Kipigo cha Dk. Ulimboka chazua balaa tiGO

kwa hilo tunajifunza nini? Ni kweli kulikuwa na mawasiliano ya simu kati ya watekaji wa dr Mboka!
 
Ama kweli tuna hasara kubwa sana na serikali tawala.

Majuzi tu jk + pinda wamekanusha ya kwmb serikali yao haikuhusika na jambo hili na sasa mambo yanafunguka jamani,Je? Hii aibu wataiweka wapi?

Ama kweli kikulacho kiko nguoni mwako!
Mi natamani Dk Uli aje na atoe maamuzi kwa kauli yake mwenyewe!

Tumechoka na serikali tulioyonayo.
 
Serikali(J.K, Pinda, Nchimbi . . . . . . .. . . Tiss, Kova-afande nanihii) ndiyo wameitishia kampuni ya tigo kwamba watawafungia kama Mwanahalisi kwa sababu wanavujisha siri za UKWELI.

Kwa maana hiyo tigo wameidhibitishia umma wa watanzania kwamba habari iliyoandikwa na mwanahalisi ni za KWELI KABISA na sasa wakaamua kufukuza wafanyakazi wake waliopo ktk kitengo cha teknolojia ya habari.

Kwa mantiki hiyo tigo wamekamilisha na kufunga mjadala kuhusu uchunguzi wa sakata la kutekwa Dr. Ulimboka.
 
Tiss au hawa vijana 30 wahitimu wa sosholoji UDSM na agroeconomy SUA? Halafu jitu likimwagiwa tindikali wanasema serikali.

Although, to be honest Mwanahalisi's content is so repetitive(sp) and predictable...but you should give it to them that they explore and dig where giants don't dare (so your joy into some harm like kumwagiwa tindikali shows ur saddistic(sp) pattern ) to also say wahitimu wa sosholojia na agroeconomy SUA who are now call center agents not by choice but due to lack of jobs and growth in their specific areas of expertise shows overt weakness in our plans for graduates our zeal to accomodate atleast 20% of these special discpline into mainstream ajiras...

You have always had unwavering support for CCM so u should be the last person to comment sarcastically(sp) of the product of your own system...

These guys have no choice but to resort to this work we did as temporary jobs whilst awaiting to join form 6 enzi zetu
 
Ile filamu ya Kova na wengine imeendelea baada ya TIGO kuwafukuza kazi watumishi wake kwa kosa la kuvujisha siri
 
Watumishi hao wa TIGO, wanatuhumiwa kutoa siri za mawasiliano kwa gazeti la mwanahalisi, ni kosa jingine wanafanya!
 
Aliyemteka Dr. Ulimboka ni RAMADHANI IGHONDU mfanyakazi wa Ikulu

http://www.mwanahalisi.co.tz/node/2968

Big Up kubenea na Mliotoa CDRs(Call Details Records) kuhusu Rama na Watekaji wenzake watano aliokuwa anawasiliana nao!
 
Aliyemteka Dr. Ulimboka ni RAMADHANI IGHONDU mfanyakazi wa Ikulu

Ramadhani Ighondu,
Nickname: Rama
Born: 28.08.1978
Place: Makole – Dodoma
Voter Registration Card: 49406879
Mobile Number: 0713 760473
 
it is beyond reasonable doubt that everything ?the hearsay? ni ukweli ulio dhahili, hivi why dont they hire an exprt!
 
To hire an expert inatakiwa nawe uwe timamu kujua kuwa suala hilo hulifahamu.
 
You can fool some people for sometime
But you can't fool all the people in all the time
Source: Bob Mlay
 
ningependa kupata majina yao na anuani zao ili nifualilie usalama wao kila mwaka wasije wakadhuriwa kama dr ulimboka.
 
Haisaidii kufukuza watu kazi, Dawa ni Serikali Dhaifu Kuacha tabia ya kishetani na ya kikatili ya kutisha na kutesa watu ili 2 watu wasidai haki zao, Tawala za aina hiyo hazitakiwi ktk kizazi cha sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom