chendelela
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 1,145
- 1,002
Sijafahamu lkn mara ya mwisho alikuwa clouds upande wa habari
Hivi Lazaro Matalange yupo wapi?
Hivi Lazaro Matalange yupo wapi?
Sijafahamu lkn mara ya mwisho alikuwa clouds upande wa habari
RTD ilikuwa kiboko. Hiyo ya watoto wa mfalme kwenda kutafuta wachumba inaitwa 'Binti chura'Mimi nakumbuka enzi hizo nasikiliza RTD fashion ya radio ilikuwa ni zile wanaita RADIO MKULIMA na brand names zake zilikuwa ni NATIONAL Panasonic ama PHILIPS. Mzazi alikuwa anainunua RTC (yale maduka ya uma).Tukirudi katika vipindi, navikumbuka sana vipindi vifuatavyo ambavyo bila shaka mdau utakubaliana na mimi vilikuwa maarufu kutokana na zile nyimbo za utangulizi kuashiria kipindi kuanza ama kumalizika.
1. Sikiliza Bwana Umeme... (Bwana Umeme) - Kile kipindi cha TANESCO cha kuelimisha umma kuhusu matumizi mazuri ya umeme.
2. Starehe na BP - Uncle Julius Nyaisanga (R.i.P) alikuwa anakimudu vyema kabisa.
3. Kahawa ni Mali - Namkumbuka sana yule mama wa kiashirio cha kipindi akitamka hayo maneno kwa rafudhi ya kichaga.
4. Jifunze Kiswahili Fasaha - sina uhakika kama nimeandika vyema tittle yake lakini kilikuwa ni kile kipindi kizuri kilichobuniwa kuhamasisha watu kuzungumza kiswahili katika harakati ya kuwaunganisha watu wa mikoani na wa Bara. Nakumbuka kiashirio chake kuna sehemu inasema.. na mikoani... ni kiswahili chatumika.....Bila kusahau vipindi kama..
5. TTCL Simu kwa Maendeleo.
6. Serikali za Mitaa.
7. Afya yako /Afya ya jamii " sikumbuki vyema title ila nakumbuka kiashiria cha kipindi ulikuwa ni wimbo mmoja anaimba Kept John Komba (R.i.P) na kundi lake wakati ule.
Ukija vipindi vya week ends
1. Club Raha leo Show.
2. Mama na Mwana namkumbuka mtangazaji Edda Sanga alikuwa anakimudu vyema kipindi na zile hadithi za "Adili na Nduguze", "Kisa cha Mfalme Juha", ile hadithi ya watoto wa mfalme wanakwenda kutafuta wachumba wa kuoa... n.k
Wakati ule radio ilikuwa na msaada mkubwa kuelimisha jamii nzima (wakulima, wafanyakazi, wafanyabiashara) kuhusu mambo mbali mbali na watu walikuwa wanafuatilia sana.
Hahaha...bila shaka zilikuwa zama za Samweli Sitta (RIP)Bunge TBC one ni kama action movie
Babe...RTD ilikuwa kiboko. Hiyo ya watoto wa mfalme kwenda kutafuta wachumba inaitwa 'Binti chura'
achana na mimiBabe...
Natamani kama wewe ndie ungekua binti chura wallah...
Hapo kwenye chombeza time, Ongezea na kile cha jumapili usiku ilijulikana kama kipindi cha RAFIKI chini ya ROSE CHITALA kulikuwa na Love story hizoo!! ROSE CHITALA yupo wapi?Radio.
1.Je Huu ni UNGWANA? RFA - Wambura Matani
2.Chombeza TIME - Radio 1 Stereo -Aboubakar Saqiq,Rose Chitala
3.Njia Panda - Dr Isaack Maro CLouds
4.Sintosahau - RFA Yusuph Magasha
5.Mambo Mseto - Radio One
TV.
1.Tuongee Asubuhi -Dotto Bulendu Star Tv
2.SuperTraxx - Stivie Kabuye - Star TV
3.Minzengwe - ITV - Kashi Kashi
4.House Hunters - Fine Living
5.Story - ATN
6.Bamba/Hidden Camera - Citizen/KTN
RC Computer anaishi marekani kwa sasa!Hapo kwenye chombeza time, Ongezea na kile cha jumapili usiku ilijulikana kama kipindi cha RAFIKI chini ya ROSE CHITALA kulikuwa na Love story hizoo!! ROSE CHITALA yupo wapi?
Tulipofungiwa tusione chaneli za loko niliumia sana mpaka leo sijaiona isidingo the needIsidingo ya ITV nilijiwekea nadhiri sitaacha kuangalia nimeambukiza na familia yangu wanaipenda sana
Tulipofungiwa tusione chaneli za loko niliumia sana mpaka leo sijaiona isidingo the need
Daaah Rebecca mresi noma Sana angekua mdg ningekwenda kujieleza1.sitasahau ya Rfa kabla ya 2010
2.kuna kipindi nimesahau jina kilikuwa kinaanza saa 2-3 asubuhi kabla ya sitasahau pale Rfa mtangazaji akiwa rebecca mresi au Roy maganga