Nakubaliana na msemaji kijana anayesema kuwa umoja wa Africa umekaliwa na MATAPELI ya kiwemo majizi ya kura ka Kibaki, yale yaliyoingia kwa mapinduzi na yakapewa majukumu AU mfano Ghadaffi, Mseven, Nguema, Kagame.....
Hii mijamaa imejifanya inabadilisha sheria AU kuwa inatawala mpaka kufa na ipigweeeee.....
Kuna mchangiaji mmoja anasema wafrica tusijandanganye kuwa Wazungu watatusaidia bure.
Katoa mfano Wazungu walivyokuwa wanafiki kwenye suala la Libya. Anasema Mwaka 2003, Libya walichukuwa kiti cha Baraza la umoja wa mataifa la haki za binadamu, leo wamemgeuka sababu ya maslahi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.