Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,510
- 7,755
Kwenye taarifa ya habari ya ITV saa mbili usiku wameonyeshwa wananchi wakilalamika kuwa uvuvi haramu wa kutumia mabomu umerudi kwa kasi na wananchi kila siku wamekuwa wakiokota samaki wengi waliokufa kwa mabomu.
Swali la Kipima Joto la ITV linahoji je, kurudi kwa uvivu haramu wa kutumia mabomu viongozi wenye mamlaka wameshindwa wajibu wao?
Swali la Kipima Joto la ITV linahoji je, kurudi kwa uvivu haramu wa kutumia mabomu viongozi wenye mamlaka wameshindwa wajibu wao?