boaz mwalwayo
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 5,813
- 4,231
Ushabiki wa vita usiwe kama mambo ya Simba na Yanga watu wakufa Pale tuonee watu huruma wanakufa bila hatiaNi ujinga ujinga tu. Yaani wakati waislamu wakifanya mauaji ya wayahudi basi vifijo na nderemo mpaka misikitini na kibaya kabisa wauaji ni mashujaa, ila sasa eti aljazeera wanaandika mauaji kimbari Gaza. Hivi vita siyo vya kwentu, kwa sisi wasomaji wa bibilia ni wayahudi siku zote watapigani hiyo ardhi na Mungu wao wa kweli atakuwa nao muda wote, hapo wanatakeleza agizo la Mungu wao na wakikosea ndiyo maana huwa wanapata adhani ya vifo, so kwa sisi tuliombali ukasirike/uchukie ila wapalestina they will always die kwa sababu haya ni mambo ya miungu ya wapalestina na Mungu wa wayahudi. Mi ndiyo maana siumizi kabisa kichwa kutafuta nani mkweli au anaonewa maana wote they’re fighting kwa ajili ya taifa lao husika. Kibaya zaidi wapalestina wamemfanya kila rais kuwa mpiganaji wakati huo huo na wayahudi nao wamefanya hivyo hivyo then mimi toka huku Tanganyika nianze kushabikia ugomvi wa watu wanaojuana no kabisa