Kipima Joto ITV,Renatus Mkinga ndani..

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,670
68,630
Wana JF Kipima Joto ITV Live Renatus Mkinga ndani ya Nyumba leo utamu mtupu,wanazungumzia mgomo wa wauza mafuta.
 
Aisee niko mbali na runinga tujuzeni, Mkinga akiwepo wahusika wanaingia mitini maana wanajua kabsaa itakuwa fedheha kwao!
 
Aisee niko mbali na runinga tujuzeni, Mkinga akiwepo wahusika wanaingia mitini maana wanajua kabsaa itakuwa fedheha kwao!

E bwana yupo Hans POp(Wauza mafuta),Edwin(Ewura),Mkinga amesema kuna utafiti anafanya akiupata atauweka hewani,KUna baadhi ya shell(Fuel station) zinamilikiwa na wabunge pamoja na mawaziri ndo anafatilia ataweka wazi akikamilisha uchunguzi wake..
 
hahahaah Kuna lijimamluki linajiita Against Chadema hahahahha kweli njaa mbaya jamani. Hao wauza mafuta wasituletee za kuleta hawaijui peoples power eeenh!
 
Mkinga ni jembe la ukweli,yani yeye anaenda na data,na kwa mtu unaeshabikia Ufisadi basi na wewe ni sehemu ya Ufisadi kama hilo jinga hapo juu linajiita Against Chadema
 
Mkinga ni jembe la ukweli,yani yeye anaenda na data,na kwa mtu unaeshabikia Ufisadi basi na wewe ni sehemu ya Ufisadi kama hilo jinga hapo juu linajiita Against Chadema
<br />
<br />

Mtujuze sisi umeme skuu ya 3 huyo zuzu achana naye
 
Du mbona huyu jamaa wa Ewura amesema atataja bei mpya j3 so tusishangae bei ikapanda tena,kwahyo ametoa tahadhari kwa wananchi wasije wakasema wamesalimu amri kwa wafanyabiashara!!! Kazi kweli kweli............NA KIPINDI NDO KIMEISHA......
 
Back
Top Bottom