safari ni safari
New Member
- Nov 26, 2022
- 2
- 11
Kuna tukio la kutaka kufanya mauwaji linamhusu mchungaji peter dadi onesmo
Chanzo cha yote ni mchungaji msaidizi ambaye moja kati ya jina lake nimesikia anaitwa israel
Mchungaji huyu msaidizi anaishi ktk nyumba moja kubwa ambayo anaishi yeye na wadogo zake 2 wa mchungaji peter onesmo
Mchungaji msaidizi israel ktk kufanya kazi kwa ukaribu na mchungaji peter onesmo aligundua kuwa nyuma ya pazia mchungaji peter onesmo ana genge kubwa la majambazi ambao hujihusisha na vitendo vingi vya kiuharifu apa tanzania
Baada ya mchungaji israel kujua kuhusu hayo mambo aliamua kujitenga na kanisa na alianza mchakato wa kutafuta kanisa lengine ili aendelee na huduma za kiroho
Mchakato huo haukumfurahisha mchungaji peter kwani alijua moja kwa moja siri zake za mambo machafu zitavuja
Mchungaji peter alimua kumuwekea wapelelezi wa kufatilia nyendo zote za mchungaji israel na alifahamu kuwa msaidizi wake ameshapata kanisa lengine na siku ya ijumaa tarehe 19 january mchungaji israel ilikuwa ahame ktk makazi ya mchungaji peter
Usiku huo wa ijumaa wazee wa kazi walitumwa kwenda kumuua mchungaji israel yeye pamoja na mke wake mwenye jina la Aneth.
Wazee wa kazi kutoka geita waliingia ndani ya nyumba usiku na kwenda moja kwa moja chumbani kwa mchungajo israel walivunja mlango na kisha wakaanza kumshambulia kwa mapanga uku wakiwa wamezima umeme ktk nyumba nzima waliwashambulia kwa kuwakata sehemu mbali mbali na baadae waliamua kuondoka wakiamini wameshawaua.
Waliamua kubeba vitu vyote vya ndani ila gari walilolitumia majirani walilibaini ni gari la mchungaji peter
Dada wa kazi wa mchungaji israel alikuwa chumba chengine aliposikia purukushani alimua kutoka nje ili aone kuna nini.ndipo akakuta wazee wa kazi ndio wanamalizia kusomba vitu.walipomuona wakamkamata wakambaka kwa zamu
Asubuhi ya jumamosi ndio kinafiki wadogo zake mchungaji peter ambao wanaishi ktk nyumba moja na mchungaji israel wakaamua kuwapeleka hospitali bila kupitia polisi waliogopa maswali ya polisi.
Kule hospitali walikataliwa kupewa huduma ikabidi waende polisi kwanza ili wapewe PF kufika polisi maelezo yao yakawa na utata mwingi,wakakamatwa wakawekwa ndani
Hali ya mchungaji israel na mke wake sio nzuri bado wanaendelea na matibabu na mahojioni zaidi Kanisa la mchungaji peter onesmo lipo mwanza ilemela buswelu bondeni.kesi hii ya shambulizi la kutaka kuua ipo ktk kituo cha polisi kirumba na kituo cha polisi buswelu sina uhakika wa usalama wa maisha ya familia ya mchungaji israel.
Pia sina uhakika kama kesi hii itaenda mahakamani kutoka na mtandao mpana alionao mchungaji peter yatakuwa yale ya pauline gekul kesi iliyeyuka