King'amuzi cha kileleni feki...

makelele feki mbona utayajua tu.....akiona hushuki atakwambia ukojoe loh!!!!!

BADILI TABIA.....hapo ndiyo kwanza hupaswi kushuka ila kukaza buti hadi ajue umemweka kwenye kibanio................
 
Last edited by a moderator:
bora nikae kimya ,,hahaha

wahida ukae kimya badala ya kutumia wakati mwafaka huo kudai yaishe..............muwe kama mnaanzana upya..........
 
Last edited by a moderator:
kwani aki-fake si anajidanganya mwenyewe... mwanaume ukishatua mzigo sokoni una haja gani kujua kama mtu ka-fake au la?
[MENTION]
cartura[/MENTION] huo ubinafsi athari yake ni kuwa humridhishi na huna ujuzi au hata stamina ya kumridhisha sasa yeye akikutana na mtaalamu yako mbaya........andika maumivu tu........
 
we mwanamke wewe,uroongo kwamrembo kama wewe hata hupendezi ujue!!haya hebu sema kwanini huwa una-fake kufika kibo mama,upesi kabla 'sijakuchapa!!'

Rubuye123.....kama unataka kumchapa wahida na rungu lako mchape polepole na kimyakimya siye tusisikie......lol
 
Last edited by a moderator:
mkuu.....wahida mwenyewe muoga kama nini.......kasikia nitamchapa katoroka mazima tangu may bana.muoga huyoo...!!!

[MENTION]Rubuye123 [/MENTION] fahamu wahida hawezi kukutoroka ila kabanwa na vishughuli akirudi tu atakupasha khabario yako.................haogopi rungu ila mjeledi tu ndio waweza kumkimbiza kwa hiyo mvutie pumzi................
 
Last edited by a moderator:
hahaha sio hivyo , stress biz na life mambo hayo hakiwa pamoja inakuwa hakuna gud conection, samahani partners napenda sana kuwa hapa ..
 
mwanaume makini anajua, leo perfomance nzuri au kaboronga, hata ile dakika utakayofika kileleni anaijua, na siku hujafika atasema leo marry sijakusikia, kama nimechoka nitavunga vunga tu kujichosha
 
mwanaume makini anajua, leo perfomance nzuri au kaboronga, hata ile dakika utakayofika kileleni anaijua, na siku hujafika atasema leo marry sijakusikia, kama nimechoka nitavunga vunga tu kujichosha

marrykate msema kweli mpenzi wa muumba.................umenifurahisha sana hapo kwa kubongaukweli wako wote.....kama upo lakini............
 
Last edited by a moderator:
hahaha sio hivyo , stress biz na life mambo hayo hakiwa pamoja inakuwa hakuna gud conection, samahani partners napenda sana kuwa hapa

wahida.......please put a new avatar that shows your face.......the real you just like me........................kwani hunioni?
 
Last edited by a moderator:
[h=2][/h]
ahasante ruta ,kama vip ,unaweza kumpa mtoto wako wa kike ukipata ,wahida mean wa kwanza in arabic

wahida mie dume nzee haliwezi kuzaa tena........pili waarabu nawaogopa kwa zile misheni zao za kiosama tu....................lol

ila wewe nakukubali ile mbaya................
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom