Kinara wa demokrasia na haki za binadamu duniani anatumia nguvu kuzuia maandamano ya amani kupinga mauaji Gaza

Hakuna maanadamano yaliyozuiwa Marekani; huo ni upotoshwaji tu. Hakuna maanadamano yaliyozuiwa Marekani na mpaka sasa kuna vyuo vingi wanafunzi wanafanya maandamano na migomo na inedelea tu. Kinachozuiwa ni activitities zote ambazo ama zinahatarisha usalama wa watu wengine au zinaharabu mali za watu wengine. Kwa mfano wanafunzi waliokamatwa Columbia walikuwa wanaharibu mazingira yanayotumiwa na wanafunzi wenye asili ya kiyahudi na vile vile kuhatarisha maisha ya wayahudi (anti-semitism).

Kumbuka kuwa kila raia ana uhuru wa kuandamana na kusema jambo lolote mradi kwa kufanya hivyo haingilii uhuru wa watu wengine. Haya maandamano yangekuwa yamelenga serikali yan Israel tu, kusingekuwa na tatizo, ila kosa lake yamekuwa yanalenga zaidi kuwadhuru raia wenye asili ya israel. Hilo ni kosa la jinai
Uharo mtupu.

Polisi wa Marekani wamekabiliana kikatili na maandamano ya wafuasi wa Palestina katika vyuo vikuu vya kifahari, yakilenga wanafunzi wanaotetea kusitishwa kwa vita vya mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza.

View: https://x.com/presstv/status/1783450616028619229?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Maandamano ya amani lakini watu wanakamatwa utafikiri majambazi!
 
Watu wanadakwa na polisi kwa mamia we unasema hakuna wanaozuiwa!!..wameweka kambi vyuoni wamedakwa wapo ndani
Hapa umendika statement ambayo yoye ni ya uwongo.

Kwanza kabisa inelekea pia hujui muunndo wa polisi wa Marekani, ndiyo maana unaandika kwa lugha ya jumla kuwa "wanadakwa na polisi kwa mamia" bila kuwa na specificity yoyote. Elewa kuwa polisi wa marekani siyo jeshi la polisi kama Tanzania ambako rais anaweza kumwamuru IGP awatume polisi wafanye jambo lolote. Polisi wa Marekani ni taasisi ndogo ndogo zinazojitegemea kila taasisi ikiwa na kamanda wake pamoja na mipaka (jurisdiction) yake. Fahamu kuwa kila chuo kikuu kina polisi wake - siyo kwamba polisi wameweka kambi chuoni. Mifano ya picha za polisi wa vyuo ni kama ifuatavyo ambapo kuna vyuo vingine kama NCSU wana idara kubwa sana ya polisi yenye kuwa mpaka na kikosi cha mbwa (K-9):
1714047415569.png

Ukishajua kuwa kila chuo kina polisi wake wanalinda usalama wa maisha na mali za wanachuo basi huezi kukurupuka na blanket statement kuwa polisi wamwekeka kambi vyuoni.

Kwa vile kila chuo kiko ndania ya serikali ya mtaaa fulani, na kila serikali ya mtaa ina polisi wake (kwa mfano idara kubwa za polisi LAPD, NYPD) basi hao wanaweza kuombwa kusaidia kwenye majukumu ambayo yanazidi uwezo wa chuo. Elewa pia kuwa kuna baadahi ya maduka makubwa makubwa pia yana polisi wake, Counties zote zina polisi wake (hawa wanaitwa Sheriff na Deputies), Majimbo yana polisi wa aina Mbili (wale wa kulinda kwenye barabara kuu (HW Patrol) na wale wa kulinda sehemu nyingine za jimbo State Troopers), na mwisho serikali ya Marekani ina polisi wa aina tatu kubwa (US Marshals, SWAT, FBI) ingawaje kuwa nyingine ndogo ndogo kama wale wa Border Patrol n.k.

Sasa wewe unaposema wanadakwa na polisi, sema wandakwa na polsi wa aina gani kwani kila polisi ana majukumu (juriisdication) yake. Kwa polisi wa chuo au wale wa serikali za mitaa, jukumu lao kubwa kulinda usalama na mali za wanajumuia. Ukiandamana kwa kufuata haki yako ya First ammendment watakulinda ili ukamilishe maandamano yako kama raia. Hata hivyo ukifanya maandamanao yenye vurugu zinazoingiliana na uharibufu wa mali na kutishia usalama wa watu wengine, basi polisi hao wa chuo watakushuguulikia kama adui wa raia wengine. Ndivyo utawala wa sheria unavyotaka.

Baadaye nitajibu wengine wote kwa kubandika post zao kwenye jibu hili.

(1)
Uharo mtupu.

Polisi wa Marekani wamekabiliana kikatili na maandamano ya wafuasi wa Palestina katika vyuo vikuu vya kifahari, yakilenga wanafunzi wanaotetea kusitishwa kwa vita vya mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza.

View: https://x.com/presstv/status/1783450616028619229?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Na wewe hujui kuwa kila chuo kikuu kina polisi wake na jurisdiction yake ( kulinda usalama wa maisha ya wanajumuia ya chuo na mali zao); hawawezi kulinda haki na usalama wa waandamanaji tu na kuwaacha wale wanaoandamwa au usalama wa mali nyingine za chuo zisizohusika na lengo la waandamanaji.
Umekwoti post ya mtu ambaye pia hajui majukumu ya polisi wa vyuo, yeye anasema US Police inawaje picha inaonyesha wazi kuwa pulisi huyo ana beji ya Univirsity of South Carolina (USC) na mazingiria wamo katika mazingiria residential ambapo huwezi kujua ni raia gani wanaishi maeneo hayo
 
Ukiusema ubaya wa wayahudi ni hate speech (anti-semitism), ukiusema ubaya wa waarabu ni free speech. 😆😆
Anti-Semitism ina historical roots ya wao kuwa singled out; usalama wao unalindwa. Walichukiwa Ujerumani na kuuwawa sana walipohamishiwa Isarel wakachukiwa zaidi, hivyo jumuia ya kimataifa iliyowahamishia pale isarele inawalinda. Anti-semitism siyo kwa Marekani tu bali ni dunia nzima; ina fact Ujetrumani ina nguvu ambako ndio hat ilikoanzia, wana sheria kali sana ya kulinda usalama wa wayahudi kuliko nchi yoyote duniani.

Hata hivyo hakuna lugha ambayo ni inajulikana kama anti-arabs au anti-africans ila kuna anti-racisim inayolinda bimnadamu wote.
 
Hapa umendika statement ambayo yoye ni ya uwongo.

Kwanza kabia inelekea pia huji muunndo wa polsi wa Marekani, ndiyo maana unaandikakwa lugha ya jumla kuwa "wanadakwa na polisi kwa mamia" bila kuwa na specificity yoyote. Elewa kuwa polisi wa marekani siyo jeshi la polisi kama Tanzania ambako rais anaweza kumwamuru IGP awatume polisi wafanye jambo lolote. Polisi wa Marekani ni Taasisi ndogo ndogo zinazojitegemea kila taasisi ikiwa na kamanda wake pamoja na mipaka (jurisidiction) yake. Fahamu kuwa kila chuo kikuu kina polisi wake -siyo kwamba polisi wameweka kambi chuoni. Mifano ya picha za polisi wa vyuo ni kama ifuatavyo ambapo kuna vyuo vingine kama NCSU wana idara kubwa sana ya polis yenye kuwa mpaka na kikosi cha K-9:
View attachment 2973632
Ukishajua kuwa kila chuo kina polisi wake wanalinda usalama wa maisha na mali za wanachuo basi huezi kukurupuka na blanket statement kuwa polisi wamwekeka kambi vyuoni.

Kwa vile kila chuo kiko ndania ya serikali ya mtaaa fulani, na kila serikali ya mtaa ina polisi wake (kwa mfano idara kubwa za polisi LAPD, NYPD) basi hao wanaweza kuombwa kusaidia kwenye majukumu ambayo yanazidi uwezo wa chuo. Elewa pia kuwa kuna baadahi ya maduka makubwa makubwa pia yana polisi wake, Counties zote zina polisi wake (hawa wanaitwa Sheriff na Deputies), Majimbo yana polisi wa aina Mbili (wale wa kulinda kwenye barabara kuu (HW Patrol) na wale wa kulinda sehemu nyingine za jimbo State Troopers), na mwisho serikali ya Marekani ina polisi wa aina tatu kubwa (US Marshals, SWAT, FBI) ingawaje kuwa nyingine ndogo ndogo kama wale wa Border Patrol n.k.

Sasa wewe unaposema wanadakwa na polisi, sema wandakwa na polsi wa aina gani kwani kila polisi ana majukumu (juriisdication) yake. Kwa polisi wa chuo au wale wa serikali za mitaa, jukumu lao kubwa kulinda usalama na mali za wanajumuia. Ukiandamana kwa kufuata haki yako ya First ammendment watakulinda ili ukamilishe maandamano yako kama raia. Hata hivyo ukifanya maandamanao yenye vurugu zinazoingiliana na uharibufu wa mali na kutishia usalama wa watu wengine, basi polisi hao wa chuo watakushuguulikia kama adui wa raia wengine. Ndivyo utawala wa sheria unavyotaka.

Baadaye nitajibu wengine wote kwa kubandika post zao kwenye jibu hili.

(1)

Na wewe hujui kuwa kila chuo kikuu kina polisi wake na jurisdiction yake ( kulinda usalama wa maisha ya wanajumuia ya chuo na mali zao); hawawezi kulinda haki na usalama wa waandamanaji tu na kuwaacha wale wanaoandamwa au usalama wa mali nyingine za chuo zisizohusika na lengo la waandamanaji.
Umekwoti post ya mtu ambaye pia hajui majukumu ya polisi wa vyuo, yeye anasema US Police inawaje picha inaonyesha wazi kuwa pulisi huyo ana beji ya Univirsity of South Carolina (USC) na mazingiria wamo katika mazingiria residential ambapo huwezi kujua ni raia gani wanaishi maeneo hayo
🇺🇸🇵🇸 The Pro-Palestinian Demonstrations on College Campuses Have Been an Overwhelming Success

These demonstrations have been in response to America's complicity in the genocide unfolding in Gaza.

If Biden wants to stop it, he could.

In fact, he's had over half a year to do just that.

Liberal college students have begun to realize that the Democratic Party no longer represents them.

And when it comes to Israel, the Republicans are even worse.

Having understood this, they decided to PEACEFULLY protest against America's involvement in the genocide taking place in Gaza.

And yes, I said peacefully because they are peaceful demonstrations.

Isolated incidents don't change the meaning of these protests.

How could these protests be deemed anti-Jewish if many Jews organize and partake in said protests?

The ZOG (Zionist-Occupied Government) and the ZOM (Zionist-Occupied Media) have twisted the narrative to make these protests out to be something that they are not.

These protests are also highlighting many hypocrisies of those on the Zionist-Right.

So-called 'free speech advocates' are now advocating for the shutting down of these peaceful protests, and the arrests of the protesters.

However, these demonstrations have achieved their goal.

It shows that the American youth have woken up to the illusion of 'The Only Democracy in the Middle East.'

And that is a very big step in the right direction.

Young Americans are the future of the country, and that's also precisely the reason why the ZOG is pushing so hard for a TikTok ban.

All these anti-free speech measures exist to appease the Zionist lobby.

But these protests prove that America's at a turning point.

Gen Z has made up their mind, and as time goes on, more and more of the older generation also want nothing to do with the hell state that is Israel.

If Netanyahu decides to go into Rafah, it shows a level of arrogance that is almost incomprehensible.

Deciding to go into Rafah after seeing the public's sentiment for Israel in America, (you know, the same America that is responsible for Israel's survival), would mean that Israel thinks they have such a chokehold over the US that no matter what they do, they'll have America's backing.

I believe that in the end, this arrogance we've seen from Israel for over half a century, will ultimately lead to its downfall.
 
Kumetokea wimbi la maandamano kwenye vyuo vikuu nchini Marekani kupinga mauaji ya wapalestina yanayoendelea Gaza.

Serikali inatumia askari polisi kuzuia waandamanaji wanaotumia haki yao ya kikatiba kupinga kinachoendelea Gaza.

Serikali hiyohiyo ya Marekani, kwa muda mrefu, imekuwa mfadhili wa maandamano na ghasia kwenye mataifa yanayokwenda kinyume na matakwa yao. Tumeshuhudia yaliyotokea Libya na yanayoendelea Syria.

Marekani anahimiza haki za raia kuandamana na uhuru wa kujieleza kwa mataifa mengine wakati yeye hawezi kuziheshimu?
Mkuu,

Marekani si kama Tanzania kwamba nchi nzima inatawaliwa na serikali moja kwenye mambo yote.

Huku watu wanajua umuhimu wa ugatuzi wa madaraka.

Kuna serikali ya nchi, serikali za majimbo, serikali za miji. Zote zina nguvu zake.

Sasa unaposema "serikali" unakusudia serikali gani?
 
Hapa umendika statement ambayo yoye ni ya uwongo.

Kwanza kabia inelekea pia huji muunndo wa polsi wa Marekani, ndiyo maana unaandikakwa lugha ya jumla kuwa "wanadakwa na polisi kwa mamia" bila kuwa na specificity yoyote. Elewa kuwa polisi wa marekani siyo jeshi la polisi kama Tanzania ambako rais anaweza kumwamuru IGP awatume polisi wafanye jambo lolote. Polisi wa Marekani ni Taasisi ndogo ndogo zinazojitegemea kila taasisi ikiwa na kamanda wake pamoja na mipaka (jurisidiction) yake. Fahamu kuwa kila chuo kikuu kina polisi wake -siyo kwamba polisi wameweka kambi chuoni. Mifano ya picha za polisi wa vyuo ni kama ifuatavyo ambapo kuna vyuo vingine kama NCSU wana idara kubwa sana ya polis yenye kuwa mpaka na kikosi cha K-9:
View attachment 2973632
Ukishajua kuwa kila chuo kina polisi wake wanalinda usalama wa maisha na mali za wanachuo basi huezi kukurupuka na blanket statement kuwa polisi wamwekeka kambi vyuoni.

Kwa vile kila chuo kiko ndania ya serikali ya mtaaa fulani, na kila serikali ya mtaa ina polisi wake (kwa mfano idara kubwa za polisi LAPD, NYPD) basi hao wanaweza kuombwa kusaidia kwenye majukumu ambayo yanazidi uwezo wa chuo. Elewa pia kuwa kuna baadahi ya maduka makubwa makubwa pia yana polisi wake, Counties zote zina polisi wake (hawa wanaitwa Sheriff na Deputies), Majimbo yana polisi wa aina Mbili (wale wa kulinda kwenye barabara kuu (HW Patrol) na wale wa kulinda sehemu nyingine za jimbo State Troopers), na mwisho serikali ya Marekani ina polisi wa aina tatu kubwa (US Marshals, SWAT, FBI) ingawaje kuwa nyingine ndogo ndogo kama wale wa Border Patrol n.k.

Sasa wewe unaposema wanadakwa na polisi, sema wandakwa na polsi wa aina gani kwani kila polisi ana majukumu (juriisdication) yake. Kwa polisi wa chuo au wale wa serikali za mitaa, jukumu lao kubwa kulinda usalama na mali za wanajumuia. Ukiandamana kwa kufuata haki yako ya First ammendment watakulinda ili ukamilishe maandamano yako kama raia. Hata hivyo ukifanya maandamanao yenye vurugu zinazoingiliana na uharibufu wa mali na kutishia usalama wa watu wengine, basi polisi hao wa chuo watakushuguulikia kama adui wa raia wengine. Ndivyo utawala wa sheria unavyotaka.

Baadaye nitajibu wengine wote kwa kubandika post zao kwenye jibu hili.

(1)

Na wewe hujui kuwa kila chuo kikuu kina polisi wake na jurisdiction yake ( kulinda usalama wa maisha ya wanajumuia ya chuo na mali zao); hawawezi kulinda haki na usalama wa waandamanaji tu na kuwaacha wale wanaoandamwa au usalama wa mali nyingine za chuo zisizohusika na lengo la waandamanaji.
Umekwoti post ya mtu ambaye pia hajui majukumu ya polisi wa vyuo, yeye anasema US Police inawaje picha inaonyesha wazi kuwa pulisi huyo ana beji ya Univirsity of South Carolina (USC) na mazingiria wamo katika mazingiria residential ambapo huwezi kujua ni raia gani wanaishi maeneo hayo
"US college protests: Hundreds more arrested across US in Gaza campus protests" US college protests: Hundreds more arrested across US in Gaza campus protests

Acha ujuaji,kila chuo kiwe na polisi!?..hao ni polisi wa Jimbo husika,tunajua us inaongozwa kimajimbo na kila Jimbo Lina polisi wao, sheriff nk,wanaweza kwenda Linda vyuoni,lakini haiondoi ukweli kwamba ni polisi wa serikali,tofauti na hapo ni security company
 
Hiyo serikali inayowanyanyasa waandamanaji.
Ambayo ni serikali gani?

Marekani hakuna serikali moja, kuna serikali ya nchi, serikali za majimbo, serikali za miji, etc.

Na hizi zenyewe hazikubaliani katika mambo mengi tu.
 
Ambayo ni serikali gani?

Marekani hakuna serikali moja, kuna serikali ya nchi, serikaki za majimbo, serikali za miji, etc.

Na hizi zenyewe hazikubaliani katika mambo mengi tu.
Freedom of expression ni haki ya kikatiba. Tunachozungumzia hapa ni serikali kupoka wananchi haki yao ya kuandamana.

Iwe ni serikali ya mtaa au jimbo, hiyo ni irrelevant.

Hakuna mamlaka inayoweza kupoka haki ya kikatiba ya mwananchi. Pelosi kalaani kinachoendelea.
 
Umeandika hivi.

"Serikali hiyohiyo ya Marekani, kwa muda mrefu, imekuwa mfadhili wa maandamano na ghasia kwenye mataifa yanayokwenda kinyume na matakwa yao. Tumeshuhudia yaliyotokea Libya na yanayoendelea Syria."

Unachanganya habari za serikali ya nchi na serikali zingine za chini kama za majimbo na miji.

Ama kwa kutoelewa ugatuzi wa madaraka Marekani, ama kwa makusudi tu kuendeleza propaganda zako.
 
Back
Top Bottom