Kipima joto ITV usiku huu

aisee huyu baba anatoa takwimu hadi naogopa, eti tz ni ya 146 kati ya nchi 158 kwa watu wenye furaha duniani, hamna namna inabidi ccm waachie tu dola
 
Huyu lofa mwenzetu humphrey polepole angewaangalia wenzake akina sungusia wanavyojenga hoja
 
Pole pole nae yupo channel ten muda huu anaongea pumba zakee. Walishamlisha maharage ya Lumumba huyu
 
Malumbano ya hoja ni kipindi cha watu wanaojielewa pamoja na wapumbavu+malofa.Mada moto ni kipindi cha HAMFAI POTEPOTE.
 
Back
Top Bottom