udsm kipo juu kwani ndicho kinachoongoza nchi kwa sasa na ndo kilichotufikisha hapa tulipo mafisadi karibu wote makatibu wakuu na watendaji mbalimbali wa serikali kasoro polis wa arusha na tarime chimbuko lake udsm sijagusa mikataba ya ulaghai ya richmond na madini UDOM tusubili..
<br />Senetor umesoma masomo gani? Kwa kua Km unainterest na kozi za Engineering COET iliyo chini ya UDSM ni adequate ...Beside km una interest na Architectural & Land studies apply Ardhi University ndo mahala pake....MUCCoBs ni suitable kwa Co-operative & Business Studies while Mzumbe wako poa kwenye Law,Tumaini,SAUT sirecomend sana labda uwe na interest ya Theology Bt Kwa Medicine/Pharmacy Muhimbili UHASC umefika! Salam zako.
Senetor umesoma masomo gani? Kwa kua Km unainterest na kozi za Engineering COET iliyo chini ya UDSM ni adequate ...Beside km una interest na Architectural & Land studies apply Ardhi University ndo mahala pake....MUCCoBs ni suitable kwa Co-operative & Business Studies while Mzumbe wako poa kwenye Law,Tumaini,SAUT sirecomend sana labda uwe na interest ya Theology Bt Kwa Medicine/Pharmacy Muhimbili UHASC umefika! Salam zako.
kuna cku nilikua kwenye daladala nkackia washkaj flan hv ambao kwa kuwaangalia 2 ni kama wametoka kwenye interview,nkackia wanaongea kwamba,hlo shirika ambalo ni la umma,na lnalojhusisha na kusambaza umeme hapa tz,lnapendelea baadh ya vyuo kama udsm,sua,mzumbe ,jamaa wengne nao nkawackia cku flan hv wanalalamika eti crdb,nbc,nmb,wao wanawapendelea sana wa2 wa sua,sa ndo nkawa najiulza ni kwamba vyuo vngne products zao ni haziaminik kwa waajir au vp?vyuo vyote ni fresh tu,so long as vinatambulika na course as well zinatambuliwa na TCu!