Uganda yatenga Tsh. Trilioni 2 kwaajili ya kutangaza na kufundisha Kiswahili

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
1710424681534.png

UGANDA: Serikali imetenga Dola za Marekani Milioni 800 (zaidi ya Tsh. Trilioni 2) kwaajili ya kutangaza na kufundisha Lugha ya Kiswahili nchini humo kwa lengo la kukuza ushirikiano wa Kikanda.

Kwa mujibu wa taarifa ya Waziri wa Masuala ya Afrika Mashariki, Rebecca Kadaga, Watumishi wa Umma wakiwemo Madaktari, Wauguzi na Wafanyakazi wa Mipakani watapewa kipaumbele katika mpango wa mafunzo ya lugha hiyo.

Ikumbukwe, Julai 2022 Serikali ya Uganda iliidhinisha Lugha ya Kiswahili kuwa Lugha rasmi na kuagiza iwe Somo la lazima katika shule za Msingi na Sekondari ikiwa ndiyo Lugha rasmi ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Takriban watu Milioni 200 wanazungumza Kiswahili duniani kote na mwaka wa 2021, Lugha hiyo ilipata msukumo mkubwa zaidi baada ya Umoja wa Mataifa kuiteua tarehe 7 Julai kuwa Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani.

===========

The Ugandan government has allocated $800m (£625m) to promote and teach the Kiswahili language in the country, as part of efforts to foster regional integration.

Civil servants including doctors, nurses and border workers will be given priority in the yet to be unveiled Kiswahili training programme, Uganda's Minister for East African Affairs Rebecca Kadaga said.

The minister did not give further details on when and how the training programme will be unveiled.

As part of the efforts to popularise the language in the country, Ms Kadaga said all senior government officials, including cabinet ministers and judges, were taking compulsory weekly lessons.

In July 2022, the Uganda government approved the adoption of Kiswahili as an official language and directed that it be made a compulsory subject in primary and secondary schools.

But the language is currently taught in a few secondary schools in the country.

About 200 million people speak Kiswahili in the world and in 2021, the language received its biggest boost when the UN designated 7 July as World Kiswahili Language Day.

It is also the official language of the East African regional bloc, the EAC.

In 2019, Kiswahili became the only African language to be recognised by the Southern African Development Community (Sadc).

There are also efforts to introduce it in classrooms across South Africa and Botswana.

BBC
 
View attachment 2934393

Siddhani kama lengo la suala hili litafanikiwa kwa ufanisi, kwa sababu Waganda wengi wa kawaida Wana dhana kwamba Kiswahili ni Lugha ya Wezi (Swahili is The Language of Thieves)
 
Nimekuta hayupo

Lafudhi za kikabila ndio shida kuna watu huwezi kuzitoa lafudhi za kikabila km hawaishi mjini wengi wanaishi nazo alafu wanachanganya na Kiswahili linatoka dushu
Kiswahili sanifu ni “Sijamkuta”
 
Ikumbukwe, Julai 2022 Serikali ya Uganda iliidhinisha Lugha ya Kiswahili kuwa Lugha rasmi na kuagiza iwe Somo la lazima katika shule za Msingi na Sekondari ikiwa ndiyo Lugha rasmi ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Mwenye ile clip ya Idd Amin akiongea Kiswahili Mtukula utusaidie
 
Back
Top Bottom