sana habari zako kuhusu kesi mbalimbali.Endelea na moyo huo huo
 
Back
Top Bottom