- Thread starter
- #41
Mkuu, swala hapa ni haki za waandamanaji kupokwa. Labda utueleze kama katiba ya nchi haizihusu hizo serikali za chini.Umeandika hivi.
"Serikali hiyohiyo ya Marekani, kwa muda mrefu, imekuwa mfadhili wa maandamano na ghasia kwenye mataifa yanayokwenda kinyume na matakwa yao. Tumeshuhudia yaliyotokea Libya na yanayoendelea Syria."
Unachanganya habari za serikali ya nchi na serikali zingine za chini kama za majimbo na miji.
Ama kwa kutoelewa ugatuzi wa madaraka Marekani, ama kwa makusudi tu kuendeleza propaganda zako.