kipimajoto ya itv vipi?

Lukansola

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
5,435
1,597
Hebu fikiria mtu anakuuliza 'Waliopewa tenda za ujenzi na kuonesha uwezo mdogo, je, wanyang'anywe wapewe wenye uwezo?' Hilo ndilo lilikuwa swali la kipima joto ya itv leo. Sasa najiuliza hili ni swali au jibu. Mara zote hawa jamaa huuliza maswali ambayo kwangu na akili zangu za kunitosha kuvukia barabara huwa naona ni ya kipuuzi sana. Hebu anayejua anieleze lengo la kipindi hiki. ...I mean what is their goal?

Kuwauliza watanzania maswali kama haya ni kuwadhalilisha.

What do you think?
 
ha ha ha, mi nilidhani labda mimi ndio m.pu.u.zi peke yangu.

Wizi mtupu!
 
Upuuzi tu pamoja na ile option ya kujibu SIJUI.
Kama mtu hajui atatuma msg ya kazi gani?

Nilishajiuliza sana swali hilo, maana mtu asiyejua kwa kawaida ni sawa na hajapiga kura, au pengine ni sensa ya kujua watanzania wajinga wamebaki wangapi mpaka sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom