Kingereza kuwa lugha ya kujifunzia kwa ngazi zote za elimu nchini

The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Nov 8, 2022
7,382
8,437
Hello Tanzania!

Habari unayo trend huko kwenye magazeti ya Kimataifa Ni kuhusu lugha ya kingereza kufanywa ndio ligha rasmi na ya lazima ya kufundishia kwa Ngazi Zote za Elimu hapa Tanzania.

Je hii Ni kweli?

Mamlaka husika mnasemaje? Na Kama ndivyo Nini hatma ya Kiswahili ambacho kimekuwa kinapogiwa chapua hapa Afrika?👇

====
Tanzanian schools have begun, this month, to adopt English as the compulsory medium of instruction.
Assistant Director for Secondary Education in the President's Office Benjamin Oganga said the unprecedented move is aimed at ensuring students are able to express themselves in the Queen's language.

"We have banned the use of Swahili in all our secondary schools. We need to ensure our students understand and are able to use English in accordance with the policies of education,” he said.

Oganga said learners will undergo orientation for eight weeks beginning January 9 when English lessons will officially commence in schools.

The Tanzanian syllabus is predominantly in the Swahili language where even subjects such as Physics, Biology and Chemistry are taught in the language.

Until this decision, English was taught in Tanzanian schools as an optional language.
The total number of Swahili speakers globally varies widely, but estimates range from 60 million to over 150 million people.

This number comprises both native and second-language speakers where around five to fifteen million people speak Swahili as their first language with Tanzania accounting for the largest number at about 9 per cent.
The adoption of English as a compulsory medium of instruction in Tanzanian schools will likely solve pre-existing communication challenges with English-speaking countries.

Source: Star KE
 
Dicatatorship tzd.jpg
 
Kusoma kingereza haimaniishi kiswahili kinakufa,

Hii hisia kwamba kiingereza kikipewa kipaumbele,kiswahili kinakufa huwa inatoka wapi?hizi ni lugha mbili,zote zinaweza kufundishwa vzr,na vijana wakabobea vzr tu,

Kuna nchi inafundisha lugha mbili,Rwanda watoto wanafundishwa kiingereza na na kifaransa.

Sasa hv inabidi tuwe na lugha zote kizungu,kifaransa,kijerumani,

Wabongo tuache kutetemeka tukisikia kizungu,dawa ya tatizo sio kulikimbia,ni kutatua,

Hao wanaopigia kiswahili kelele,watoto wao wapo feza,Tanganyika international schools,wanapiga malugha yote ya kimataifa, wanataka watoto wa maskini wasijue kizungu vzr,Ili mambo ya Dunia yawapite,ajira za kwenye international institute, kizungu ni muhimu!!sasa hv inabidi tuhame huko,Elimu yetu ipo chini sio kwa sababu ya kizungu ni miundombinu mibovu,maana hata kiswahili wanafunzi wanafeli sana tu,

Matatizo yapo Mengi kwenye Elimu yetu lakini sio lugha ya kizungu,

Kizungu ndio kiswahili Cha ulimwengu
 
Inaonekana wazi mamlaka hazipo tayari kukitumia kiswahili sio tu kwenye Elimu lakini pia kwenye utoaji Haki katika Mahakama zetu.

Pamoja na jitihada za kubadilisha sheria kufanyika ili kuruhusu matumizi ya kiswahili mahakamani lkn bado kuna kigugumizi sana!!

Nadhani kinacho kosekana kwa sasa ni msukumo kutoka mamlaka za juu.
 
Mbona sijaelewa !!ina maana sasa ivi wanatumia kiswahili kufundisha physics na Biology kuanzia form 1-4 au ndo mimi sijui kingereza?

Nachoona hakuna changes ni siasa tu ukitaka changes lazima uanzie chini pale primary schools hapo ndo tutaona kweli mabadiliko mengine ni janjajanja tu.
 
Hata hivyo wamechelewa sana.
Naliona anguko la shule binafsi.

Najua itachukua muda Kwa maana ya maandalizi ya waalimu na mambo mengine lakini ni hatua muhimu sana.

Hicho kiswahili watakiongea nyumbani na kujifunza kama somo.
Wali wa Mama bonge na Wali wa Serena ni tofauti..its all about the quality 🤌
 
Mbona sijaelewa !!ina maana sasa ivi wanatumia kiswahili kufundisha physics na Biology kuanzia form 1-4 au ndo mimi sijui kingereza?..
Nachoona hakuna changes ni siasa tu ukitaka changes lazima uanzie chini pale primary schools hapo ndo tutaona kweli mabadiliko mengine ni janjajanja tu.
True
 
Kusoma kingereza haimaniishi kiswahili kinakufa,

Hii hisia kwamba kiingereza kikipewa kipaumbele,kiswahili kinakufa huwa inatoka wapi?hizi ni lugha mbili,zote zinaweza kufundishwa vzr,na vijana wakabobea vzr tu,

Kuna nchi inafundisha lugha mbili,Rwanda watoto wanafundishwa kiingereza na na kifaransa.

Sasa hv inabidi tuwe na lugha zote kizungu,kifaransa,kijerumani,

Wabongo tuache kutetemeka tukisikia kizungu,dawa ya tatizo sio kulikimbia,ni kutatua,

Hao wanaopigia kiswahili kelele,watoto wao wapo feza,Tanganyika international schools,wanapiga malugha yote ya kimataifa, wanataka watoto wa maskini wasijue kizungu vzr,Ili mambo ya Dunia yawapite,ajira za kwenye international institute, kizungu ni muhimu!!sasa hv inabidi tuhame huko,Elimu yetu ipo chini sio kwa sababu ya kizungu ni miundombinu mibovu,maana hata kiswahili wanafunzi wanafeli sana tu,

Matatizo yapo Mengi kwenye Elimu yetu lakini sio lugha ya kizungu,

Kizungu ndio kiswahili Cha ulimwengu
Comment bora ya uzi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom