Kipi bora kati ya kwenda jeshini na chuo kikuu kwa mtu aliyesoma science

hapo sawa, lakini umepita kama mtu wa kujitolea au mujibu wa sheria? maana wale wa kujitolea fomu za kujaza kama wanataka kwenda JWTZ huwa wanajaza kipindi washamaliza mafunzo ya awali yale ya miezi 6 kama hutachaguliwa itabidi usubiri awamu nyingine wakati huo hupewa cheo cha service man/girl kwa boys na girls respectively.

Mujibu wa sheria mkuu
 
Unaonekana upeo wako wa kupambanua mambo ni mdogo sana......hili jambo unatakiwa ulifanyie maamuzi wewe mwenyewe...kwa kuwa maisha ni yako na uamuzi ni wako.......
 
Unafikiri jeshi unaenda tu km uendavo chooni???? Wenzako wana bachelor degree na wanapigwa chini kwenye interview za jkt ww 4m6 unasema naenda jeshi, au jeshi la shemeji yako. Any way nenda jeshi km endapo utapata chance coz elimu haina mwisho.
 
Sawa mkuu
 
Jeshi ni kwaajili ya wanajeshi,hautakiw kusita km unaspirit ya kweli,km huna kasome
 
Hujaeleweka fafanua hiyo nafasi umeipataje na vitu vingine kibao umevificha ili tukusaidie kuamua ila AJIRA inaheshima kuliko elimu kwa sasa maana ukiwa na ajira utasoma chuo kwa raha.
 
Ushauri wenu wana JF.Asante
.

kuna kitu kinaniambia umefeli hayo masomo ya science .. ila kama hisia zangu sio sahihi, basi nakushauri uende chuo. jeshi sio pa mchezo na kama huna shule ndio utaishia kulinda mipaka tu.
 
Hujaeleweka fafanua hiyo nafasi umeipataje na vitu vingine kibao umevificha ili tukusaidie kuamua ila AJIRA inaheshima kuliko elimu kwa sasa maana ukiwa na ajira utasoma chuo kwa raha.

Mujibu wa sheria then JWTZ moja kwa moja
 
Sasa kwenda na degree yako na form six kipi ni bora

Kule hata ukienda na form IV ukweli ni kwamba utasoma bila stress na mshahara utapata, utafanya mambo yako bila stress, utasoma kwa kujilipia bila kutarajia mikopo. Ukienda na degree ni vizuri zaidi.
 
Kasome ww hata mm iyo nafasi nilipata ya kwenda jeshi walichukua watu wa sayansi mm nilisoma PGM nilijiandikisha wakatuita nilipgiwa cm niende mgulani pale kulasini mana tulienda jeshi la jkt mujibu wa sheria mm nilikuwa Kambi ya oljoro cjataka kwenda coz elimu ya form 6 ndogo sana yn nw nipo zangu chuo nalisongesha mana ukienda jeshi usizani unaenda piga coz ya yule nyota moja. Kwa moja unanza na uprivate zen ndo uje nyota zio kazi ndogo mkuu,xo we nenda chuo tu..
 
Me ndio kama wewe nlikuwa Mujibu wa sheria lakini ndo wazazi wangu wakasema elimu ya form six ni ndogo sana bora nisome koz jeshi lipo tu
 
Ndo nasikia walihaidi eti sijui tutaenda soma military science nje kati ya ujeruman au japan me nkaona propaganda tuuu nchi ynyewe hii bora nipige chuo kwanza...
 
Ndio hvyo kamanda me mwenyewe nlishauriwa na wazazi nisome kwanza maana jeshi lipo tu nitalikuta
 
Mimi nakushauri sana nenda kwanza kazini unajua watu wengi mnadanganyana kwa kuwa hamjui nini kipo jeshini labla mm nichukue muda huu kukuelimisha kwani nipo Jeshini kama affliated member
Unaenda kwanza kwa mujibu miezi 6 hii ni lazima uende then ukirudi unatakiwa utumikie Jeshi kwa muda usiozidi miaka miwili na katika kipindi hicho kuna nafasi ambazo hutangazwa kama utachaguliwa basi utapata nafasi ya kenda kuchukua mafunzo ya ajira kwa miezi 6. Hii inaitwa Recruit Kozi ukifanikiwa hapo basi utaajiriwa rasm kwa cheo cha chini Private kupanda juu ni juhudi yako. ukitaka maelezo zaidi Ni PM ili nikutumie namba unipigie nikuelekeze vizuri
 
kwahyo mafnzo kwa mujib wa sheria hawaconsid unaanza upya
 
Back
Top Bottom