Cha ajabu Tanesco wenyewe wameingia mitini..hakuna mwakilishi wao!!! Where is mhando????
Unataka aumbuke !kamwogopa Mkinga!
Cha ajabu Tanesco wenyewe wameingia mitini..hakuna mwakilishi wao!!! Where is mhando????
Unataka aumbuke !kamwogopa Mkinga!
Kwangu mgawo wa umeme kama kawa! Kwani walisema umeisha.
Mbona enzi za Nyerere hukukuwa na matatizo ya Umeme wala maji?
Kweli ngeleja ni wa kunyongwa hana faida yoyote hapa duniani anazidi kututia hasara watzMkinga anamwaga mboga na ugali!duu ngeleja ni wa kunyongwa kabisa
Mkinga anasema alishawahi staafishwa kwa manufaa ya umma just kwa kuhoji uhalali wa kutoa passport kwa m2 asiye mtz...