Kipi bora kuajiriwa chuo cha uwalimu au secondary ?

Mkuu unapoongea kitu jaribu kuwa mkweli and kuwa na uhakika na unachoongea.kuna ndugu yangu mwaka jana ameajiriwa chuo cha ualimu na hakuwa mwalimu from secondary,kamaliza form six kaingia chuo kamaliza kapata post chuo cha ualimu.

Nilichoandika ndio mpango uliopo, kama ujuavyo utekelezaji ni kitu kingine.
 
Jamani naomba mnisaidie, kuajiriwa chuo cha ualimu na kuajiriwa shule za secondary ni ipi nzuri kimshahara na hata kujiendeleza kieimu?
:clap2::clap2::clap2:

Kimshahara kwa sasa wakufunzi wanalipwa zaidi si sawa na walimu wa sekondari...kwa digrii ukipelekwa kufundisha secondary unaanza na TGTS D1 wakati mkufunzi anaanza na TGTS E1
 
Na kujiendeleza kwa vyuo vya ualimu ukipiga masters inatambulika kwa ajili ya nyongeza ya mshahara lakini kwa secondary ni manufaa yako labda litokee zali la cheo....ukitaka nkutumie wa mabadiliko wa 2011 unaoonyesha haya yote ni pm email yako nimeshindwa kuiupload hiyo document hapa
 
Kimshahara kwa sasa wakufunzi wanalipwa zaidi si sawa na walimu wa sekondari...kwa digrii ukipelekwa kufundisha secondary unaanza na TGTS D1 wakati mkufunzi anaanza na TGTS E1

Si kweli jamani. Mbona mnadanganyana huku. Embu kuweni mnaongea vitu mnavyovifahamu. Kiwango cha mshahara ngazi ya serikali ni sawa kwa wenye taaluma moja na level ya elimu sawa. Haijalishi sekondari au chuo. Kwa walimu degri wote ni TGTSD
 
Mkuu yawezekana na wewe hujui ina unaamini unajua kwa taarifa yakoo wakufunzi hawako kwa mkurugenzi wapo ksa katibu mkuu na mshahara wao anaanza na TGTSE kama hujui ni vema kuuliza mkuu
 
Nahisi we huelew unachokiongea. Ninaongea nikijiamini na ninaelewa ninachoandika. Anyways, sipo kukulazimisha ukubaliane na mimi.
 
Mkuu yawezekana na wewe hujui ina unaamini unajua kwa taarifa yakoo wakufunzi hawako kwa mkurugenzi wapo ksa katibu mkuu na mshahara wao anaanza na TGTSE kama hujui ni vema kuuliza mkuu

Aliyekudanganya nani? kwani walimu Wa sekondari hawapo kwa katibu mkuu TAMISEMI? au unafikiri mkurugenzi ndio mwajiri wao mkuu??

Kwa taarifa tu viwango vya mshahara serikali kuu ni vilevile kulingana na kada na elimu.
 
Walimu wa sekondari wako kwa katibu mkuu tamisemi sawa, ila wakufunzi wako kwa katibu mkuu moevt na wanaanza na TGTS E toka mwaka 2011....mkufunzi wa TTC hawajibiki kwa DED yeyote
 
Si kweli jamani. Mbona mnadanganyana huku. Embu kuweni mnaongea vitu mnavyovifahamu. Kiwango cha mshahara ngazi ya serikali ni sawa kwa wenye taaluma moja na level ya elimu sawa. Haijalishi sekondari au chuo. Kwa walimu degri wote ni TGTSD

Punguza ubishi google "NYONGEZA VII: MUUNDO WA UTUMISHI WA WAKUFUNZI KATIKA MIUNDO YA UTUMISHI YA KADA ZILIZO CHINI YA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI"...... Ni bora badala ya kubisha muone ni namna gani mnadai haki za walimu wenye degree kuanza na E kama ilivyo kwa wakufunzi ambao kimsingi vigezo wote wanalingana.
 
muundo wa E umepitwa na wakat pia kwani mwaka jana july wametoa muundo mpya ambapo wakufunzi wataanzia F badala ya E (japo huo muundo wa E inasemekana hawakuwahi kuutumia, ulikuwepo jina tu na walikuwa wanaendelea kulalamika kuanzia kwao D kama wa sek). Huu muundo mpya wa kuanzia F umekuja baada ya mabadiliko ya kimuundo wa utumishi wa walimu ambapo pamoja na mambo mengine walimu wamebadilishiwa majina ya vyeo, pia wameongezewa ukomo wa mshahara ambapo walimu wa
Cert wataishia G badala ya E, wa dip wataishia H badala ya F wa bach wataishia I
 
Aliyekudanganya nani? kwani walimu Wa sekondari hawapo kwa katibu mkuu TAMISEMI? au unafikiri mkurugenzi ndio mwajiri wao mkuu??

Kwa taarifa tu viwango vya mshahara serikali kuu ni vilevile kulingana na kada na elimu.

acheni ubishi nafikir kwa wale waalimu wakiandika barua yeyote wa adress kwa DED ndio mwakilishi wa mwajiri.
ila waalimu wale wavyuo wanaanza na TGTSE1
 
Si kweli jamani. Mbona mnadanganyana huku. Embu kuweni mnaongea vitu mnavyovifahamu. Kiwango cha mshahara ngazi ya serikali ni sawa kwa wenye taaluma moja na level ya elimu sawa. Haijalishi sekondari au chuo. Kwa walimu degri wote ni TGTSD

wewe ndo hujui unachoongea kama hauna uhakika funga domo lako watu tuna machungu atiii
gambaa weweee
 
Si kweli jamani. Mbona mnadanganyana huku. Embu kuweni mnaongea vitu mnavyovifahamu. Kiwango cha mshahara ngazi ya serikali ni sawa kwa wenye taaluma moja na level ya elimu sawa. Haijalishi sekondari au chuo. Kwa walimu degri wote ni TGTSD

Wewe ndio hujui. Ukweli ni kuwa mwalimu mwenye degree chuoni mshahara huanzia TGTS E1; wa sekondari huanzia TGTS D1.
 
Labda unambie kama we ndo ulianza na huo mshahara nitakuelewa. Ila me naongea as mlengwa. Labda nikisema hivo utanielewa...ooopss..yu guys.ndo mnavojidanganya mtakuwa wakufunzi then muanze na E. Kip on driming!
 
sio kweli, wote mkiajiriwa pamoja tena mkiwa na degree, wa sec ataanza na D1 wa chuoni ataanza na E1. huu wa E ni mkubwa kuliko wa D.
 
nawasiwasi na elimu yako maana mshahara hulipwa kulingana na ngazi ya elimu uliyonayo.mfano mwalimu mwenye degree anayefundisha form three mshahara wake hauna tofaut na mkufunz wa chuo mwenye degree ikiwa waliajiriwa pamoja.

Mkuu hilo sio swala la kutilia shaka elimu yake, ni swala taarifa.HV UNAWEZA KUTUAMINISHA KUWA MWALI AMBAYE AMEAJILIWA DUCE AU MUCE KAMA TA, ATAKUWA NA MSHAHARA SAWA NA MWALIMU wa sec/MSINGI JAPO WOTE WANA DEGREE?HAPA JIBU NI HAPANA KWA SABABU YA MIUNDO TOFAUTI.NADHANI MCHANGIAJI ALIFIKRI ITAKUWA VIVYO HIVYO KATI YA VYUO VYA UALIMU NA SEKONDARI AU PRIMARY.
 
Si kweli jamani. Mbona mnadanganyana huku. Embu kuweni mnaongea vitu mnavyovifahamu. Kiwango cha mshahara ngazi ya serikali ni sawa kwa wenye taaluma moja na level ya elimu sawa. Haijalishi sekondari au chuo. Kwa walimu degri wote ni TGTSD

Aliye chuoni ni mkufunzi sio mwalimu.UNAWEZA KUTUTHHBITISHIA KUWA TUTORIAL ASSISTANT PALE MUCE AU DUCE MWENYE DEGREE YA UALIMU NAYE ANAANZA NA TGS D? SIO SAWA.SINA UHAKIKA UPANDE WA WAKUFUNZI KWENYE VYUO VYA UALIMU.LAKINI KUWA NA ELIMU SAWA SIO KIGEZO CHA KUWA NA USAWA WA MISHAHARA JAPO TUNAPAMBANA KUHAKIKISHA WAFANYAKAZI WOTE WA SERIKALI WENYE ELIMU SAWA HATA KAMA FANI TOFAUTI LIPWE SAWA.WANAWEZA TOFAUTISHWA ALLOWANCES.DAKTARI AU MWANASHERIA ALIYE HOSPITAL/MAHAKANI WANALIPWA TOFAUTI NA WALE WALIOPO VYUONI.
 
Back
Top Bottom