Kipi ni chuo kinachotoa products zinazouzka sokoni hapa tanzania?

Usiangalie chuo, angalia ni vipi wewe utajiongezea sifa za ziada. Kusoma chuo chenye jina kubwa au ambacho hakina jina haimaanishi kuwa utapata kazi kirahisi au utakosa kabisa.
Katika msafara wa mamba hadi sisimizi wapo. Akili kumkichwa.

kila chuo kiko vizuri kulingana na course mtu anayotaka kusoma as long vyote chini ya tcu na wao ndio huidhinisha mitaala. Swala la kutoa product nzuri pia linategemeana na uwezo wa msomi husika.

Mlichosema ndiyo ukweli. Jamani, hivi hili nalo linahitaji mjadala kweli? Hivi mimi nikitaka kuajiri mtu, buyo mtu akuja na jeuri kwa sababu kasoma UDSM au IFM etc, Big No! Nioneshe uwezo wako.
 
Usiangalie chuo, angalia ni vipi wewe utajiongezea sifa za ziada. Kusoma chuo chenye jina kubwa au ambacho hakina jina haimaanishi kuwa utapata kazi kirahisi au utakosa kabisa.
Katika msafara wa mamba hadi sisimizi wapo. Akili kumkichwa.
hilo sio swali sema..kweli baada ya miaka 3 unatoka umeiva na tayari kwenda kuapply ofcn usiseme ni chuo gani kikali..wengine wanafanyiwa hadi mithani we unasema chuo cha ukweli nenda wewe uone kama sio kila cku c lakni mwenye A hamna kitu kichwani
 
Back
Top Bottom