Kipi bora, mwenye experience au asiye na experience?

Experience kwenye ku-care, kwenye ku-do, kwenye ku-uumiza, kwenye ku-cheat, kwenye ku-uumizwa, kwenye ku-piga, kwenye ku-pigwa, kwenye ku-zaa, kwenye ku-toa mimba, kwenye ku-tigo, kwenye ku-........... zote ni experience...

Vingine asipovikuta kwako atavimiss..
 
maona upo kingono zaidi.kwani mapenzi ni ngono

Mapenzi siyo ngono, ila kwenye mahusiano yasiyo ya kindugu, hitimisho lake na kilele cha furaha huangukia huko. Case hii imekuwa specific kwenye kuoa/kuolewa na mtu mwenye experience, ndiyo maana nimejaribu kuwa muwazi kidogo. My apologies kama nimekuwa quoted otherwise.

HP
 
Vyovote ni poa, mtu mwengine hana experience lakini mwepesi na ana hamu ya kujifunza, kwahiyo after 3 months ameshawazidi wa miaka 10.
 
Ni swali nataka unjibu mtoa hoja..''umeenda baa,unaagza knywaj alafu unaletewe kimefunguliwa..namaanisha NO kizibo,je! Utaki2mia?''
 
Fresh graduate taabu sana. Nataka experience bana.
Experienced, say 10+ years, hata ukimpiga kibuti halii, fresh graduate anajinyonga.
 
Katika mapenzi tunajifunza kila siku mambo mapya, kwangu experience sio ya muhimu sana!
 
du, wanaume wengi humu wanapoenda brand nyu; na kina dada wengi humu including me, wanapenda experienced ...... men! I can come with the following assumptions!
1: Kina kaka hawajiamini; wanapenda wao ndio waonekane wajuzi kwa kuwafundisha wenzao.
2: Sijui bikra inahusu au nini, kuwa kina kaka wanapenda ile sifa ya kuwa wao ndio wameanza.
3: Kina dada sijui ni uvivu au, inaonekana au wanaboreka kuwafundisha wenzi wao ndio maana wanataka mzoefu.
4: Kina dada hawataki kujidanganya, kwani si rahisi kujua huyu mwanaume ni virgin or not.

Au???
 
Hawa vijana wanaotaka brand new, hivi wao sio used, au brand new ni kwa mwanamke tu, kwa mwanaume hakuna brand new! sasa hao mnaowatoa usichana wao na kuwaacha, wachukuliwe na kina nani kama sera ni brand new na sio used.
Katika mapenzi hakuna cha upya!
 
Sasa asiye na uzoefu hata kulalamika ni shida? Ukimwambia zungusha ndo tena taabu. Ujue mwanamke mzuri huwa malaya chumbani na akiwa sebuleni ni dada yako. Napenda mzoefu.
 
Back
Top Bottom