ITV Kipima Joto kwanini mmealika Wazanzibar watupu kujadili Muungano?

Kipima Joto leo wageni ni Mwandishi nguli mh Atiki na mh Miraji

Hawa wote ni Wazanzibar sasa mjadala umekuwa wa upande mmoja inabidi mtangazaji Juliet Robert ndio awe mtetezi wa Tanganyika

Mjadala wa leo mmefeli kiukweli
 
Mkuu mbona yule mwalimu amejitambulisha Mapema kwamba yeye ni Mngoni,akiwa amezaliwa na Baba Mngoni na mama Mpemba ama siku hizi tunarithi kwa Mama,
Pili punguza ubaguzi Chief kwani kuna hasara ama athari gani iliyojitokeza,ikiwa tunapambana kusema nchi yetu haina ukabila
 
Tunataka taifa moja na nchi moja haiwezekani watu milioni 2 kuungana 60 milioni hili ni swala mda tu visiwa hivi vitakuwa jimbo au mkoa kama Hawaii na Marekani yaani mwenye nguvu mpishe na mwenye nguvu ni bara
 
Mkuu mbona yule mwalimu amejitambulisha Mapema kwamba yeye ni Mngoni,akiwa amezaliwa na Baba Mngoni na mama Mpemba ama siku hizi tunarithi kwa Mama,
Pili punguza ubaguzi Chief kwani kuna hasara ama athari gani iliyojitokeza,ikiwa tunapambana kusema nchi yetu haina ukabila
Mkuu tunapojadili muungano ni suala la Bara na Visiwani, siyo issue ya Mngoni na Mpemba. Kama tunataka mjadara mzuri wenye hoja za kuboresha muungano wetu ni vyema kukawa na uwakirishi wa hoja toka pande zote mbili.
Mtu anaweza kuwa kazaliwa na baba mngoni na mama mpemba, lakini amekulia na anaishi visiwani, huyo hawezi kuiwakirisha vizuri bara kwa kuwa eti baba yake ni mngoni!
 
Pweinti!
 
ITV na vyombo vingi vya habari vimepoteza uweledi wao kwa sababu kila mtangazaji,kila mwandishi bado anawaza uteuzi kuliko kuwaza kutoa maudhui ya kuelimisha na kuhabarisha jamii!

Content kuu sasa imekuwa ni kusifia na kisha kudikilizia mkeka wa uteuzi!
 
Kipima Joto leo wageni ni Mwandishi nguli mh Atiki na mh Miraji

Hawa wote ni Wazanzibar sasa mjadala umekuwa wa upande mmoja inabidi mtangazaji Juliet Robert ndio awe mtetezi wa Tanganyika

Mjadala wa leo mmefeli kiukweli
Hao ndio watawala wa nchi, acha watambe.
 
Ilo jambo litakua limepangwa makhsus sio bahati mbaya.

Atiki nilijua mtu wa Bagamoyo kumbe mzenj!
Ni kweli!

Hata elimu inakufa KIAKILI,yaani Bara iwe inafelisha kama visiwani!!

Unapomchukua mtu ambae alishafanya masomo mawili au moja amekaa mtaani miaka hata miwili au mitatu bas atafauluje wakati amepoteza masomo mwaka mzima!!?

Ni kuongeza zero kwa wabara ilu idadi iwe SAWA na visiwani!!!

Ngoja tuone!!
 
Kipima Joto leo wageni ni Mwandishi nguli mh Atiki na mh Miraji

Hawa wote ni Wazanzibar sasa mjadala umekuwa wa upande mmoja inabidi mtangazaji Juliet Robert ndio awe mtetezi wa Tanganyika

Mjadala wa leo mmefeli kiukweli
Je! Wanauhitaji muungano!!?
 
Kipima Joto leo wageni ni Mwandishi nguli mh Atiki na mh Miraji

Hawa wote ni Wazanzibar sasa mjadala umekuwa wa upande mmoja inabidi mtangazaji Juliet Robert ndio awe mtetezi wa Tanganyika

Mjadala wa leo mmefeli kiukweli
halafu shule ya muhimu sana kule zanzibar, ni weupe wanajadili uswahili tu. yule mwarabu anasema ukanda wa pwani ni wa zanzibar. anaongea utafikiri anabugia ubwabwa.
 
Back
Top Bottom